Neema clinic

Neema clinic Nawasaidia wanaume kutatua changamoto kama Nguvu za kiume,Tezi dume,bawasili,Mifupa nk.

Sababu kuu inayopelekea kutokea kwa maumivu ya mifupa na viungo1 Virutubisho vinavyosaidia kuimarisha gegedu vinapungua ...
27/10/2022

Sababu kuu inayopelekea kutokea kwa maumivu ya mifupa na viungo

1 Virutubisho vinavyosaidia kuimarisha gegedu vinapungua mwilini mfano glucoseamine*Mara nyingi virutubisho hupungua sababu ya umri unavyozidi kwenda.
* Uzito uliopindukia
*Historia ya familia
*Ajali nk.

Kwa suluhisho la maumivu ya mifupa na viungo wasiliana nasi kwa no.hii 0757 112026

26/10/2022

Osteoarthritis_Hili ni tatizo linaloadhiri viungo linatokana na umri .

Rheumatic Authritis_ Hili ni tatizo linalotokana na kinga ya mwili kutafuna gegedu( cartilage)

Osterporosis_ Hili ni tatizo la mifupa kuvunjika kirahisi kutokana na upungufu wa calcium.

Nawasaidia wanaume kutatua changamoto k**a Nguvu za kiume,Tezi dume,bawasili,Mifupa nk.

24/10/2022

KAZI YA TEZI DUME.
0757112026
Mojawapo ya kazi za tezi dume ni kutoa majimaji yanayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) wakati wa kilele cha tendo la kujamiana. Mchanganyiko huu wa mbegu pamoja na majimaji hayo hutengeneza shahawa (semen).

▫️Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
- Kutokufanya mazoezi.
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
- Msongo wa mawazo (Stress).
- Magonjwa ya zinaa.
- Umri mkubwa.
- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
- Historia ya Familia (Kurithi).
- Mazingira (Ethnicity).

▫️Dalili za saratani ya tezi dume ni zipi?

a) Dalili za awali
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
- Homa
- Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku

b) Dalili za mtu aliyeathirika
- Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
- Miguu kuwa dhaifu
-Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
- Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
- Tumbo kuja gesi mara kwa mara

▫️Madhara ya Tezi Dume:
Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
- Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
- Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
- Kifo

KWA TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255757112026 AU WhatsApp https://wa0757112026

Kwa tiba na ushauri karibuWasiliana nasi 0757112026
24/10/2022

Kwa tiba na ushauri karibu
Wasiliana nasi
0757112026

Kwa tiba na ushauriWasiliana nasi0757112026
24/10/2022

Kwa tiba na ushauri
Wasiliana nasi
0757112026

Kwa tiba na ushauri Njoo tuzungumze255757112026
24/10/2022

Kwa tiba na ushauri
Njoo tuzungumze
255757112026

Address

ARUSHA
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Neema clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram