21/05/2017
LEO NAPENDA TUJUE VISABABISHI NA DALILI ZA UVIMBE KATIKA TISHU ZA VIFUKO VYA MAYAI(CYSTEDENOMA)
Katika karne yetu hii nikiangalia wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa, wahisipo dalili zozote za maumivu ya tumbo hasa sehemu ya chini ya kitovu, na kisha kuchukua uamuzi wa kwenda hospitali kupata vipimo, baadhi yao katika kadi zao za Kliniki utaona wanapata majibu k**a haya,"CYSTEDENOMA"
Hali hii kwa kawaida huwa ni uvimbe unaokuwa kwenye tishu za vifuko vya ,mayai ya mwanamke, nao husababishwa na kujaa kwa majimaji yenye kuvutikavutika. Uvimbe wa aina hii unaweza kuwa mkubwa hata kufikia inchi 12 au zaidi kwa upana.
DALILI ZAKE
Dalili za uvimbe huu huwa k**a ifuatavyo:
1. Matiti kuuma
2. Kupata hedhi zisizokuwa na mpangilio
3. Kutokupata ujauzito
4. Maumivu ya kichwa
5. Kuhisi maumivu sehemu za mbavu upande wa kushoto au kulia.
JE, NINI SULUHISHO LAKE
James Herbal Clinic tuna dawa za asili zenye mchanganyiko wa vyakula vya asili. Redeemer na Fresh Herb ni dawa nzuri tulizoziandaa kwa ajili ya matatizo katika mfumo wa uzazi wa mwanamke. Redeemer ndio suluhisho kamili la CYSTEDENOMA.
kWA mawasiliano tupigie namba zifuatazo:
Arusha: 0752 389 252/0712 181 626
Dar Kigogo Polisi: 0768 221 346/0683 221 346
Mikoa ya Mtwara, Lindi, Masasi na Songea, Wakala wetu yupo Ruvuma. Piga namba 0752 416 341
Karibuni sana ndugu wapendwa, Mungu awabariki.