Dorcus Afya care

Dorcus Afya care Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dorcus Afya care, Medical and health, Arusha.

31/01/2022
Suluhisho la tatiz lako limepatikan
25/01/2022

Suluhisho la tatiz lako limepatikan

Biolojia inasema kwamba baada ya kujamiiana, karibu mbegu milioni 200 hadi 300 huwekwa na mwanamume, zote huanza kuogele...
22/01/2022

Biolojia inasema kwamba baada ya kujamiiana, karibu mbegu milioni 200 hadi 300 huwekwa na mwanamume, zote huanza kuogelea kuelekea juu ndani ya njia ili kukutana na o**m, kati ya milioni 200 ambazo huwekwa 300 hadi 500 pekee hufika kwenye tovuti. (wengine huchoka njiani kwa sababu si mbio rahisi) na kati ya 300 wanaofanikiwa kufika kwenye yai (yai), ni mmoja tu ndiye aliyerutubisha yai na katika kesi hii aliyeshinda ni WEWE.
Je, umewahi kufikiria kuhusu hili? Ulikimbia mbio bila macho na miguu UMESHINDA, ulikimbia bila elimu na UKASHINDA, ulikimbia bila cheti na UKASHINDA, ulikimbia bila msaada na UKASHINDA, nini kinakufanya ufikirie UTASHINDWA sasa?
Sasa kwa kuwa una macho na miguu yote, sasa umepata maarifa ya neno la Mungu, sasa ukiwa na mipango, maono na ndoto, mpendwa hukukata tamaa siku ya kwanza, hivyo huwezi kukata tamaa sasa, kutoa. hadi sasa ni tusi kwa muumba wako.
Haijalishi unaona nini sasa, ichukulie k**a changamoto na kumbuka kila wakati kuwa ULISHINDA kutoka tumboni.
Call/Whatsapp no.0689554288

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE         By health benefits Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. H...
22/01/2022

DALILI ZA HORMONE IMBALANCE
By health benefits
Mfumo wa homoni ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na mili yetu. Husaidia kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi kadri umri unavyo songa mbele.
Baadhi ya dalili zinazoweza kuonekana kwa mtu mwenye changamoto ya mvurugiko wa homoni ni k**a vile:

✍️Ukavu ukeni

✍️Maumivu wakati wa tendo la ndoa

✍️Kutoa jasho usiku

✍️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

✍️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa

✍️Mabadiliko ya siku za hedhi

✍️kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)

✍️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

✍️Uchovu wa mara kwa mara

✍️Hasira za mara kwa mara

✍️Kukosa usingizi

✍️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara

✍️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula

✍️Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe

✍️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)

✍️Maumivu ya viungo

✍️Upungufu wa nywele kichwani

✍️Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

✍️Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)

✍️Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

✍️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi

✍️Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini

✍️Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango

✍️Maumivu ya kichwa mara kwa mara

✍️Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)

✍️Kutokupata choo kwa wakati

✍️Misuli hudondoka

💊MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONl

💉Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango.

💉Njia hizo husababisha saratani ya kizazi, CD4 kushuka, sehemu ya uke kuwa baridi, huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua,

💉huathiri mtoto atakayezaliwa,

💉huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria),

💉kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.

💉Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi k**a yafuatayo:

•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

•Mimba kuharibika mara kwa mara;

•Kukosa mtoto au Ugumba

•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

•UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara

•Kuzeeka mapema

•Kuziba kwa mirija ya uzazi

•Saratani

•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke
📞 wasiliana nasi kwa simu namba 0689554288 ilikupata tib

03/01/2022
Karibu Sana kwa huduma
03/01/2022

Karibu Sana kwa huduma

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dorcus Afya care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram