Jali afya yako22

Jali afya yako22 Ushauri an afya na magonjwa mbali mbali kama vile
-tatizo la tezi dume
-shida ya uzazi na wanawake
-shida ya mifupa
-matatizo ya bawasili

Wanaume wengi kuanzia Miaka 40 an kuendelea wanasumbuliwa na changamoto ya tezi dume karibu nikusaidie kuondoa uvimbe wa...
25/04/2022

Wanaume wengi kuanzia Miaka 40 an kuendelea wanasumbuliwa na changamoto ya tezi dume karibu nikusaidie kuondoa uvimbe wa tezi Dume bila kufanya upasuaji kwa kupitia virutubisho lishe

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.Call/ Whatsp  0672515663Tukisema pungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni k**a...
23/04/2022

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Call/ Whatsp 0672515663

Tukisema pungufu wa nguvu za kiume sio ugonjwa, ila ni k**a indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo ndani ya mwili wa binadamua ambavyo vinahu sika na suala zima la nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo vinavyo husika na nguvu za kiume ni: Moyo, Ini, Figo, Ubongo, Mishipa, Tezi dume, Misuli, .. … … n.k. Kunapokuwa na hitilafu kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

TUANGALIE KWA UCHACHE
VISABABISHI:
- Uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
- Pombe (aina yeyote).
- Ma********on (Kujichua, au kupiga punyeto)
- Kula vyakula venye kuharibu mfumo wetu wa mmeng’enyo wa chakula (Digestive System). Huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri.
- Tatizo la Kutokupata choo vizuri (Constipation)
- Tatizo la Tezi dume.
- Kisukari (Diabetes)
- Stress, Pressure, Cholesterol
- Hormone imbalance. NK

JE NI DALILI GANI AMBAZO UNAWEZA KUJUA K**A UTATATIZO HILO
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- Kukosa pumzi
- Uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu
- Kuwahi kufika kieleni
- Kuchelewa sana kufika kileleni: ukizidi kuchelewa.
- Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi hua wanajihiisi kutapika.

NI MADHARA GANI UNAWEZA KUYAPATA?
Dharau
- Kushindwa kumridhisha mwanamke. Hili tatizo linampelekea kutoka nje ya ndoa na baadae kuachika.
- Kushindwa kupata mototo
- Kushindwa kupata ladha kamili la tendo la ndoa
- Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
- Uume kusimama kwa ulegevu
- Uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukak**avu.

wasiliana nami ili niweze kukusaidia kutatua tatzizo hili sasa ,

piga /whatsap
0672515663

20/04/2022
Dawa zetu ni za uhakika jamni karibuni sanaa
19/04/2022

Dawa zetu ni za uhakika jamni karibuni sanaa

For more details call 0672515663
18/04/2022

For more details call 0672515663

Address

Arusha-Moshi Road
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jali afya yako22 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Jali afya yako22:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram