Herbs & Nutrition

Herbs & Nutrition We sell natural Herbs and supplements

07/12/2022

Rudisha heshima kwenye ndoa yako. Huu ni mchanganyiko wa Maca za aina 3 (black, Red and Yellow maca root)

Hivi virutubisho ni kwa wanaume na wanawake

Inasadia WANAUME
📌 Wanaowahi kufika kileleni mapema
📌 Ambao Askari analegea mapema na kushindwa kurudia round nyingine
📌 Ambao Askari anashindwa kusimama kwa wakati
📌Wanachoka sana baada ya tendo
📌wanaotokwa na mbegu bila kujijua
📌wasio na hamu ya tendo
📌 Wenye sumu kwenye figo
📌 wanaopata maumivu baada ya kufanya round zaidi ya moja

Inasaidia WANAWAKE
📌wanaosumbuliwa na changamoto za kukoma kwa hedhi(menopause)
📌Wasio na hamu ua tendo la ndoa
📌 wanakua wakavu wakati wa tendo
📌Wanaochoka sana baada ya tendo

Bei kitoga k**a kawaida

Bei 110,000
120 pills (2 months supply)
Call/whats app 0655515166

19/09/2022

Haya wale wote wenye uvimbe kwenye kizazi(Fibroid/Ovarian cyst) tuna jambo lenu.

Chai hii ni ya asili kabisa ... Imetengenzwa na Miti shamba kwa ajili ya kukusadia kuondoa uvimbe na sumu kwenye kizazi.

Hii chai inafaida zifuatazo
📌Inayeyusha uvimbe kwa wale wenye nao na kuzuia kupata uvimbe kwa wasio nao.
📌Inazibua Mirija ya uzazi iliyoziba
📌Inaondoa hali ya kutoka damu nyingi wakati wa hedhi kunakosababishwa na uvimbe
📌Inaondoa maumivu wakati wa hedhi
📌Inasafisha kizazi na kuondoa Sumu hata k**a zinesababishwa na madawa ya Uzazi wa mpango
📌Inakupa mwonekano mzuri wa ujana
📌Inaongeza joto kwenye kizazi ili kuongeza uwezekano wa kushika mimba.

‼️‼️‼️Chai ni bora kuliko Kisu‼️‼️‼️

Bei Tsh 35,000 kwa box moja

Call/What's app 0655515166

19/09/2022
06/09/2022

Wale wanaotaka watoto.... Msogee huku tuna jambo lenu ....

TEAVOLUTION inakuletea fertility tea ya wanaume na wanawake

Chai YA WANAWAKE inasaidia
📌kuondoa sumu kwenye kizazi ( hata k**a zimesababishwa na madawa ya uzazi wa mpango)
📌 Kubalance homon za mtumiaji
📌Kurekebisha mfumo wako wa hedhi
📌Inaondoa maumivu makali wakati wa hedhi
📌Inaongeza joto kwenye kizazi hii husaidia kuongeza uwezekano wa kushika mimba
📌Inaongeza ute wakati wa ovulation (hii husaidia kusafirisha mbegu kwa urahisi )
📌Inaimarisha kuta za uzazi kuzuia miscarriage

Bei 40,000 Tsh

Chai hii inafaida zifuatazo
📌 Inaondoa uchovu
📌Inakupa hamu ya tendo la ndoa
📌Inarekebisha hormones za mtumiaji
📌 Inaongeza wingi wa mbegu za kiume
📌Inaongeza Ubora wa mbegu za kiume
📌 Inaongeza nguvu kwenye mbegu kuiwezesha kusafiri kwa wepesi
📌Inatibu Vericocele
📌 Inaondoa sumu kwenye figo

‼️‼️‼️Ukitumia hii usione mabadiliko basi ujue umelogwa,njoo tuende kwenye maombi‼️‼️‼️

Bei 35000 kwa paketi moja

Yoni Detox tea..... Hii ni moja ya chai nzuri sanaa sanaaa kwa afya ya wanawake wote...📌Inatibu UTI na kulinda usipate U...
21/08/2022

Yoni Detox tea.....
Hii ni moja ya chai nzuri sanaa sanaaa kwa afya ya wanawake wote...

📌Inatibu UTI na kulinda usipate UTI
📌Inaimarisha mfumo wa kinga za mwili
📌Inasaidia kubalance PH ya uke
📌Inaondoa maumivu wakati wa hedhi
📌 Inasaidia kurekebisha mfumo wa hormon
📌Inasafisha kizazii
📌Inasaidia kupambana na bakteria wabaya kwenye uke
📌Inasaid kuzuia uzee(anti aging)
📌Inasaidia kupambana na kansa ya matiti na tumbo
📌Inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo...

Bei 30,000
calo/whats app 0655515166

18/08/2022

♦️Je umehangaika kutafuta mtoto kwa muda mrefu?
♦️umekua mhanga wa madawa ya uzazi wa mpango na imekua ngumunkwako kupata mtoto?
♦️umekua na tatizo la homorn imbalance kwa Muda mrefu?
♦️mzunguko wako wa hedhi haueleweki?
♦️Imekua ngumu kwa mwili wako kupevusha mayai yenye nguvu?

usikate tamaa, Tumekuletea chai itakayo kusaidia.
chai hii ni ya asili kabisa ... Imetengenzwa na Miti shamba kwa ajili ya kukusadia kuondoa sumu na matatizo mbalimbali kwenye mfumo wa uzazi.

Chai hii inasaidia
📌kuondoa sumu kwenye kizazi ( hata k**a zimesababishwa na madawa ya uzazi wa mpango)
📌 Kubalance homon za mtumiaji
📌Kurekebisha mfumo wako wa hedhi
📌Inaondoa maumivu makali wakati wa hedhi
📌Inaongeza joto kwenye kizazi hii husaidia kuongeza uwezekano wa kushika mimba
📌Inaongeza ute wakati wa ovulation (hii husaidia kusafirisha mbegu kwa urahisi )
📌Inaimarisha kuta za uzazi kuzuia miscarriage

Bei 40000 box lenye tea bags 30

Call/whats app 0655515166

15/08/2022

wale wanaotaka kupungua ila diet imewashinda msogee huku....

Herbs and Nutrition imewaletea slimming patches

yaani hii ni tiba ya asili kabisa, unaibandika kwenye mwilini na unapungua pole pole bila stress.... upo hapo?

mambo yankufanya diet mpaka unapata msongo wa mawazo hebu yasubiri kwanza.

Hizi slimming patches zina faida zifuatazo
📌Inasaidia kuondoa hali ya kukosa choo kwa wakati
📌Inausaidia mwili wako kupunguza kunyonya mafuta, sukari na wanga unaotokana na vyakua unavyokula
📌 Inasaidia kuchoma mafuta mwilini
📌 Inaondoa sumu mwilini
📌Inaondoa unene usioitajika mwilini na kukupa mwili unaoutamani

Bei 45000 box moja (30 Patches)
call whats app 0655515166

Steaming herbs ni tiba ya asili ya mvuke inayotumiwa na wanawake kwa sababu mbalimbali. Tiba hii inafaida zifuatazo...📌I...
15/08/2022

Steaming herbs ni tiba ya asili ya mvuke inayotumiwa na wanawake kwa sababu mbalimbali.

Tiba hii inafaida zifuatazo...
📌Inaondoa maumivu ya tumbo la hedhi, kukosa choo na uchovu unaoambatana na mzunguko wa hedhi
📌Inapunguza kutoka kwa damu nyingi wakati wa Hedhi
📌inazibua mirija iliyoziba
📌Inarekebisha mzunguko wa hedhi kwa wale ambao mzunguko hauko sawa
📌Inarudisha hedhi iliyokoma kabla ya umri wa kukoma kwa hedhi(menopause)
📌Inasaidia uponyaji wa haraka baada ya kujifungua
📌 Inasaidia uponyaji wa haraka kwa wale wenye bawasili
📌 Inasaidia kubalance PH ya uke
📌 Inaondoa bakteria wasio wazuri wanaoleta maambukizi ya magonjwa k**a fungus
📌Inapunguza changamoto zinazoletwa na kukoma kwa hedhi
📌Inasaidia kubana uke

Bei: 10000 paketi moja
call/what's app 0655515166

😍😍😍FEMENINE WASH 😍😍😍Wanawake wanaojipenda kunajambo lenu...... Hii ni sabuni ya kunawia ya wanawake. Ina faida zifuatazo...
14/08/2022

😍😍😍FEMENINE WASH 😍😍😍

Wanawake wanaojipenda kunajambo lenu......

Hii ni sabuni ya kunawia ya wanawake. Ina faida zifuatazo

📌Inaondoa harufu mbaya kwenye Uke
📌Inasaidia kubalance PH ya uke
📌Inasaidia kuzuia maambukizi ya fangus na bakteria kwenye uke
📌 Inakufanya kua na uke fresh muda wote

NB: wale wanaopata maambukizi ya fungus mara kwa mara ni muhimu kutumia hii, itakusaidia kupunguza maambukizi

Wale wanaopenda baba chaja azame chumvini.... Hii sio ya kukosa maana.... Unakua msafi na harufu za ajabu ajabu zote zinakwisha

Bei 30,000 Tsh chupa moja (150mls)
Call/ What's app 0655515166

Hii hapa chai maalum ya asili kwa ajili ya kutibu ulcers/vidonda vya tumbo.Uache kunywa chai zisizo na faida unywe chai ...
12/08/2022

Hii hapa chai maalum ya asili kwa ajili ya kutibu ulcers/vidonda vya tumbo.
Uache kunywa chai zisizo na faida unywe chai tiba kwa ajili ya mwili wako...

Hii chai
📌Inaponya kabisa vidonda vya tumbo ukiitumia kwa muda mrefu
📌Inaondoa gesi tumboni
📌Inaondoa kiungulia
📌Inakupa hamu ya kula
📌Inakusaidia kupata choo vizuri
📌Inaondoa maumovu ya tumbo yanayosababishwa na vidonda vya tumbo

Tumia kwa miezi mitatu mfululizo.. utakuja kunishukuru

Bei 35,000

Yoni Pearls ni mchanganyiko wa mitishamba mbalimbali ilyosagwa na kifungwa vizuri wa ajili ya ousafisha mfumo wa uzazi. ...
11/08/2022

Yoni Pearls ni mchanganyiko wa mitishamba mbalimbali ilyosagwa na kifungwa vizuri wa ajili ya ousafisha mfumo wa uzazi. Yoni Pearls zina fanya kazi zifutazo..

📌 Inaondoa PID (k**a umehangaika kote hapa umefika)
📌 Inaondoa UTI sugu
📌 Inaondoa Fungus Ukeni
📌Inaondoa harufu mbaya Ukeni
📌Inaondoa majimaji yasiyo ya kawaida ukeni
📌Inazibua mirija iloyoziba
📌Inakaza misuli ya uke na kuufanya kua mdogo.
📌Inaondoa uvimbe
📌Inaondoa maumivu wakati wa hedhi
📌Inarudisha hedhi iliyokoma etc

Bei 18000 kwa dose 1
Call/what's app 0655515166.

09/08/2022

Kunyonyesha kunaweza kuambatana na changamoto nyingi... Inaweza hata kusababisha msongo wa mawazo pale ambapo maziwa hayayoki na kuna kichanga kinalia njaa....kwa kutambua hili tumeleta chai kwa wale wamama wasiopata maziwa ya kutosha na wanatamani kunyonyesha watoto wao....

hii chai ni ya asili kabisa, imetengenezwa kwa mimea 10 tofauti kuhakikisha mama na mtoto waifurahia...

Hii chai inafaida zifuatazo

📌Inarahisisha umeng'enyaji wa chakula kwa mama na mtoto
📌Inaongeza uzalishaji wa maziwa ya mama
📌Inaongeza ubora wa maziwa ya mama
📌Inarahisisha uponaji kwa mama aliyejifungua
📌Inamsaidia mama kurejea katika hali yake ya awali kwa wepesi zaidi
📌Inasaidia kuondoa msongo wa mawazo baada ya uzazi
📌Inampa mama na mtoto usingizi mzuri 🛌

Bei 30,000 box moja
call/whats app 0655515166

Address

Arusha
2437

Telephone

+255655515166

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Herbs & Nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Herbs & Nutrition:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram