AFYA NI Utajiri WAKO

AFYA NI Utajiri WAKO Nasaidia
🙏uzazi kwa ME&KE
🙏Kupata mimba, P.i.d, u.t.i sugu,fangasi
🙏tezi dume, nguvu za kiume

Heri ya mwaka mpya
06/01/2024

Heri ya mwaka mpya

*✍🏻Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba:*Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kis...
21/06/2023

*✍🏻Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba:*
Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kisukari, na mara nyingine meno hulegea.

*✍🏻Uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa:*
Hili ni tatizo hasa la wanaume wenye umri unaozidi miaka 45, ambapo mara nyingi watakosa uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kikamilifu au uwezo wao wa kufanya tendo hilo kufa kabisa (Erectile Dysfunction).

*✍🏻Ganzi mikononi au miguuni:*
Uzidifu wa sukari mwilini huweza kuharibu neva au mishipa midogo ya damu inayolisha neva, hivyo kusababisha hali ya ganzi mikononi au miguuni.

*_KUJIFUNZA NI HATUA YA KWANZA NA KUFANYA MAAMUZI YA KUMALIZA CHANGAMOTO HII NI HATUA YA PILI_*

Wahi sasa tiba ipoo

*DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI* Part 1..., ...*✍🏻Kukojoa mara kwa mara:*Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndog...
21/06/2023

*DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*
Part 1..., ...

*✍🏻Kukojoa mara kwa mara:*
Jee, umekuwa na tabia ya kwenda kupata haja ndogo mara kwa mara? K**a jibu ni ndiyo, basi figo zako sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.

*✍🏻Kiu Isiyoisha:*
K**a unakojoa mara kwa mara, utapata kiu isoisha kwa sababu mwili unahitaji kurudisha maji uliyopoteza kwenye mkojo.

*✍🏻Njaa Kali:*
K**a isulin yako haifanyi kazi au k**a huna insulin, mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu. Katika kutafuta njia nyingine ya kupata nguvu, mwili utakuwa na njaa ili uupatie chakula.

*✍🏻Kuongezeka kwa uzito (unene):*
Hii inatokana na dalili ya kusikia njaa kali, na kula kila saa au kula kupita kiasi.

*✍🏻Kupungua uzito kusiko kawaida:*
Hili huwatokea zaidi wagonjwa wa Type 1 Diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu, mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu hiyo, hali inayochangiwa zaidi na tabia ya kisukari cha aina hiyo kujitokeza kwa ghafla.

*✍🏻Uchovu wa mwili:*
Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea.

*✍🏻Hasira:*
Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu.

*✍🏻Kutoona vizuri:*
Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri. Tatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu.

*✍🏻Vidonda kutopona vizuri au haraka:*
Unapokuwa na sukari nyingi katika damu, uwezo wa mwili kuponya vidonda hupungua.

*Magonjwa ya ngozi:*
Mwili wenye sukari nyingi ndani ya damu huwa na uwezo mdogo sana wa kujiponya kutokana na maambukizi ya wadudu. Wanawake wenye kisukari huwa na maambukizi zaidi na hupata shida kubwa ya kuponya maambukizi ya sehemu nyeti za miili yao.

*✍🏻Kuwashwa kwa ngozi:*
Kuwashwa kwa ngozi mara nyingine ni dalili ya kuwa na kisukari.

*✍🏻Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba:*
Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kisukari, na mara nyingine meno hulegea.

Inaendelea part 2......

SEREKALI INASEMAJE KUHUSU MAGONJWA YA KUAMBUKIZA?!?"Mbinu muhimu za kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza ni pamoja na ku...
17/04/2023

SEREKALI INASEMAJE KUHUSU MAGONJWA YA KUAMBUKIZA?!?

"Mbinu muhimu za kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza ni pamoja na kubadili mtindo wa maisha kwa kudhibiti matumizi ya vilevi k**a sigara na pombe, matumizi ya sukari na chumvi, kufanya mazoezi ya mwili pamoja na kuepuka tabia bwete."

NUKUU YA NAIBUBWAZIRI WA ELIMU ANASEMA:K

Katika kongamano la nne la Kisayansi katika wiki ya maadhimisho ya wiki ya Magonjwa Yasiuoambukiza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe amesema Serikali inaendelea kuboresha miundombinu na kununua vifaa tiba vya kisasa vikiwemo vifaa vya uchunguzi  vinavyowezesha wanasayansi kufanya kazi zao kiurahisi ili kugundua magonjwa mapema hususan yasiyoambukiza. 

"Huduma za Uchunguzi na utambuzi wa magonjwa (Maabara), Mionzi na Radiolojia zimeboreshwa kwa maana ya miundombinu na vifaa vya kisasa ili kurahisisha utoaji huduma ya magonjwa yasiyoambukiza na uwezo wa kufanya tafiti mbambali za kisayansi."

"Aidha, Prof. Mdoe ametoa wito kwa taasisi kujiwekeza katika kutoa huduma, waongeze kasi pia ya kufanya tafiti za kisayansi zitakazowezesha wananchi kujikinga na magonjwa haya na pia zitakazowezesha kutoa mbinu mpya za matibabu"

"Pia, amewataka wataalamu hao kujadiliana juu ya matumizi ya dawa za asili ambazo nyingine zimekuwa zikitumika kutibu pumu, shinikizo la juu la damu na Saratani."

"Tuweke mfumo sahihi wa kuwezesha dawa hizi za asili zikithibitika kisayansi kuwa zinatibu na hazina madhara ili tuweze kuzitumia kudhibiti magonjwa haya yasiyoambukiza." Amesema Prof. Mdoe"

"Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufanya kazi na wadau wote wenye nia ya kusaidia mapambano dhidi ya magonjwa Yasiyoambukiza, kwani bila kufanya hivyo mlipuko wa magonjwa haya utaendelea kuua watu wengi, kuleta ulemavu na mwisho kurudisha nyuma jitihada za Taifa kukuza uchumi."

Kwa upande wake Mkurugenzi wa huduma za Tiba Prof. Paschal Ruggajo amempongeza Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kulipa kipaumbele swala la mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza na sasa ameipa kazi K**ati ya Kudumu ya Bunge ya Ukimwi, kifua kikuu kusimamia maswala ya Magonjwa Yasiyoambukiza.

  KWA AKINA MAMA(_BREAST_CANCER)SARATANI YA MATITI NI NINI?Ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye mat**i sara...
11/04/2023

KWA AKINA MAMA
(_BREAST_CANCER)

SARATANI YA MATITI NI NINI?

Ni mabadiliko ya chembechembe hai zilizopo kwenye mat**i saratani hii kwa kawaida haina dalili katika hatua za mwanzo. Katika hatua za mwanzo za saratani hii mwanamke anaweza asionyeshe dalili yeyote

Uchunguzi wa awali ndio utakao wezesha kuugundua ugonjwa katika hatua hii mabadiliko yaletwayo na saratani ya mat**i ni k**a ifuatavyo

👉 Kivimbe katika t**i au kwenye makwapa.
👉Mabadiliko ya umbo na ukubwa wa t**i.
👉Kutokwa na majimaji au damu katika chuchu ama chuchu kuingia ndani ya ziwa.
👉Mabadiliko katika rangi ya ngozi ya t**i (kuonekana k**a sehemu ya nje ya ganda la chungwa).



👉Kukoma siku katika umri mkubwa
👉Kutozaa kabisa.
👉Kutonyonyesha kabisa au kunyonyesha kwa muda mfupi.
👉Utumiaji mafuta mengi katika chakula.
👉Kutokufanya mazoezi ya mara kwa mara.
👉Unene kupita kiasi
👉Uvutaji sigara.
👉Utumiaji wa pombe kupita kiasi.
👉Historia ya saratani ya mat**i katika familia



✍️Kujichunguza mwenyewe mara kwa mara kwa mara kwa kuangalia dalili za saratani hii.
✍️Uchunguzi wa kitabibu wa mat**i kila mwaka.
✍️Uchunguzi wa mat**i kwa njia ya mashine ya mionzi (mara moja kwa mwaka kwa wenye miaka zaidi ya 40).

HATUA 5 RAHISI ZA KUJICHUNGUZA MATITI

1.Jiangalie katika kioo ukiwa umesimama wima na umeweka mikono kiunoni.
2.Angalia k**a kuna mabadiliko katika umbo au rangi ya ngozi ya t**i na k**a
AU

Ukiwa umesimama au umelala chali tumia mkono pamoja na kipaji cha vidole vya mkono wa kulia kuchunguza t**i la kushoto na mkono wa kushoto kuchunguza t**i la kulia kwa njia ya mzunguko.
Kwa upole kamua chuchu ya kila t**i na chunguza k**a kuna ute ulio changanyika na damu.
Muone daktari k**a kuna uvimbe au ute ulio changanyika na damu au hali yoyote ulioiona wakati wa kujichunguza

Kwa tibalishe au matibabu ya changamoto hii wasiliana nasi kwa ushauri zaidi

  NA MTINDO WA MAISHA*IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI👇**DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA   (G...
03/04/2023

NA MTINDO WA MAISHA

*IJUE SABABU YA KUTOKUPONA VIDONDA VYA TUMBO HIYO HAPO CHINI👇*

*DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA (GERD-Acid Reflux* 

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.

2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.

3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.

4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.

5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.

6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na hofu kubwa 

7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.

8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.

9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.

10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha 

11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.

12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.

13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki

14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).

16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.

17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.

18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.

19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.

21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.

22.🖇️Kichefuchefu na kutapika

*HIYO NDIO SABABU YA KUTIBIWA NA KUTOKUPONA* *KABISA VIDONDA VYA TUMBO*

UKIWA NA ACID TUMBONI HAUWEZI KUTIBU VIDONDA PEKEAKE UKAPONA HATA UNGETIBIWA NA DAWA YA KUTOKA SEHEMU GANI MAANA ACID NI KICHOCHEZI CHA KUONGEZEKA KWA VIDONDA VYA TUMBO AU KUTONESHWA *VIDONDA up VINAVYOTIBIWA AU KUJIRUDIA KWA VIDONDA* *VYA TUMBO MAANA INASABABISHA VIDONDA VYA TUMBO PIA*

virusiUgonjwa wa kisukari ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanaua watu zaidi ya milioni moja kila mwaka - na mtu yeyote a...
21/03/2023

virusi

Ugonjwa wa kisukari ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanaua watu zaidi ya milioni moja kila mwaka - na mtu yeyote anaweza kuupata.

Husababishwa wakati mwili hauwezi kuchakata sukari (glucose) yote katika mfumo wa damu; matatizo yake yanaweza kusababisha mshtuko wa moyo, kiharusi, upofu, figo kushindwa kufanya kazi na kukatwa kiungo cha chini.

Ni tatizo linaloongezeka kila uchwao- wastani wa watu milioni 422 wanaishi na kisukari duniani - mara nne zaidi ya miaka 40 iliyopita, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO).

Licha ya hatari ya ugonjwa huu, nusu ya watu walio na ugonjwa wa kisukari hawajui. Lakini mabadiliko ya mtindo wa maisha yanaweza kuzuia kupatwa ugonjwa huu.

USHAURI WA CHAKULA KWA MTU ANAYESUMBULIWA NA BAWASIRIK**a unasumbuliwa na bawasiri pendelea vyakula vifuatavyo:-🤝Matunda...
04/03/2023

USHAURI WA CHAKULA KWA MTU ANAYESUMBULIWA NA BAWASIRI

K**a unasumbuliwa na bawasiri pendelea vyakula vifuatavyo:-

🤝Matunda hasw parachichi, ndizi za kuiva, papai, tufaa na mapeazi, nanaasi, zabibu

🤝Maharage, kunde, , dengu na njegere

🤝Maboga, karoti, vitunguu maji na swaumu, bamia, nyanya, pilipili hoho, viazi vitamu

🤝mboga za majani kwa wingi kila siku

🤝Mbegu za maboga, mbegu za almond , alizeti , samaki, kuku, mayai
🤝Maji safi kwa wingi

Tumia kwa wingi kadirii uwezavyo

Lakini pia tunazo tiba lishe nzuri kwa ajili ya kutatua changamoto ya bawasiri

  ( )?👉  ( ) is an infection or inflammation of the female reproductive system. It can affect one or more organs includi...
27/02/2023

( )?
👉 ( ) is an infection or inflammation of the female reproductive system. It can affect one or more organs including the:

➡️cervix
➡️uterus (womb) and endometrium (lining of the uterus)
➡️fallopian tubes
➡️ovaries.

PID can cause chronic pelvic pain in some people, while in others symptoms can be mild or silent – meaning some people may not even know they have PID.

PID is treatable, if left untreated it can cause:

➖infertility
➖ectopic pregnancy
➖damage to the reproductive system.

✍️PID can affect anyone, but s*xually active women in their 20s are commonly affected.

✍️PID usually occurs over 3 stages:

✅starting in the cervix
followed by the endometrium
then the fallopian tubes.

(PID)
✍️PID is usually caused by a bacterial infection. The most common cause are s*xually transmissible infections (STIs) mainly:

chlamydia
gonorrhoea
mycoplasma genitalium
Other causes of PID include:

✍️ruptured (burst) appendix
✍️bowel infection (such as gastroenteritis)
✍️va**nal infections (such as bacterial vaginosis or BV)
some surgical procedures (such as dilatation and curettage (D&C), insertion of an intrauterine device (IUD) or surgical abortion).

(PID)_symptoms

For some, it can be hard to tell if you have PID because there may not be any obvious symptoms. That’s why it’s important to have regular health checks and get tested for STIs at least once a year if you are s*xually active.

can include:

👉lower abdominal pain or tenderness that may worsen with movement
menstrual problems (such as painful periods, ovulation pain, heavy discharge)
👉change in smell, colour or amount of va**nal discharge (such as unpleasant or ‘fishy’ odour)
👉bleeding and spotting after s*x
👉painful s*x (dyspareunia)
fever
👉nausea and vomiting.

✍️Pelvic inflammatory disease (PID) and infertility risk

If left untreated, PID can cause long-term scarring and blockage of the fallopian tubes. This may lead to infertility because the fertilised egg is unable to pass through the fallopian tube to the uterus (womb).

✍️If you have had PID, you may be at a greater risk of having an ectopic pregnancy (where the foetus develops outside the uterus).

(PID)_diagnosis

➡️Depending on the cause of your PID, diagnosis may include:

a physical examination of your pelvic area to check for tenderness and swelling
-blood tests
-urine test
-swabs of the va**na and cervix
-ultrasound (pelvic or transva**nal)

(PID)

✍️To help reduce your risk of PID and transmitting the bacteria that causes it:

✅Practise safe s*x – use condoms (external and internal) during any form of s*xual contact with your partner/s.
✅If you are s*xually active, get tested at least every 12 months for STIs.
✅Get tested for STIs – more regularly if you have multiple s*xual partners (including casual partners) over a short period.
✅See your GP or health clinic if you notice any symptoms or suspect you may have PID.
✅If you are planning to start a family or are pregnant, get tested for STIs.
✅If you have an STI, let your s*xual partners know. If you feel uncomfortable, your GP or s*xual health centre can help. You can also notify partners anonymously through


✍️Persistent pelvic pain can occur if PID is not treated. This is usually due to extensive scarring.

✍️Early treatment of PID may minimise the risk of complications.

Treatment usually involves:

👉a combination of antibiotics that act against a range of organisms (usually taken for 2 weeks)
👉avoiding s*xual contact until you have finished your treatment and you have no symptoms
👉testing your partners and treating them

👍✍️The overuse of antibiotics can change bacteria so much that antibiotics don't work against them. This is called bacterial resistance or antibiotic resistance. Some bacteria are now resistant to even the most powerful antibiotics available. Antibiotic resistance is a growing problem.

✍️✅TO AVOID COMPLICATIONS OF ANTIBIOTICS WE RECOMEND OR .
✅✍️We recomend the fallowing supplement to treat P.I.D

1. Zamical Capsules 2. Famicare and 3.Yunzhi essence these are best supplement proved by health organisation au authority like FDA, HALAL , GMP, PIC/S, ISO etc
Contact me , whatsapp +255629198601
TO GET YOUR PACKAGE

Hemorrhoids (HEM-uh-roids), also called piles, are swollen veins in your a**s and lower re**um, similar to varicose vein...
27/02/2023

Hemorrhoids (HEM-uh-roids), also called piles, are swollen veins in your a**s and lower re**um, similar to varicose veins. Hemorrhoids can develop inside the re**um (internal hemorrhoids) or under the skin around the a**s (external hemorrhoids).

?

hemorrhoids are associated with
chronic constipation,
straining during bowel movements
prolonged sitting on the toilet
increased pressure due to pregnancy,
being overweight,
A diet low in fiber
A**l s*x


Signs and symptoms of hemorrhoids usually depend on the type of hemorrhoid.

hemorrhoids
These are under the skin around your a**s. Signs and symptoms might include:
Itching or irritation in your a**l region
Pain or discomfort
Swelling around your a**s
Bleeding


Internal hemorrhoids lie inside the re**um. You usually can't see or feel them, and they rarely cause discomfort. But straining or irritation when passing stool can cause:

Painless bleeding during bowel movements. You might notice small amounts of bright red blood on your toilet tissue or in the toilet.

A hemorrhoid to push through the a**l opening (pr*****ed or protruding hemorrhoid), resulting in pain and irritation.


If blood pools in an external hemorrhoid and forms a clot (thrombus), it can result in:
Severe pain
Swelling
Inflammation
A hard lump near your a**s



Rarely, hemorrhoids could lead to problems such as:
Skin tags. When the clot in a thrombosed hemorrhoid dissolves, you may have a bit of skin left over, which could get irritated.
Anemia. You might lose too much blood if you have a hemorrhoid that lasts a long time and bleeds a lot.
Infection. Some external hemorrhoids have sores that get infected.
Strangulated hemorrhoid. Muscles can block the blood flow to a pr*****ed hemorrhoid. This may be very painful and need surgery.


