Amani Wilson

Amani Wilson my page daels with medicals and if somebody wants to advertising anything welcome

30/07/2022

Dark period 😢
“Door Of No Return" in Senegal 🇸🇳 Goree island

Many Africans walked through this door on chains on their way to the antebellum of Americas to be ensl@ved 400 years ago. Once they walked through this door, they never return to their family, friends & their way of life and identity were destroyed.

03/08/2020

UKOSEFU WA UTE UTE KWENYE MAUNGIO NA TATIZO LA MIFUPA (GAUTI).

Bila shaka umesha msikia ndugu yako,wewe mwenyewe, rafiki au mtu wako wa karibu wakilalamika kuugua tatizo la GAUTI, kuuma kwa MAUNGIO k**a MAGOTI(Knee Joint), NYONGA, BEGA(Shoulder Joint) KIUNO na MGONGO. Wako pia wanaolalamika maumivu ya maungio ya kisigino(Ankle Joint)

Inasemekana kwamba kuna zaidi ya watu bilioni nne duniani wana sumbuliwa na matatizo ya viungo( MAUNGIO)
Ambapo wanawake ni 18% na wanaume ni 9.6%
Kawaida katika MAUNGIO huwa kuna ute ute uitwao synonvial fluid ambao kazi yake ni kulainisha joints, pia kuna kitu k**a sponji kiitwacho cartilage (gegedu) ambayo Kazi yake ni kufanya mfupa na mfupa visisagane hivyo sponji hii na ute ute juu ndio vinavyofanya MAUNGIO yawe salama salimini
TATIZO hili kitaalamu huitwa OSTEOARTHRITIS(OA) hutokea pale ambapo gegedu(cartilage) kuanza kulika pole pole na kusababisha mifupa ya kwenye MAUNGIO kusagana hii husababisha maumivu

CHANZO_CHA_TATIZO
•kula sana vyakula vyenye uric acid k**a nyama nyekundu
•Umri mkubwa
•Uzito mkubwa
•Kuumia Kwa Kupata ajali
•Kurithi (genesis)
•Wafanya mazoezi/wana michezo

Endapo_usipotibu_tatizo_hili_kuna_uwezekano_mkubwa_wa_kufanyiwa_upasuaji na kuwekewa cartilage za bandia ambapo kimsingi ni gharama kubwa sana na si njia sahihi kwani unaweza kujihisi kilema

Fika kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa ushauri na tiba zaidi

R.I.P
24/07/2020

R.I.P

Rest in peace BENJAMIN .W. MKAPA
………............................................

Pumzika kwa amani BENJAMIN .W. MKAPA

Rest in peace BENJAMIN .W. MKAPA………............................................  Pumzika kwa amani BENJAMIN .W. MKAPA
23/07/2020

Rest in peace BENJAMIN .W. MKAPA
………............................................

Pumzika kwa amani BENJAMIN .W. MKAPA

20/02/2020

Looking for dispenser

29/06/2019

MIGUU KUWAKA MOTO…….
Mei- 7-2019

MIGUU KUWAKA MOTO AU (FOOT NEUROPATHY)

Huu ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi sana na Mara nyingi humfamnya mtu mwenye tatizo hilo kushindwa kusinzia japo anahisi kusinzia.

MIGUU KUWAKA MOTO ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo k**a kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni k**a kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.

DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO
Ugonjwa huu unadalili nyingi zikiwemo;

Kuhisi ganzi, kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,joto Kali miguuni,kuhisi k**a unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.

VITU/ MAMBO YANAYOWEZA KUPELEKEA MTU MIGUU YAKE KUWAKA MOTO
Kuna mambo mengi sana yakiwemo;
~UZITO MKUBWA WA MWILI(hii husababisha uti wa Mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.

~Matumizi ya baadhi za Dawa zenye chemikali kwa muda mrefu au Mara kwa Mara mfano Dawa za TB, HIV n.k

~UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO MWILINI HASA MKUSANYIKO WA VITAMINI B( VITAMINI B COMPLEX)

~MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU, MAGOTI ,MZIO NA FANGASI

~MATATIZO YA MOYO

~MATATIZO KATIKA MISHIPA YA DAMU

~ULEVI WA KUPINDUKIA KWA MUDA MREFU

KUEPUKA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO

~KUWA NA UZITO UNAOENDANA NA KIMOCHAKO

~FANYA MAZOEZI YA MWILI

~KULA CHAKULA KINACHOKUPATIA VIRUTUBISHO MWILINI HASA VITAMINI B COMPLEX

~USAFI WA VIATU, SOX NA MIGUU

~ ONDOA SUMU AU KEMIKALI MWILINI MARA KWA MARA

MATIBABU

~KULA VYAKULA VYENYE MKUSANYIKO WA VITAMINI B ZA KUTOSHA(B COMPLEX)

~ FANYA MAZOEZI YA MWILI K**A KUKIMBIA, KUTEMBEA N.K PIA KUFANYA MASSAGING.
~PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

~TUMBUKIZA MIGUU KATIKA MAJI VUGUVUGU YENYE CHUMVI

~TIBU MARADHI YA KISUKARI HAKIKISHA SUKARI IPO SAWA

~ONDOA SUMU MWILINI KWA VITU VISIVYO NA KEMIKALI

~CHUA MIGUU YAKO KWA VITU VINAVYO PUNGUZA MAUMIVU,VINAVYO SAIDIA MZUNGUKO WA DAMU KUWA VIZURI (paka Asali mbichi, shubiri na limau)

Je una tatizo la maumivu chini ya mguu (unyayo)?Je unajua chanzo ni nini?Tiba ni nini?Majibu haya nitakuletea hapa hapa
17/02/2019

Je una tatizo la maumivu chini ya mguu (unyayo)?
Je unajua chanzo ni nini?
Tiba ni nini?
Majibu haya nitakuletea hapa hapa

Tambua mzunguko wako wa hedhi hapa
20/11/2018

Tambua mzunguko wako wa hedhi hapa

Your menstrual cycle is part of your body’s way of preparing for a possible pregnancy each month. Understanding how the process works is important, since you can use this information to help to either get pregnant or avoid getting pregnant, to better manage any menstrual symptoms you are experienc...

You have menorrhagia? Open here to know how to solve
20/11/2018

You have menorrhagia? Open here to know how to solve

Heavy periods or irregular periods can be annoying and disrupt your life. Learn about treatments that can help with menstrual cycle problems.

Health is wealth Stay heathly 🍏🍏🍏🍏
13/11/2018

Health is wealth
Stay heathly 🍏🍏🍏🍏

12/10/2018

Address

0710999266
Bagamoyo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amani Wilson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Amani Wilson:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category