02/11/2021
*`UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS)*
FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.
Dalili za fibroids
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza
kusababisha dalili zifuatazo.
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
MATIBABU
1. Matibabu yake ni rahisi sana, tumia dawa zetu utapona 100%,
2, karibu tukuhudumie, piga/sms/ Whatsapp 0759855988