To prevent hemorrhoid flare-ups, try these steps:
Eat fiber. It helps food pass through your system easier. A good way to get it is from plant foods: vegetables, fruits, whole grains, nuts, seeds, beans, and legumes. Aim for 20 to 35 grams of dietary fiber a day.
Use fiber supplements. Over-the-counter supplements can help soften stool if you don’t get enough fiber from food. Start with a small amount, and slowly use more.
Drink water. It will help you avoid hard stools and constipation, so you strain less during bowel movements. Fruits and vegetables, which have fiber, also have water in them.
Exercise. Physical activity, like walking a half-hour every day, keeps your blood and your bowels moving.
Don't wait to go. Use the toilet as soon as you feel the urge.
Don’t strain during a bowel movement or sit on the toilet for long periods. This puts more pressure on your veins.
Keep a healthy weight.

is divided by the cause of symptoms, into internal and external treatments. Accurately classifying a patient's symptoms and the relation of the symptoms to internal and external hemorrhoids is important.

If other treatments do not work or if the hemorrhoid is very large, your may recommend minor surgery to remove it.

Hemorrhoids often get better without surgery by using natural method such as food supplements for more information

whatapps +255629198601

SABABU ZA MWANAMKE KUTOA HARUFU MBAYA UKENI Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni  watu wengi hudhani kuwa na harufu m...
23/02/2023

SABABU ZA MWANAMKE KUTOA HARUFU MBAYA UKENI
Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajuhi kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na kuwaumiza kichwa kutokana na kwamba lina athari kubwa sana kwani hufanya ndoa zao kudumaa NK,
~kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo
~majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria
~Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana
~mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu
VISABABISHI VYA TATIZO HILI
~sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili
(1)BACTERIA VAGINOSIS
~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili

(2)TRICHOMONAS
~maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hiliSABABU ZA MWANAMKE KUTOA HARUFU MBAYA UKENI
Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwachamba wake zao kuwa hawajuhi kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na kuwaumiza kichwa kutokana na kwamba lina athari kubwa sana kwani hufanya ndoa zao kudumaa NK,
~kitaalamu Hali ya mwanamke kutokwa na maji yenye rangi nyeupe au njano ni Hali ya kawaida na sio tatizo Lakini endapo maji yanatoka yapo katika Hali ya ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali au kuwasha hapo una tatizo
~majimaji au ute unaoteleza kutoka sehemu za siri ni njia inayowezesha viungo vya uzazi vya mwanamke kujisafisha au kutoa uchafu wa seli zilizokufa na mabaki ya damu ya hedhi nnje ya mwili pia huvikinga viungo vya uzazi dhidi ya maaambukizi ya bacteria
~Kwa kawaida huwa hayatoi harufu na huwa hayawashi na huwa na rangi nyeupe au njano pia huwa na asidi ya LACTIN ambayo huzuia bacteria kuzaliana
~mwanamke hutoa kiasi cha grams 2 za seli zilizokufa kutoka kwenye mji wa kizazi na grams 3 za ute mwepesi kila siku, kiwango hicho kinaweza kuongezeka au kupungua kutegemeana na mzunguko wa hedhi pia Kuna wakati ute huwa mwepesi na unaovutika na Kuna wakati pia huwa mzito wa rangi ya njano hautoi harufu
VISABABISHI VYA TATIZO HILI
~sababu za kutokwa na uchafu ukeni una vyanzo vingi sana vifuatavyo ni vyanzo vya tatizo hili
(1)BACTERIA VAGINOSIS
~Chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijafanikiwa kuwa wazi,kinachotokea ni kuongezeka kwa ghafla kwa idadi ya ya bacteria hawa na kubadilisha uwiano wa kawaida katika mazingira ya uke, wanawake wenye wapenzi wengi na wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo Wana hatari ya kupata tatizo hili

(2)TRICHOMONAS
~maambukizi haya hutokana na Aina ya protozoa wa seli moja, trichomonas mara nyingi huambukizwa kwa njia ya ngono, protozoa huyo huweza kukaa kwenye unyevu unyevu kwa Muda wa saa 24 Bila kufa hivyo kufanya taulo na chupi zisizokauka kuwa chanzo kingine cha tatizo hili.......

23/02/2023

Address

Ilala Dar Es Salaam
Babati

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA NI Utajiri WAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA NI Utajiri WAKO:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram