Yunusu AFYA Clinic

Yunusu AFYA Clinic NAWASAIDIA WATU WENGI WENYE CHANGAMOTO ZA MIFUPA NA MAUNGIO.

31/03/2026

31/03/2026

CONTACT: 0764222104.




26/03/2026

IKIWA UNAPATWA NA HALI HII YA
MAUMIVU MAKALI YA VIUNGO, CHUNGUZA HUENDA UNACHANGAMOTOZA A UMIVU MAGONJWA HAYA YA VIUNGO.
01.gout arthritis
02.Rheumatoid arthritis
03.Osteoarthritis

20/03/2026

♿️

16/03/2026

MADHARA YATOKANAYO NA KUFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME. ( prostatectomy). • kushindwa kusimamisha uume/ kuishiwa nguvu za kiume. • maambukizi ya njia ya mkojo au
sehemu iliyofanyiwa upasuaji. • kutokwa na damu isiyokata ,kutokana kuchelewa kupona. • kutokwa na mkojo bila taarifa • kutokwa na haja kubwa bila taarifa.Kutokana na madhara haya , bado yanaweza kuzuilika na kuondokana nayo kabisa kwa utaratibu wa kutumia Dawa zetu za Asili zisizo na kemikali.Lakini pia kwa wewe ,ndugu jamaa na rafiki ambaye unatatizo la • kuvimba tezi dume • Kukosa hisia za tendo ndoa • Unawahi kufika kileleni • unambegu chache • umeathirika na punyetona bado hujui hatma ya kuitibu ,au ushatumia dawa nyingi bila mafanikio ,wasiliana na mimi.
+255 764 222 104.
Tunapatikana Arusha.Jengo la Arusha Mall.Gorofa ya 2 , office no 12.Baadhi ya mikoa ,tunafanya huduma ya kutuma dawa pia nafika kwa miadi Maalumu.

14/03/2026

Leo Tuzingumzie sababu moja tu Ambayo inasababisha tatizo la maumivu ya sciatica (sciatica pain).

Sababu hii ni (SPINAL STENOSIS) hii ni moja ya sababu kubwa zinazopelekea Maumivu ya sciatica kutokana na kubanwa kwa mishipa ya fahamu au uti wa mgongo na kupelekea maumivu makali sana.

Spinal stenosis, hutokea kutokana na sababu kadhaa k**a zifuatazo
• kuchoka kwa mifupa ya Uti wa mgongo
• ⁠Kusagika kwa pingili za mgongo
• ⁠Ajali/Majeraha ya Uti wa mgongo.

Mgonjwa mwenye spinal stenosis anaweza kupata miashiria vifuatavyo.
• kushindwa kusimama muda mrefu/kutembea
• ⁠Maumivu ya mgongo na kiuno
• ⁠ganzi kali miguuni na mikononi
• ⁠kukosa nguvu miguuni na mikononi.

Matibabu pendwa ya spinal stenosis ni pamoja na matumizi ya dawa za kupunguza Maumivu k**a vile ibuprofen.
Kufanya mazoezi ya physiotherapy
Kuchoma sindano Za Maumivu
Kufanyiwa upasuaji ikiwa tatizo ni kubwa zaidi,

Tafti zinaonesha,mazoezi pamoja na njia za kutumia dawa zenye uwezo wa kujenga sehemu zilizo athirika ndio zinapendekezwa zaidi.
&jointcare

08/03/2026

AFYA ya mifupa ni dhamana yako,usipoitunza itakupa uzee k**a zawadi.

07/03/2026

Afya ya viungo vyako ni uhuru wa mwili wako—linda uhuru huo kwa kujua dalili za Rheumatoid Arthritis.”.

07/03/2026

UCHOVU WA VIUNGO NA MAUMIVU YA MARA KWA MARA NI DALILI ZINAZOWEZA KUASHIRIA UGONJWA HUU,CHUKUA HATUA MAPEMA.

18/01/2026

Uric Acid si maumivu tu — inaweza kuharibu figo zako.

17/01/2026

Mifupa imara, maisha imara!
Je, unajua upungufu wa Vitamin D na Calcium unaweza kusababisha maumivu ya mifupa na uchovu wa mwili?
💊 Vitamin zetu husaidia:
✅ Kuimarisha mifupa na meno
✅ Kuzuia maumivu ya viungo
✅ Kuongeza nguvu na uimara wa mwili





16/01/2026

NDONDOO ZA AFYA KUHUSU AFYA MIFUPA NA MAUNGIO.

Address

Arusha/ARUSHA MALL , (makao Mapya)
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766786266

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yunusu AFYA Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Yunusu AFYA Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram