Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, Hospital, NYAUMATA, Bariadi.

04/09/2025
Kambi ya madaktari bingwa itakuwepo hospitali ya rufaa ya mkoa Simiyu kuanzia tarehe 18-21 Juni 2024.. wote mnakaribishw...
10/06/2024

Kambi ya madaktari bingwa itakuwepo hospitali ya rufaa ya mkoa Simiyu kuanzia tarehe 18-21 Juni 2024.. wote mnakaribishwa.

Huduma za Viungo Bandia na Viungo saidizi ni Miongoni mwa huduma zinazotolewa Katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiy...
18/05/2024

Huduma za Viungo Bandia na Viungo saidizi ni Miongoni mwa huduma zinazotolewa Katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
Kufahamu haya na Mengine Mengi Ungana nasi katika Kipindi Cha Afya ni Mtaji Cha Bariadi Fm kuanzia saa 6 kamili Hadi saa 7 Kamili Mchana Leo 18/05/2024

Ili kupata Huduma huduma mbalimbali katika hospital ya Rufaa Mkoa Simiyu unaweza kuwasiliana nasi Kwa namba 0753321860

Nyote Mnakaribishwa

Mwenyekiti TUGHE Taifa, Cde Joel kaminyoge amefanya ziara ya mkoani Simiyu na kutembelea Tawi la Tughe Hospitali ya Rufa...
11/05/2024

Mwenyekiti TUGHE Taifa, Cde Joel kaminyoge amefanya ziara ya mkoani Simiyu na kutembelea Tawi la Tughe Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Simiyu, akipokelewa na Mwenyekiti wa Tawi, Damiano M. Aqweso, pamoja na Mganga Mfawidhi wa hospitali, Dr. Athanas Ngambakubi. Mwenyekiti TUGHE Taifa akiwa na wanachama akijibu kero mbalimbali, kuelimisha na kutoa pongezi katika Maendeleo ya Tawi.tanzania

karibuni woote
10/09/2022

karibuni woote

24/07/2021

Umuhimu wa barakoa

24/07/2021

Jikinge na wakinge wengine

24/07/2021

Hatua za unawaji wa mikono kwa usahihi

 ̇d19  tukikinge na tuwakinge wengine
24/07/2021

̇d19 tukikinge na tuwakinge wengine

Uboreshaji wa Huduma za Macho
08/07/2021

Uboreshaji wa Huduma za Macho

Address

NYAUMATA
Bariadi
391

Telephone

0677988171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category