Dr M Kinyo

Dr M Kinyo tuna tibu maradhi yote sugu k**a presha kisukari,vidonda vya tumbo,uazazi n.k. Tunapatikana Tanga Tanzania. Tunatuma dawa mikowani na nchi jirani.

tunatibu kwa kutumia mimea tiba na matunda.

πŸŽ„πŸŽ‰ OFa MAALUM YA XMAS & MWAKA MPYA πŸŽ‰πŸŽ„Habari njema kwako na familia yako!Kwa kipindi hiki cha sikukuu, tunakuletea OFa KU...
26/12/2025

πŸŽ„πŸŽ‰ OFa MAALUM YA XMAS & MWAKA MPYA πŸŽ‰πŸŽ„
Habari njema kwako na familia yako!
Kwa kipindi hiki cha sikukuu, tunakuletea OFa KUBWA πŸ’₯

πŸ’Š Dawa ZOTE kwa maradhi mbalimbali sasa NI NUSU GHARAMA (50%)
πŸ‘‰ Usikose fursa hii ya kujitibu kwa gharama nafuu
πŸ‘‰ Afya njema ni zawadi bora ya sikukuu

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0757317155
https://wa.me/255757317155

πŸ“² Piga simu au tuma WhatsApp leo
⏳ Ofa ni ya muda mfupi – chukua hatua sasa!
✨ Xmas njema na mwaka mpya wenye afya! ✨

πŸŽ„πŸŽ‰ OFa MAALUM YA XMAS & MWAKA MPYA πŸŽ‰πŸŽ„Habari njema kwako na familia yako!Kwa kipindi hiki cha sikukuu, tunakuletea OFa KU...
25/12/2025

πŸŽ„πŸŽ‰ OFa MAALUM YA XMAS & MWAKA MPYA πŸŽ‰πŸŽ„
Habari njema kwako na familia yako!
Kwa kipindi hiki cha sikukuu, tunakuletea OFa KUBWA πŸ’₯
πŸ’Š Dawa ZOTE kwa maradhi mbalimbali sasa NI NUSU GHARAMA (50%)
πŸ‘‰ Usikose fursa hii ya kujitibu kwa gharama nafuu
πŸ‘‰ Afya njema ni zawadi bora ya sikukuu
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0757317155
πŸ“² Piga simu au tuma WhatsApp leo
⏳ Ofa ni ya muda mfupi – chukua hatua sasa!
✨ Xmas njema na mwaka mpya wenye afya! ✨

🌿Unasumbuliwa na matatizo ya homoni, maambukizi ya kizazi au vimbe (fibroids)?Usivumilie tena maumivu na usumbufu β€” RUWA...
22/12/2025

🌿
Unasumbuliwa na matatizo ya homoni, maambukizi ya kizazi au vimbe (fibroids)?
Usivumilie tena maumivu na usumbufu β€” RUWATO ipo kukurejeshea afya yako kwa njia ya asili πŸ’š
βœ… Husawazisha homoni
βœ… Huondoa maambukizi ya kizazi
βœ… Hupunguza vimbe na maumivu ya tumbo la uzazi
βœ… Husaidia kusafisha uchafu wa ndani
πŸ“ž PIGA SIMU SASA kwa ushauri na huduma:
πŸ“± 0757 317 155
πŸ“± 0684 833 484 (WhatsApp pia ipo)
πŸ“ Afya Bora Herbal Clinic
πŸ‘‰ Chukua hatua leo, linda afya ya kizazi chako!

🚨 PRESHA & KISUKARI VINAKUSUMBUA? 🚨Usiendelee kuteseka wakati suluhisho lipo!🌿 SHIMATOπŸ‘‰ Dawa ya asili inayosaidia: βœ… Kud...
21/12/2025

🚨 PRESHA & KISUKARI VINAKUSUMBUA? 🚨

Usiendelee kuteseka wakati suluhisho lipo!

🌿 SHIMATO

πŸ‘‰ Dawa ya asili inayosaidia:
βœ… Kudhibiti presha
βœ… Kupunguza kiwango cha sukari mwilini
βœ… Kuimarisha afya kwa ujumla

πŸ”₯ Tayari imesaidia watu wengi
πŸ”₯ Inatumika kwa urahisi
πŸ”₯ 100% Herbal

⏰ Usisubiri hali iwe mbaya!
πŸ“ž Piga simu sasa: 0757 317 155
https://wa.me/255757317155

πŸ“ Afya Bora Herbal Clinic





πŸ”₯ VIDONDA VYA TUMBO VINAKUSUMBUA? πŸ”₯Maumivu ya mara kwa mara, kiungulia au kichefuchefu? Usiteseke kimya kimya.🌿 GARISTO ...
21/12/2025

πŸ”₯ VIDONDA VYA TUMBO VINAKUSUMBUA? πŸ”₯
Maumivu ya mara kwa mara, kiungulia au kichefuchefu? Usiteseke kimya kimya.
🌿 GARISTO – Dawa ya asili ya vidonda vya tumbo
Kutoka Afya Bora Herbal Clinic, imeandaliwa kusaidia kurejesha afya ya tumbo lako.
βœ… Maumivu makali ya tumbo
βœ… Kiungulia na gesi tumboni
βœ… Kichefuchefu na kutapika
βœ… Kuhisi kuchoma kifuani
βœ… Kuungua mara kwa mara
✨ GARISTO inasaidia:
βœ” Kutibu vidonda vya tumbo
βœ” Kupunguza maumivu makali
βœ” Kuondoa kiungulia na kichefuchefu
βœ” Kurejesha utulivu wa tumbo

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa ushauri:
πŸ“² 0757 317 155
https://wa.me/255757317155

πŸ“ Afya Bora Herbal Clinic
πŸ’š We love and care







🌸 MATATIZO YA UZAZI YAKUKWAMISHA? 🌸Usikate tamaa mama πŸ’š Afya yako ni kipaumbele chetu.πŸ’Š GONATOX – Dawa ya asili kutoka A...
20/12/2025

🌸 MATATIZO YA UZAZI YAKUKWAMISHA? 🌸
Usikate tamaa mama πŸ’š Afya yako ni kipaumbele chetu.
πŸ’Š GONATOX – Dawa ya asili kutoka Afya Bora Herbal Clinic
Imesaidia kina mama wengi kurejesha afya ya uzazi kwa njia ya asili.
βœ… Kukosa hedhi bila mpangilio
βœ… Ovari kufunguka maji (PCOS)
βœ… Uzao pingamizi / tasa
βœ… Fistula
βœ… Kurudisha ovulation
βœ… Kurekebisha hormone balance
🌱 Dawa ya asili, salama na imeandaliwa kwa uangalifu mkubwa.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi:
πŸ“² 0757 317 155 (WhatsApp pia ipo)
πŸ“ Afya Bora Herbal Clinic
πŸ’š We love and care

20/12/2025

08/10/2025

🧠 JE, MWANAUME ANATAKIWA KUSUBIRI MUDA GANI KABLA YA KURUDIA TENDO BAADA YA BAO LA KWANZA?Baada ya kumaliza tendo, mwana...
07/10/2025

🧠 JE, MWANAUME ANATAKIWA KUSUBIRI MUDA GANI KABLA YA KURUDIA TENDO BAADA YA BAO LA KWANZA?

Baada ya kumaliza tendo, mwanaume huingia kwenye kipindi kinachoitwa β€œrefractory period” β€” ni muda ambao mwili wake hauwezi kurudia tendo mara moja kwa sababu homoni na misuli ya uzazi inahitaji kupumzika.

⏱ Muda wa kusubiri hutofautiana kwa kila mtu:

Vijana (miaka 18–30): dakika 5–20

Watu wazima (miaka 30–50): dakika 30–60

Zaidi ya miaka 50: inaweza kuchukua masaa kadhaa hadi siku

βœ… Vidokezo vya kusaidia kurudia kwa ufanisi:

Pumzika, usilazimishe mwili

Kunywa maji ya kutosha

Kula lishe bora yenye zinki na vitamini E

Epuka pombe na msongo wa mawazo

πŸ“Kumbuka: Kila mwanaume ni tofauti. Kutokuwa na uwezo wa kurudia mara moja si ugonjwa bali ni hali ya kawaida ya mwili.

πŸ“ž Kwa ushauri wa kiafya kuhusu nguvu za kiume na afya ya uzazi, wasiliana na Afya Bora Herbal Clinic

🌸 KIZALIA NYUMA – JE, NI HATARI?Wengi hawajui kuwa mji wa mimba unaweza kupinda kuelekea nyuma badala ya mbele. Hali hii...
05/10/2025

🌸 KIZALIA NYUMA – JE, NI HATARI?

Wengi hawajui kuwa mji wa mimba unaweza kupinda kuelekea nyuma badala ya mbele. Hali hii huitwa kizalia nyuma, na mara nyingi si ugonjwa, bali ni mkao tofauti wa mji wa mimba.

Lakini kwa wengine, inaweza kuleta:
⚠️ Maumivu ya mgongo wa chini
⚠️ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
⚠️ Ugumu kidogo wa kushika mimba

Habari njema ni kwamba hali hii inaweza kurekebishwa kwa matibabu au mazoezi maalum ya nyonga. πŸ’ͺ

πŸ’š Usikae kimya ukiwa na maumivu ya uzazi!

Pata uchunguzi wa kitaalamu leo Afya Bora Herbal Clinic.
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0757 317 155
πŸ“ Huduma bora kwa afya ya mwanamke.

βœ… VIDONDA SUGU – USIVIPUUZE!Vidonda visivyopona haraka vinaweza kuashiria tatizo kubwa zaidi la kiafya. Usisubiri viwe h...
03/10/2025

βœ… VIDONDA SUGU – USIVIPUUZE!
Vidonda visivyopona haraka vinaweza kuashiria tatizo kubwa zaidi la kiafya. Usisubiri viwe hatari – tafuta tiba mapema ili kuepuka madhara makubwa.

πŸ‘‰ Afya Bora Herbal Clinic tunakusaidia kwa ushauri na tiba asilia salama.

πŸ“ž Piga simu: 0757 317 155

Hashtags:

🌿 Trichodesma – Mimea ya Dawa AsiliπŸ”Ή Ni mmea wa familia ya Boraginaceae, wenye majani yenye manyoya madogo na maua ya bu...
01/10/2025

🌿 Trichodesma – Mimea ya Dawa Asili

πŸ”Ή Ni mmea wa familia ya Boraginaceae, wenye majani yenye manyoya madogo na maua ya buluu/zambarau.
πŸ”Ή Hutumika katika tiba za jadi kupunguza:
βœ”οΈ Kikohozi na maumivu ya kifua
βœ”οΈ Homa na malaria
βœ”οΈ Maumivu ya tumbo
βœ”οΈ Vidonda na majipu (kwa majani kusagwa na kuwekwa juu ya ngozi)

⚠️ Tahadhari: Baadhi ya spishi zina kemikali zinazoweza kudhuru ini, hivyo tumia kwa ushauri wa kitaalamu.

πŸ“ž Afya Bora Herbal Clinic – 0757 317 155

Address

Arusha City
Arusha
10441

Telephone

+255 757 317 155

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr M Kinyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category