Tezi Dume Bila upasuaji

Tezi Dume Bila upasuaji TATUA changamoto ya tezi dume hapa

26/07/2022

TEZI DUME NI NINI CHANZO DALILI NA TIBA BILA UPASUAJi

Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la

kiume ambalo kila mwanaume analo,
tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo
na linazunguka njia ya mkojo toka
kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume
nalo huongezeka ukubwa ambao
unaweza kuwa wa kawaida au
saratani.

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi

dume.

• Maambukizi ya Bakteria
(Prostatitis).

• Kukua kwa tezi dume ambalo
sio saratani (Benign Prostatic
Hypertrophy-BPH).

• Saratani ya tezi dume.

KAZI YA TEZI DUME

Kutoa majimaji anayochanganyika na
mbegu za kiume (s***ms) kutengeneza
manii (semen).

VITU VINAVYOSABABISHA SARATANI
YA TEZI DUME

Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume
hakijulikani, saratani hii ina uhusiano
mkubwa na;

• Umri, Wanaume wenye umri kuanzia
miaka 60 na kuendelea wanapata
zaidi saratani ya tezi dume.

• Vyakula vyenye kiasi kikubwa cha
mafuta, hasa ya wanyama.

• Historia ya tatizo hili kwenye familia
(Genetic).

• Kuwa na uzito uliokithiri.

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

Katika hatua za awali, dalili
hazitofautiani sana na zile za kuvimba
kwa tezi dume lisilokuwa saratani
(BPH).

Dalili hizo ni pamoja na;

• Kusikia kupata haja ndogo mara
kwa mara hasa nyakati za usiku

• Haja ndogo kuchelewa kutoka
unapoanza kukojoa.

• Kutoa mkojo wenye mtiririko dhaifu na kuchuruzika kidogo kidogo
baada ya kumaliza kukojoa.

• Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote.
• Kutoa mkojo au manii
yaliyochanganyika na damu

• Maumivu makali sehemu
mbalimbali za mwili k**a saratani
imesambaa.

• Kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu na kizunguzungu.

TIBA YA SARATANI YA TEZI DUME

Matibabu ya saratani ya tezi dume
yanategemea hatua ya ugonjwa na
umri wa mgonjwa.

Aina za tiba hizo ni pamoja na;
• Upasuaji ( Surgey)
• Mionzi (Radiotherapy)
• Vichochezi (Homonal therapy)
• Kemikali (Chemotherapy)-
• Ubaridi (Cryotherapy

Kila moja ya matibabu tajwa apo juu ina madhara yake'

Ila tupo na bidhaa lishe zenye uwezo wa kuondoa hiyo changamoto BILA upasuaji

Wasiliana nasi 0672441815

Unaweza kubonyeza Whatsap link itakuleta whatsap
https://wa.me/c/255672441815

Katika kila watu watano wanaotumia kumwaga nje k**a njia ya uzazi wa mpango, mmoja kati yao hupata ujauzito. Njia hii ni...
10/07/2022

Katika kila watu watano wanaotumia kumwaga nje k**a njia ya uzazi wa mpango, mmoja kati yao hupata ujauzito. Njia hii ni ngumu kuifuata kila siku kwa kuwa udhibiti wa mwanamme huwa ni mdogo, pia baadhi ya shahawa hutoka hata kabla mwanamme hajafika kileleni.

Usiiamini sana. Yale maswali ya imeingiaje wakati nilimwaga nje yaishe sasa!😂😂😂

FAIDA ZA TENDO LA NDOA ASUBUHIBila shaka utafurahi ukijua kwamba tendo la ndoa la asubuhi (kiamshio) sio tu kwamba ni ja...
09/07/2022

FAIDA ZA TENDO LA NDOA ASUBUHI

Bila shaka utafurahi ukijua kwamba tendo la ndoa la asubuhi (kiamshio) sio tu kwamba ni jambo zuri, bali pia litakusaidia kimwili, kiakili na kiroho. Sababu za umuhimu wa kufanya tendo hilo asubuhi mara kwa mara:

Tendo la ndoa la asubuhi ni bora kuliko wakati mwingine kwa sababu kadhaa.

Mosi, nishati, na utulivu wa kiasili huwafanya kuwa na stamina kubwa ya kufanya vizuri na kuwafikisha kileleni kwa raha ya aina yake. Wanandoa wanaofanya tendo usiku kwa kawaida huwa wamechoka kutokana na shughuli za kutwa nzima, na hivyo kufanya viungo vyao kuwa na mwitikio mdogo wa kimahabba.

Pili, dakika chache baada ya kuamka, akili yako inakuwa bado haijaamka, na hivyo inakuwa haijakutana na mambo mengi. Matokeo yake, jambo hilo linaweza kukufanya kuwa k**a bepari wa mahaba kitandani.

Bila shaka utakuwa umeshuhudia wanaume wengi wakisimamisha wakati wa asubuhi. Mumeo huamka akiwa amesimamisha mkurunge/uume wake kwa sababu ya mzunguko wa asili wa homoni ya kiume ya testosterone. Ubongo wa mwanaume huusambazia mwili kiwango kikubwa cha testosterone kila asubuhi, hivyo kuufanya mkurunge wake usimame na kuonesha uhai.

Hiyo ina maana kuwa uwezo wake pia unakuwa mkubwa na anaweza kufanya vizuri zaidi huku msisimko wa tendo ukiwa mkubwa sana na kuifanya asubuhi yake kuanza vizuri.

Tendo la ndoa la asubuhi hukupa siku yenye tija kazini, kwa maana shughuli ile ya kitandani huuamsha moja kwa moja ubongo kwa kuchochea utendaji kazi wa mwili wako. Mzunguko na utendaji kazi wa mwili wako huufanya ubongo wako upokee kiwango kikubwa cha oxygen na virutubisho vinavyotakiwa na vya kuupa nguvu ya kufanya kazi barabara. Matokeo yake, utakuwa makini zaidi, utakuwa na nishati zaidi, na utakuwa na ubunifu zaidi.

Tendo la ndoa la asubuhi huongeza chachu na msisimko kwenye uhusiano wa ndoa yako kwa njia nyingi. Kwanza, kujua kwamba unaweza kufanya tendo la ndoa mwanzo wa siku bila kipingamizi huonesha kwamba kuna mahabba motomoto bado yanarindima kati yenu.

MWISHO,..Kuianza siku yako kwa kitu kitamu cha kimahabba humfanya kila mmoja wenu amuwaze mwenzake kwa siku nzima. Justine

Madini ya chuma huhitajika kwenye kutengeneza damu mwilini.Unaweza kuyapata kupitia mlo au kwa kutumia virutubisho na da...
07/07/2022

Madini ya chuma huhitajika kwenye kutengeneza damu mwilini.

Unaweza kuyapata kupitia mlo au kwa kutumia virutubisho na dawa zenye madini haya.

Ili mwili uweze kufyonza vizuri madini ya chuma kutoka kwenye vyakula, vitamini C na citric acid huhitajika ili kurahisisha zoezi hilo. Vyote hivi hupatikana kwa wingi kwenye limao.

Ni wazi ule msemo wa kuwa limao hupunguza damu siyo sahihi, upuuze. Tunda hili huusaidia mwili kutengeneza damu.

Folate na vitamini B12 ambavyo pia hupatikana kwenye tunda hili hufanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza chembechembe nyekundu za damu pamoja na kuboresha utendaji kazi wa madini ya chuma.



K**a mwanaume unawahi kufika kileleni huenda unatatizo Kati ya haya 👇👇👇👇
06/07/2022

K**a mwanaume unawahi kufika kileleni huenda unatatizo Kati ya haya 👇👇👇👇

Ushauri wa Kufuata ili Kuboresha Mbegu zako 1 Punguza uzito na kitambi: uzito mkubwa na kitambi yaweza kusababisha kupun...
04/07/2022

Ushauri wa Kufuata ili Kuboresha Mbegu zako
1 Punguza uzito na kitambi: uzito mkubwa na kitambi yaweza kusababisha kupungua kwa uzalishaji wa mbegu. Rekebisha mtindo wa maisha ili upunguze uzito kuwa normal
2 Tumia virutubisho vya Vitamin na Zinc. Ongea na daktari akujulishe una upungufu wa madini na vitamini gani. Daktari anaweza kupendekeza ule zaidi vyakula aina gani kukusaidia.
3 Punguza matumizi ya pombe na sigara
4 Vaa boksa za cotton zinakinga pumbu dhidi ya joto kali ambalo huua mbegu.
TUMIA VIRUTUBISHO PIGA NAMBA 0672441815 KWA TIBA NA USHAURI!!

ZIJUE FAIDA ZA TEZI DUME AMBAZO HUKUZIJUA HAPO KABLA.TEZI DUME (Prostate gland)Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa ...
04/07/2022

ZIJUE FAIDA ZA TEZI DUME AMBAZO HUKUZIJUA HAPO KABLA.

TEZI DUME (Prostate gland)

Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (re**um) na na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume (urethra).

KAZI ZA TEZI DUME AMBAZO ULIKUWA HUZIJUI;

1. Tezi dume hutoa majimaji ambayo huchanganyika na mbegu za kiume na kutengeneza shahawa. Asilimia 60 ya shahawa huwa ndio hayo majimaji yaliyotengenezwa na tezi dume na asilimia 40 ndio mbegu za kiume zilizotengenezwa kwenye kiwanda cha mbegu(korodani).

2.Majimaji yanayotoka kwenye tezi dume huanza kutangulia mbele kusafisha njia ya mkojo ili kuondoa asidi kwenye njia hiyo na kubakia hali ya alkaline ili mbegu za kiume zisife.hivyo inaondoa asidi na pia inazilinda zisife kuanzia kwenye njia ya mkojo ya mwanaume mpaka ukeni kwa mwanamke maana napo kuna asidi sana.

3.kazi nyingine ya tezi dume ni kuchuja sumu ili zisichanganyike na mbegu za kiume hivyo hata mbegu inakuwa haina ugonjwa na salama

4.Tezi dume ndio yenye kufunga njia ya mkojo na kuruhusu mbegu za kiume zitoke wakati umefika kileleni na kuziba njia ya mbegu za kiume na kufungua njia ya mkojo unapokuwa umemaliza tendo

5.Wanaume tukimaliza tendo huwa shahawa zinaruka sana hiyo ni kazi ya tezi dume. K**a shahawa zako zinamwagika tu lakini haziruki zenyewe k**a mkojo nikiwa na maana kwa speed ujue tezi dume lako haliko sawa.pia ngumu mbegu zako kufikia yai la mwanamke na kumpa ujauzito.

6.Tezi dume inailinda njia ya mkojo isishambuliwe na vijidudu vya U.T.I

7. Tezi dume ni sehemu ya kilele cha raha kwenye tendo la ndoa kwa mwanaume.

8.Tezi dume kupitia majimaji yake ndio inayosafirisha mbegu za kiume kutoka kwa mwanaume mpaka kwa mwanamke na kukutana na yai la mwanamke.

9.Majimaji yanayotoka kwenye tezi dume dio chakula cha mbegu za kiume. Kwahiyo mbegu za kiume zinapata chakula kutoka kwenye tezi
Nimewasaidia watu wengi sana kutibu tezi dume bila upasuaji kwa USHAURI,NA TIBA PIGA 0672441815
K**a unamfahamu ndugu yako yoyote mwenye tatio hili usisite kunipigia

#

KULA MAYAI BADALA YA CHAPATI ASUBUHI UPUNGUE ZAIDIBadala ya kula chapati wakati wa breakfast andaa mayai kwani yatakusai...
15/06/2022

KULA MAYAI BADALA YA CHAPATI ASUBUHI UPUNGUE ZAIDI

Badala ya kula chapati wakati wa breakfast andaa mayai kwani yatakusaidia sana kupungua. Mayai yana protini kwa wingi ambayo humsaidia mlaji kuhisi kushiba kwa muda mrefu, kutumia mayai asubuhi ni vizuri zaidi kwasababu itakusaidia kula kiwango kidogo cha chakula kwa siku nzima. Unaweza kuongeza matunda mazuri k**a papai na tango kwenye breakfast yako pia.

Je chakula gani kingine si kizuri ikiwa mtu anataka kupungua? Tuambie kwenye comments.

MTAG na KuSHARE na marafiki ili nao wasome ujumbe huu. @0672441815

Pamoja na kuongoza utendaji kazi wa zaidi ya vimeng’enya 200, madini ya zinc huhusika pia kwenye utambuzi wa ladha za vy...
07/06/2022

Pamoja na kuongoza utendaji kazi wa zaidi ya vimeng’enya 200, madini ya zinc huhusika pia kwenye utambuzi wa ladha za vyakula pamoja na harufu. K**a hauhisi ladha au harufu yoyote, pengine una upungufu wa zinc. Tumia maharage, samaki,nyama,vyakula jamii ya karanga au maziwa.

Zaidi, soma hapa https://afyainfo.co.tz/madini-ya-zinc-faida-vyanzo/

Kutokana na kuongezeka kwa matukio mengi yenye viashiria vya uwepo wa matatizo ya afya ya akili nchini, Wizara ya Afya i...
06/06/2022

Kutokana na kuongezeka kwa matukio mengi yenye viashiria vya uwepo wa matatizo ya afya ya akili nchini, Wizara ya Afya itaandaa kongamano la kwanza la kitaifa la afya ya akili.

Haya yameelezwa na Waziri wa afya, Mh. Ummy Mwalimu kupitia kurasa zake kwenye mitandao ya kijamii.

Sehemu ya taarifa hiyo inasema “Nikiwa waziri mwenye dhamana ya kusimamia afya za watanzania, nakiri ipo haja ya kulipa kipaumbele jambo hili”Hii inamaanisha kuwa wizara ya afya nchini Tanzania sasa imetambua rasmi uwepo wa changamoto hii kubwa ambayo kwa miaka ya zamani haikupewa kipaumbele.

Ili kuongeza ufahamu wa jambo hili, wizara itaandaa kongamano la kwanza la kitaita la afya ya akili.

Taarifa hiyo inahitimisha kwa kuomba ushauri na maoni ya wadau mbalimbali ili kufanikisha lengo mama la kongamano hilo.

Hadi sasa, bado tarehe rasmi haijatajwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, sonona ndiyo tatizo linaloongoza kwa kuathiri watu wengi zaidi, kiasi cha milioni 264.

Tatizo hili huathiri utendaji wa kawaida wa mwili na akili, na huleta mawazo hasi yenye mwelekeo wa kuua au kujiua.

1. Nguvu za kiume hupungua kadri umri unavyo ongezeka;Homoni ya testosterone hupungua umri unavyozidi kwenda na hili swa...
04/06/2022

1. Nguvu za kiume hupungua kadri umri unavyo ongezeka;
Homoni ya testosterone hupungua umri unavyozidi kwenda na hili swala sio ugonjwa ni kawaida.

2. Huwezi kupona tatizo la nguvu za kiume bila kutibu au kujua chanzo chake:
Niliwahi kusema nguvu za kiume hupungua kwa sababu maalumu.. huweza kupungua kwa sababu ya punyeto, msongo wa mawazo, kuchoka sana na kazi, maumivu makali ya mwili, magonjwa yanayoathiri mishipa ya fahamu mfano kisukari na magonjwa yote ambayo yanakufanya usiwe katika hali ya kawaida humaliza nguvu za kiume.

3. Hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume
moja kwa moja duniani:
Dawa zote zinazotangazwa huongeza nguvu za kiume ni za muda tu na zingine sio za kweli kabisa ni za kitapeli tu.

4. Ukiona kijana chini ya miaka 30 hana nguvu za kiume ujue sababu kuu ni punyeto;
Zaidi ya asilimia tisini na tano ya vijana wa chini ya miaka 30 ambao wanadai nguvu za kiume zinawasumbua sana ni kwa sababu ya kupiga punyeto kwa muda mrefu na mpaka sasa hivi bado wanapiga..

5. Njia pekee ya kuwa na nguvu za kiume muda mrefu wa maisha yako ni kufanya mazoezi ya kawaida na mazoezi ya kuongeza nguvu za kiume:

6. Vyakula ni muhimu sana kwa nguvu za kiume kuliko watu wanavyodhani:
Kuna vyakula nilishawahi kuvitaja kwenye makala zilizopita ikiwemo ndizi mbivu, karanga, blue berries, kitunguu swaumu n.k

7. Virutubisho vyetu vinaongeza nguvu za kiume;
Kuna dawa moja inaitwa xpower coffee na X power capsules imetengenezwa kwa mchanganyiko wa matunda, magome ya miti na mizizi, kiukweli dawa hii ni kiboko kwani imejaa vyakula ambavyo hata afrika hakuna na watu wote wanayoitumia k**a chakula wanaisifu sana.

8. Uume kulala baada ya kufika kileleni haimaanishi huna nguvu za kiume;
Hakuna mwanaume dunia hii anaweza kuunganisha raundi ya kwanza na ya pili kwani ile ni hali ya kawaida ya mwili wa binadamu [normal physiology] lazima uume ulale kidogo ndipo uamke tena.

9. Watu wa zamani hawakusumbuliwa sana na tatizo hili;
Maisha ya watu wa zamani kazi zao ilikua ni k**a mazoezi kwao kwani zilikua ngumu na za kutoa jasho

10. Kuangalia picha na video za ngono kuna haribu sana nguvu za kiume kisaikolojia;
Miaka ya nyuma mtu alikua anaiona chupi ya mwanamke siku ya ndoa tu.

TIBA YA KUREJESHA HESHIMA YA NDOA kiboko ya tatizo la nguvu za kiume ..... .Ni dawa ya kudumu  yenye mchanganyiko wa daw...
20/05/2022

TIBA YA KUREJESHA HESHIMA YA NDOA kiboko ya tatizo la nguvu za kiume ..... .
Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume kwa asilimia100 % k**a ifuatavyo.

1️⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
2️⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk

3️⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka
4️⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha
5️⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( s***m mobility)
6️⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika
7️⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU)
8️⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume
9️⃣ Inarutubisha mayai
NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA
Epuka aibu hii na rejesha furaha "
Dawa ndio kiboko yao
Karibuni sana ofisini kwetu
Wasiliana nasi kwa namba 0672441815

Whatsap https://chat.whatsapp.com/DjrQsJ76SY9JfWmPIUOCIg

Address

Dar Es Salaam
10789

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tezi Dume Bila upasuaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Tezi Dume Bila upasuaji:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram