Afya chanel01

Afya chanel01 tunatibu maradhi sugu kwa kutumia tibalishe na virutubisho vya msingi.

Uponyaji...
28/11/2021

Uponyaji...

Kula korosho kwa afya
28/11/2021

Kula korosho kwa afya

Nakukaribisha sana kwenye ukurasa wangu wa matibabu kwa njia ya tibalishe na virutubisho vilivyoboreshwa.Tunatibu maradh...
07/11/2021

Nakukaribisha sana kwenye ukurasa wangu wa matibabu kwa njia ya tibalishe na virutubisho vilivyoboreshwa.

Tunatibu maradhi sugu k**a vile..kisukari.presha.kitambi.uzito.nyama uzembe.gauti..baridi yabisi.uzazi.figo.moyo.Ganzi.bawasiri.nguvu za kiume na k**e
N.k

Nimejipanga kukupa elimu sahahi iliyonyooka na itakayokusaidia maana tunakoelekea ni kubaya zaidi.

Pia tuna group kubwa la elimu ya lishe kule whatsapp kwa ajili ya wagonjwa,

Kwa hiyo kila shuhuda utakayo ona huku ni kweli wala sio zakutunga.

Piga 0679095922.

Nisaidie.
kushea
Kulike.

Followe ukurasa huu ili uelimike.

06/11/2021

Mteja wangu wa moshi anaifurahia

Nimekua kimya kwa muda,Lakini Leo kwa mara nyingine Tena, naomba niwaleteee ushuhuda mwingine..Kwa takribani miaka minne...
05/11/2021

Nimekua kimya kwa muda,
Lakini Leo kwa mara nyingine Tena, naomba niwaleteee ushuhuda mwingine..

Kwa takribani miaka minne mfulululizo nimekua nikipata shida Sana ya uzazi,

Ilikua kila nikibeba ujauzito ukifika wiki ya 9 tu basi lazima mimba itoke..

Kwa kweli Hali hii ilikua inanitesa Sana kisaikolojia.

Baada ya kutumia dawa na kuzingatia maelekezo ya lishe yaliyo kua yakiendelea humu,

Mungu amenibariki,
Hivi Sasa ni mama kijacho Tena, na Nina miezi mitano Sasa,

Sijapata changamoto yeyote, na dactari wangu alisema yawezekana nisiweze kuzaa Tena lakini hata yeye ameona utukufu Wa Mungu juu yangu

Naendelea kuwatia moyo, msikate tamaa, tuendelee kuzingatia maelekezo

Kwa uwezo Wa Mungu sote tutapona.

Nawapenda sana
Mungu awabariki
Ahsante Sana Doctor Mrena (RUWA AIKAMBE)
______MWISHO WAKUNUKUU________

Hii ndio nguvu ya na
Nawakaribisha wote kwenye clinic yangu ya mtandaoni.

HAIJALISHI UMETAFUTA MTOTO KWA MUDA GANI BILA MAFANIKIO WALA USIKUMBUKE KULE ULIKOTAPELIWA. sasa nimenzisha group la uangalizi maalumu kwa ajili ya watu wenye shida mbali mbali za kiafya

Whatsapp .0679095922

Takribani miaka 10 nipo kwenye sayansi ya tibalishe na virutubisho ambavyo hutumiwa na wanadamu k**a dawa,chakula na kin...
05/11/2021

Takribani miaka 10 nipo kwenye sayansi ya tibalishe na virutubisho ambavyo hutumiwa na wanadamu k**a dawa,chakula na kinga dhidi ya maradhi.

Nikiwa k**a mtaalamu wa tibalishe niliejipanga kuwaelimisha wale wasijua umuhimu wa tibalishe na virutubisho,nikaamua kujifunza zaidi na kujaribu bila kuogopa kushindwa.

Nimekuw nikijifunza kwa wenzangu na kuchukua udhaifu wao na kuufanyia masahihisho na hatimae majibu yamepatikan sasa.

👉👉Njia sahihi zakuondokana naaradhi yasiyoambukiza k**a vile
kisukari
presha
moyo
figo
saratani
U.T.I sugu
Vidonda vya tumbo
Kitambi
Uzito

Na mengine k**a hayo lazma utumie fomula maalumu ya kula vyakula salama na virutubisho vya kienyeji na vilivyoboreshwa.

Kwa kutumia elimu ya darasani na elimu ya kuridhi kutoka kwa mababu zetu nimefanikiwa kutengeneza dawalishe mbili (ESSENTIAL DETOX TEA ) NA (EXTRA VIRGIN TEA)

Tibalishe hizi zimesaidia mamia ya watu hapa Afrika mashariki.
Naamini kwa kila alitumia anaweza kuhidia ubora wake maana zinatibu maradhi mengi sana kwa wakati mmoja.

Karibu sana napatikana ARUSHA na unaweza kupokea huduma zetu popote ulipo.
0679095922 whatsapp..
Usisahau
Follow me
Share na marafiki zako.

🍇SOMA KWA MAKINI INAKUHUSU WEWE NA FAMILIA YKO👇👇👇_Huenda mara baada ya kujifunza kuhusu chanzo na sababu za ugonjwa huu ...
30/10/2021

🍇SOMA KWA MAKINI INAKUHUSU WEWE NA FAMILIA YKO👇👇👇

_Huenda mara baada ya kujifunza kuhusu chanzo na sababu za ugonjwa huu wa kisukari, ukawa unajiuliza utawezaje kuutambua. Na pengine huenda ukaanza kujiuliza k**a kuna hatari yoyote ya kuwa na ugonjwa huu! Usiogope uko mahali sahihi, katika mada hii tutaangalia kwa kina sana dalili zake na madhara ya hatari zaidi yawezayo kutokana na kisukari_

🍇DALALI ZA UGONJWA WA KISUKARI

Kwa namna fulani dalili hizi zimefichika. Na wakati fulani unaweza kudhani ni hali ya kawaida na unaweza usichukue hatua yoyote. Wengi wenye type 2 wamejikuta wakipata madhara makubwa ndipo wanash*tuka. Kwa type 1 dalili zake hutokea ndani ya muda mfupi na ni za haraka sana pengine katika siku kadhaa hivi au wiki kadhaa. Haya fuatana nami uone miongoni mwa haya ukiona linakupata ujue siyo hali ya kawaida bali na tatizo la sukari,

*KUKOJOA MARA KWA MARA

- Hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa sukari nyingi ndani ya mishipa ya damu, na maji mengi kutoka kwenye seli za mwili yatafyonzwa ili kuyeyusha sukari hii. kwa kadri linavyotokea hili figo italazimika kutoa sukari kwa njia ya mkojo na hivyo kujikuta ukikojoa mara kwa mara.

🍇KUPATA KIU KIKALI

-kwa kadri maji yatakavyokuwa yakifyonza ili kuyeyusha sukari katika mishipa ya damu,maji yatapungua mwilini na kiu yako haitakauka.

🍇KUPATA NJAA ZA MARA KWA MARA

-kwa sababu hakuna insulin inayosaidia glucose kunyonywa na seli ili kutengeneza nishati mwili utakosa nguvu na kukutaka kula ili kurejesha nguvu inayopotea.

🍇KUPUNGUA UZITO

-kwa kadri glucose inavyopotea ndivyo na mwili utakavyopoteza uzito wake.

🍇UCHOVU WA MWILI

mwili unapokosa nishati hupata uchovu.

🍇GANZI MIGUUNI NA MIKONONI

-sukari inapozidi mwilini husababisha kuharibiwa kwa mishipa midogo midogo ya damu inayoishia kwenye neva na kusababisha damu kutozunguka vyema na hivyo kusababisha ganzi.

🍇KUTOONA VIZURI

-kuzidi kwa sukari huharibu lensi ya macho na kupelekea kushindwa kuona vizuri.

🍇VIDONDA KUSHINDWA KUPONA HARAKA

-hii hutokana na kudhurika kwa neva za mwili.

🍇KUKAUKA KWA MIDOMO

kwa kuwa mwili unatumia maji mengi ili kutengeneza mkojo,maji yatapungu mwilini na mdomo kukauka.

🍇NGOZI KUWASHA(UKURUTU SUGU)

hii nayoahutokana na madhara ya uwingi wa sukari mwilini.

🍇KUPOTEZA UWEZO WAKUFANYA TENDO LA NDOA

mara nyingi hii huwakuta wanaume wenye umri zaidi ya miaka 25 wanapokumbwa na tatizo la sukari.
Pia wanawake hukosa msisimko na uke huwa mkavu wakati wakuingiliwa.

Niasaidie KUSAMBAZA ujumbe huu kwa ndungu jamaa na marafiki
*Piga namba hizi kwa matibabu +255 679 095 922*

21/10/2021

Nakukaribisha sana kwenye ukurasa wangu wa matibabu kwa njia ya tibalishe na virutubisho vilivyoboreshwa.

Tunatibu maradhi sugu k**a vile..kisukari.presha.kitambi.uzito.nyama uzembe.gauti..baridi yabisi.uzazi.figo.moyo.Ganzi.bawasiri.nguvu za kiume na k**e.

N.k

Huduma zetu ni salama na uponyaji 100%.

Send a message to learn more

Address

Morombo
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255679095922

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya chanel01 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya chanel01:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram