Pnk Health solutions

Pnk Health solutions Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pnk Health solutions, Medical and health, Kaloleni, Arusha.

Karibu Pnk health solution, tunajihusisha na kutatua changamoto za kiafya na ushauli wa changamoto zifuatazo, PRESHA aina zote, SUKARI ya aina zote, mifupa, kinga ya mwili, bawasiri, nk

28/04/2022

Kalibuni nyote

Kalibu ujipatie matibabu ya magonjwa yafuatayo
26/04/2022

Kalibu ujipatie matibabu ya magonjwa yafuatayo

JE, UNATAMANI KUITWA MAMA!!!!? TAMBUA KUWA UKIWA NA TATIZO MIONGONI MWA HAYA NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO AU UKISHIKA NI R...
27/03/2022

JE, UNATAMANI KUITWA MAMA!!!!? TAMBUA KUWA UKIWA NA TATIZO MIONGONI MWA HAYA NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO AU UKISHIKA NI RAHISI MIMBA KUHARIBIKA;

0763 538 084

📍Homon Imbalance

📍Chango

📍Uvimbe

📍PID

📍Fangasi za Mara kwa Mara

📍Kuziba kwa Mirija ya Uzazi

📍Makovu kwenye Ovari

📍Hedhi kukoma mapema

UKIONA DALILI HIZI CHUKUA HATUA MAPEMA KWANI NI DALILI MBAYA KWAKO UNAYEHITAJI MTOTO

👉Hedhi kupishana
👉Kutokwa damu chache kipindi Cha hedhi
👉Hedhi kutoka nyingi Sana
👉Maumivu makali sanaa kabla au baada tu ya hedhi
👉Kutopata hedhi
👉Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
👉Hedhi kuruka miezi
👉Hedhi kujirudia ndani ya mwezi mmoja
👉Kutopata hamasa ya tendo la ndoa
👉Kuhisi Mara kwa Mara Hali ya ujauzito ukipima haipo

✍️✍️✍️✍️..... *ikiwa wewe ni mama na unahitaji mtoto na una changamoto moja ya hizo zilizo tajwa hapo juu hakikisha inaanza dose hivi karibuni 🤝*

*Namba ni ile ile ya kutumia ili kuwasiliana nami kwa ushauri zaidi piga simu / 0763 538 084* au link

Business Account

Je, unateseka na ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume,???????? Usiteseke sasa maana Pnk Health Solution imekuja na sulu...
27/03/2022

Je, unateseka na ukosefu au upungufu wa nguvu za kiume,????????
Usiteseke sasa maana Pnk Health Solution imekuja na suluhisho kwako,
Jipatie x power man ukajitibu na tatizo hilo,

Hii siyo ya ku boost bali inakutubu kabisa

24/03/2022

Tatizo la mifupa na maungio linatibika wahi tiba mapema kabla tatizo haijakuwa kubwa

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️✅ *TUMIA VIRUTUBISHO TIBA UPONE KABISA-XPOWER MAN Capsules*TIBA IMEPATIKANA..⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️*FAIDA ZA XPO...
08/03/2022

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
✅ *TUMIA VIRUTUBISHO TIBA UPONE KABISA-XPOWER MAN Capsules*
TIBA IMEPATIKANA..
⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️⚜️
*FAIDA ZA XPOWER MAN CAPSULES*
*inaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote mbili akina baba na akina mama stamina nguvu wakati wa tendo la ndoa
*inasaidia kuondoa msongo wa mawazo
*inasaidia kuongeza idadi ya mbegu za kiume (s***m count) na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility)
*inasafisha mwili na kupunguza kasi ya kuzeeka haraka
*inasaidia kubalansi kiwango cha sukari mwilini hivyo huboresha hamu ya tendo la ndoa kwa watu wenye changamoto ya sukari
*kusaidia kurekebisha na kujengeka kwa mifupa na kazi za misuli
*husaidia ufanisi mzuri wa kazi za moyo
*husaidia mishipa ya damu kufunguka na kutoa uchafu ulioganda
*kubalance standard blood pressure
*husaidia damu kusafiri vizuri sehemu zote za mwili
*husaidia kurudisha umri nyuma kuanzia muonekano mpaka ufanyaji kazi wa viungo kwa ujumla.
Kwa maelezo zaidi piga
ili upatiwe virutubosho hivi.
*CALL/WHATSAPP ME ON
0763 538 084*
⚜️ https://tinyurl.com/mv442ujk
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

04/03/2022

Usiteseke na matatizo ya meno kutoboka, fizi kuvimba nabkutoa damu, harufu ya kinywa nk. Jipatie dawa bora kwa kupiga simu no, 0763538084

*MZUNGUKO MBOVU WA DAMU CHANZO CHA UDHAIFU KWA BINADAMU**Damu ni kimiminika mhimu katika mwili kwani hufanikisha shughul...
03/03/2022

*MZUNGUKO MBOVU WA DAMU CHANZO CHA UDHAIFU KWA BINADAMU*

*Damu ni kimiminika mhimu katika mwili kwani hufanikisha shughuli nyingi za msingi kimwili zikiwemo;*

*1️⃣. Kusafirisha virutubusho kutoka katika mfumk wa chakula kwenda katika seli*
*2️⃣. Kusafirisha hewa ya oksijeni kutoka katika mapafu kwenda katika ubongo na sehemu zingine*
*3️⃣. Kujaza misuli ya mwili ili mwili ufanye kazi vizuri*
*4️⃣. Kusawazisha uwiano wa maji mwilini.*

*Hivyo basi mzunguko mbovu wa damu mwilini huathiri •Upumuaji •Kutanuka na kusinyaa kwa mishipa ya damu*
*•Mfumo wa hewa katika ubongo*
*•Msukumo wa damu katika viungo vya uzazi*
*•Mfumo wa hisia na hamu ya tendo la ndoa*
*•Uzalishaji wa mbegu katika kiwanda cha uzazi*

*MICRO2 CYCLE AFYA YAKO*
*Kwani inasaidia kuongeza ufanisi wa kazi ya Moyo, afya ya ganzi, kurekebisha homoni, kulisha seli za uzazi na kuimarisha misuli ya mwili*

26/02/2022

TIBA YA MIFUPA NA MAUNGIO KWA TECKNOLOJIA YA KIMAREKANI🇱🇷 KWA WASUMBULIWAO NA
MAUMIVU YA NYONGA, KIUNO, MGONGO NA MAUNGIO (JOINTS)?


➡▪Hasa maumivu ya kusambaa kutoka kwenye nyonga mpaka kwenye goti

Tatizo hili huweza humpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu na mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa na kuruka.

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

1.Kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo. Zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu zilizopotea.
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo.
4.mawazo (stress).
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya mto.

MADHARA YA MAUMIVU HAYO NI K**A YAFUATAYO;

1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa.
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili na kushindwa kutembea (kupata kilema cha kudumu)
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia.
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

Habari njema ni kwamba baada yakufanya utafiti wakina kwa mda mrefu sasa tiba imepatikana ambazo ni za uhakika na haraka.
Ambazo ni"VIRUTUBISHA RISHA
Kwa matibabu ya haraka na sahihi

wasiliana nasi

Piga/text whatsap 0763538084.....
https://tinyurl.com/mv442ujk

Address

Kaloleni
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pnk Health solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Pnk Health solutions:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram