20/10/2025
CAT CLINIC NA MATIBABU YA UZAZI, TUMBO PRESHA, SUKARI NA MIFUPA
Tunafuraha kukukaribisha katika hospitali yetu mpya, inayotumia teknolojia ya kisasa katika kutibu na kuhudumia wagonjwa. Huduma zetu zinalenga kuhakikisha unapata matibabu ya haraka, sahihi na yenye matokeo ya kudumu kwa TIBA LISHE
1. HUDUMA ZA MATIBABU YA MAGONJWA YA TUMBO
Tunatibu na kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula k**a:
• Vidonda vya tumbo (ulcers)
• Gesi na kujaa tumbo
• Kuvimbiwa au kuharisha sugu
• Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara
• Minyoo na maambukizi ya tumbo
• Maambukizi ya ini (Hepatitis A, B, C)
• Matatizo ya kongosho (Pancreatitis)
• Saratani ya tumbo na ini
2. HUDUMA ZA MIFUPA NA MAUNGIO
Kwa kutumia vifaa vya kisasa, tunahudumia:
• Maumivu ya mgongo na kiuno
• Kuvunjika kwa mifupa (fractures)
• Arthritis (magonjwa ya kuvimba maungio)
• Gout (maumivu ya maungio)
• Osteoporosis (udhaifu wa mifupa)
• Kulegea kwa viungo (dislocations)
• Kupinda kwa uti wa mgongo
• Uvimbe wa mifupa au maungio
3. AFYA YA UZAZI (WANAWAKE & WANAUME)
Tunatoa matibabu ya matatizo yote yanayohusiana na mfumo wa uzazi kwa wanawake na wanaume k**a:
• Ugumba (Infertility)
• Maumivu wakati wa hedhi au kutoona hedhi kabisa
• Kuvurugika kwa homoni
• Miujiza ya teknolojia ya kusaidia kupata mtoto (Fertility support)
• Magonjwa ya njia ya uzazi (PID, fibroids, cysts)
• Saratani ya kizazi au matiti
• Maambukizi ya mara kwa mara ukeni/kwa wanaume
• Matatizo ya nguvu za kiume (erectile dysfunction)
• Ushauri wa uzazi wa mpango
HUDUMA ZETU ZINAPATIKANA:
Tupo Dar es Salaam na pia tunatoa huduma mikoani kwa awamu, kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora za kiafya bila usumbufu.
GHARAMA ZA VIPIMO NI TSH 30,000
USHAURI NI BURE!
MAWASILIANO:
📞 Piga sasa: 0623556812 au Gusa Link hapo chini
📍 Tunapatikana Dar es Salaam na mikoani (ratiba inatolewa mara kwa mara)
https://wa.me/message/JJLPJLQZGILYO1