15/09/2022
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO BILA MADHARA
Vidonda vya tumbo(peptic ulcers)ni michubuko au vidonda vinavyoweza kutokea sehemu yoyote katika mfumo wa usagaji wa chakula (digestive system),zipo Aina Kuu Mbili Za Ulcers
1.Gastric ulcers(tumboni)
2.Doudenal ulcers (utumbo mwembamba)
SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO
■Helicobacter pylori, huyu ni bacteria ambae kwa asilimia kubwa husababisha vidonda vya tumbo kwa kuharibu kuta za tumbo(layers) na kusababisha vidonda.
Pia kuna mazingira ambayo yanaweza kufanya mtu akaugua vidonda vya tumbo k**a
▪️stress
▪️kutozingatia mda wa kula
▪️kula vyakula vyenye Acid nyingi
▪️uvutaji wa sigara
▪️unywaji wa pombe
▪️madawa ya hospitalini (Antibiotics)
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
●Kuhisi Maumivu Makali Tumboni,Kuhisi Tumbo Linawaka Moto
●Kupata Gesi tumboni(kuvimbiwa)Ukila vyakula Fulani
●Kukosa/Kupata Choo Kigumu chenye rangi nyeusi na harufu mbaya
●Kupata Kiungulia karibu na chembe ya moyo,Kuchoka bila sababu maalum
●Kuumwa mgongo au kiuno,Kupungukiwa nguvu za kiume
●Kizunguzungu,Kukosa Usingizi,Kutapika nyongo,
Kichefuchefu
●Kutapika damu au kuharisha,Sehemu za mwili kupata ganzi
●Kukosa hamu ya kula,Kusahausahau na hasira bila sababu
SULUHISHO
Uonapo dalili hizo ni vyema kufanya vipimo kujua ni aina gani ya Ulcers,
K**a Umeshapima Na kutumia dawa Za Aina Mbalimbali bila Mafanikio...NINA HABARI NJEMA KWAKO
Tunatibu kwa Tibalishe Zenye Ubora Zilizofanyiwa Utafiti(Sio Za Hospitali, Pia Sio Za Kienyeji) hivyo kukupa uhakika kupona bila kuleta madhara kwenye mifumo mingine ya mwili. Watu Niliowapa Tiba Hii Wamepona Kabisa,Wewe pia Unaweza Kupona.
Hata hivyo ukubwa wa dose unategemea na ukubwa wa tatizo lenyewe
Wasiliana Nami WhatsApp👇👇👇
0626428962