29/08/2022
*HEPATITIS *
Ni maambukizi yanayotokea kwenye *INI*,kutokana na sababu mbalimbali.
Sababu kubwa inayotajwa ni .*VIRAL INFECTIONS *
Lakin kuna baadhi ya visababishi mbalimbali vinavyoweza kupelekea ugonjwa huu.
•unywaji wa pombe kupitiliza
•matumizi makubwa ya madawa,mfano kwa wagonjwa wa sukari,presha,pumu,mifupa nk
•matatizo mengine ya kiafya
•uvitaji wa sigara.
•matumizi mengine ya vinywaji vyenye na kemikali.
*KUNA AINA ZA HEPATITIS*
—————————————-
• *hepatitis A:* hii hutokea kupitia matumizi ya maji ambayo si salama
———————————————
•*hepatitis B:* hii huambukizwa kupitia kugusana kwa mwili na mwili,damu,jasho,nk.
——————————————-
•*hepatitis C:* hutokea pia kwa kugusana na mtu mwenye maambukizi
——————————————
•*hepatitis D:* huambukizwa kupitia damu ya mtu mwenye maambukizi.
—————————————-
•*hepatitis E:* huambukizwa kupitia chakula na maji.
•*ALCOHOLIC HEPATITIS * hii inatokea baada ya pombe kuathiri ini na kuvimba
Pia baadhi ya tafiti mbalimbali zinasema
AUTO IMMUNO pia ni moja ya sababu zinazopelekea ugonjwa huu.
Na watu wapatao 800,000 hufariki kila mwaka kutokana na ugonjwa huu.
*DALILI AU VIASHIRIA VYA UGONJWA HUU *
Watu wengi wanaoshi na maambukizi ya ugonjwa huu huwa hawaoneshi dalili mapema hasa hepatitis B,C mpaka tatizo liwe kubwa zaidi.
Miongoni mwa dalili ni k**a ifuatavyo :
•uchovu wais mwili
•mkojo kuwa rangi ya dark
•kupungua uzito
•maumivu ya tumbo
•kukosa hamu ya kula
•macho kuwa ya njano na ngozi (jaundice)nk.
*UGONJWA HUU UNAWEZA KUPELEKEA MADHARA MAKUBWA YAFUATAYO.*
•chronic liver disease
•cirrhosis
•liver cancer
•Portal hypertension
•fluid in the abdominal cavity
•kidney failure
•death
UGONJWA HUU UNAWEZA KUZUILIKA KWA KUCHOMA CHANJO .
Pia tunatoa suppliments nzuri kwa ajili ya kukinga na kupambana na ugonjwa huu mpaka kutibika vizur kabisa.
NB:kila moja anashauriwa kutumia suppliments hizi ili kulinda ini kupitia mfumo wa maisha ambayo kila moja hawezi kuepuka.
*By dr.yunus *
*0655203943*