FACE Mobile health care

FACE Mobile health care TUNATOA HUDUMA ZA AFYA MAJUMBANI( HOME BASED CARE),USHAURI,TIBA NA UUGUZI POPOTE ULIPO

🌿 Quality Care at the Comfort of Your Home 🌿Looking for trusted care for your loved ones? Our Home-Based Care Services b...
24/09/2025

🌿 Quality Care at the Comfort of Your Home 🌿
Looking for trusted care for your loved ones? Our Home-Based Care Services bring professional medical and personal support right to your doorstep.

βœ… Skilled and compassionate caregivers
βœ… Personalized health monitoring
βœ… Assistance with daily activities
βœ… Comfort, dignity & peace of mind

πŸ“ž Call us today at 0714249318 and let’s care for your family, just like our own.

Ndiyo kabisa πŸ‘Tunashauriwa kufanya check-up za kiafya mara kwa mara ili kugundua matatizo ya afya mapema, hata kabla hay...
28/08/2025

Ndiyo kabisa πŸ‘

Tunashauriwa kufanya check-up za kiafya mara kwa mara ili kugundua matatizo ya afya mapema, hata kabla hayajatoa dalili. Hii husaidia:
β€’ βœ… Kuzuia magonjwa – kwa kugundua viashiria mapema (mfano: shinikizo la damu, kisukari, cholesterol).
β€’ βœ… Kuboresha maisha – daktari anaweza kushauri kuhusu lishe, mazoezi, na mtindo bora wa maisha.
β€’ βœ… Matibabu mapema – ugonjwa ukigunduliwa mapema, matibabu huwa rahisi na nafuu zaidi.
β€’ βœ… Kuthibitisha afya njema – hata k**a huna dalili, unaweza kuwa na uhakika kuwa mwili uko sawa. Credits to

Bringing Hospital-Quality Care to Your Doorstep. πŸ‘πŸ’‰With FACE MOBILE HEALTHCARE, your health is our mission β€” right from ...
01/08/2025

Bringing Hospital-Quality Care to Your Doorstep. πŸ‘πŸ’‰
With FACE MOBILE HEALTHCARE, your health is our mission β€” right from the comfort of your home.

Je! Unawaza ni nani atakuhudimiaukiishajifungua? Hauna msaada pale unaporudi nyumbani ukiishajifungua!? Usiwaze sana tup...
29/07/2025

Je! Unawaza ni nani atakuhudimia
ukiishajifungua? Hauna msaada pale unaporudi nyumbani ukiishajifungua!? Usiwaze sana tupigie
tukuhudumie 0699347888/ 0743167464
β€’ Hauna haja yakufunga safari kurudi nyumbani
Kwa mama Kwa ajili ya huduma za uzazi, tupo hapa Kwa ajili yako just give us a call
β€’ Hata k**a mama au mama mkwe atakuja kuhudumia hapo kwako, sio lazima akuhudumie
kipenzi muache afurahie mjukuu wake, tupe sisi
hilo jukumu la kukuhudumia hautojutia
β€’ Huduma tutakazo kupatia
β€’ Simple workouts
β€’ Full body scrub
β€’ Herbal bath
β€’ Full body massage (hii ni massage ya mwili mzima jamani hatukandi mzazi hairuhusiwi kiafya)
ila hii massage itakusaidia kuondoa ile Hali ya uchovu na maumivu.
β€’ Abdominal massage and belly binding (massage ya tumbo na kufunga tumbo Kwa kutumia cream maalumu, plastic wrap na makanda)
β€’ Postpartum meal plan (tutakupa mpangilio muri wa chakula kitakachokusaidia upunguze
uzito wa uzazi kwa haraka na upate maziwa yakutosha Kwa ajili ya mtoto)
β€’ Huduma ya kua na wewe siku ya kujifungua hospital inapatikana K**a hauna ndugu au hautaki kuwa na ndugu hospital tupo hapa kwa ajili yako. Experience a Doula services with Us.

Heri ya sikukuu ya sabasaba
07/07/2025

Heri ya sikukuu ya sabasaba

🌟 Bringing Hospital Care to Your Doorstep! πŸ₯🏑At FACE MOBILE HEALTH CARE LTD, we care with dignity and love πŸ’™From home nu...
26/06/2025

🌟 Bringing Hospital Care to Your Doorstep! πŸ₯🏑
At FACE MOBILE HEALTH CARE LTD, we care with dignity and love πŸ’™
From home nursing to physiotherapy, wound care, and maternity services β€” your health is our mission! πŸ’ͺπŸ‘©β€βš•οΈπŸ‘¨β€βš•οΈ
πŸ“ Yombo Dovya Chama | ☎️ +255 714 249 318
Let us be your trusted partner in wellness 🌿✨

πŸ‘« Bring Your Partner With You!Ni wakati wa kupumzika, kucheka, na kufurahia bahari ya Zanzibar! 🏝️Zanzibar Tour S02 –  πŸ“…...
18/06/2025

πŸ‘« Bring Your Partner With You!
Ni wakati wa kupumzika, kucheka, na kufurahia bahari ya Zanzibar! 🏝️
Zanzibar Tour S02 –

πŸ“… Tarehe: 8 – 10 Agosti 2025
πŸ“ 3 Days Full Package:

🩡 Day 1:
Mnemba Dolphin Tour 🐬
Nungwi Aquarium 🐠
Sunset Vibes πŸŒ…

πŸ’™ Day 2:
Safari Blue 🚀
Forodhan Dinner – candlelight & vibes 🍽️✨

πŸ’› Day 3:
Zanzibar King Spot πŸ‘‘
Prison Island 🏝️
πŸ’Έ Gharama:
βœ… Single: 500,000/=
βœ… Couple: 800,000/=

πŸ“¦ Package Inajumuisha:
πŸ›οΈ Malazi (nights 2)
πŸ›₯️ Boat & local transport
πŸ› Chakula & vinywaji laini
πŸ“Έ Photoshoot ya kukumbukwa!

πŸ“ž Jiandikishe sasa: +255 788 957 651
πŸ’³ Lipa kwa YAS Code: 7231643
πŸ‘€ Nafasi ni chache – lipia mapema!

πŸ‘« Bring Your Partner With You!Ni wakati wa kupumzika, kucheka, na kufurahia bahari ya Zanzibar 🏝️Zanzibar Tour S02 –  πŸ“ ...
17/06/2025

πŸ‘« Bring Your Partner With You!
Ni wakati wa kupumzika, kucheka, na kufurahia bahari ya Zanzibar 🏝️
Zanzibar Tour S02 –

πŸ“ 3 Days Full Package:
Day 1: Mnemba Dolphin Tour, Nungwi Aquarium, Sunset
Day 2: Safari Blue, Forodhan Dinner
Day 3: Zanzibar King Spot & Prison Island

πŸ’Έ Gharama:
βœ… Single: 500,000/=
βœ… Couple: 800,000/=

πŸ›οΈ Malazi – nights 2
πŸ›₯️ Boat & local transport
πŸ› Chakula & vinywaji laini
πŸ“Έ Photoshoot ya kukumbukwa!

πŸ“ž Jiandikishe sasa: +255 788 957 651
πŸ’³ Lipa kwa YAS Code: 7231643
πŸ‘€ Nafasi ni chache – lipia mapema!

🧳 TAYARI KWA ZANZIBAR?Zanzibar Tour S02 iko hapa kwa ajili yako – muda wa kutuliza akili na kuponda raha! πŸŒžπŸ“… Tarehe: 8 h...
16/06/2025

🧳 TAYARI KWA ZANZIBAR?
Zanzibar Tour S02 iko hapa kwa ajili yako – muda wa kutuliza akili na kuponda raha! 🌞

πŸ“… Tarehe: 8 hadi 10 Agosti 2025
πŸ’Έ Gharama:
β€’ Single: TZS 500,000/=
β€’ Couple: TZS 800,000/=

🎯 Unapata:
🌊 Dolphin Tour – Mnemba
🐒 Aquarium – Nungwi
πŸŒ… Sunset Tour
🚀 Safari Blue
🍽️ Folodhan Dinner
🏰 Prison Island & King Spot
πŸ“Έ Photoshoot
🏨 Malazi (nights 2 – Standard Hotel)
πŸ›₯️ Usafiri wote ndani na nje ya Zanzibar

πŸ“ž Wasiliana sasa: +255 788 957 651
🟑 Pay via YAS: Code 7231643

πŸ”₯ Zanzibar Tour S02 –  Unatafuta mahali pa kupumzika, kufurahia, na kuunda kumbukumbu mpya?ZANZIBAR TOUR inarudi tena! 🏝...
16/06/2025

πŸ”₯ Zanzibar Tour S02 –
Unatafuta mahali pa kupumzika, kufurahia, na kuunda kumbukumbu mpya?
ZANZIBAR TOUR inarudi tena! 🏝️

πŸ—“οΈ Tarehe: 8 - 10 Agosti 2025
πŸ’° Gharama:
πŸ‘‰ Single: TZS 500,000/=
πŸ‘‰ Couple: TZS 800,000/=

πŸ“Œ Paket inajumuisha:
βœ… Dolphin Tour – Mnemba
βœ… Nungwi Aquarium (kwenye Kobe)
βœ… Sunset Tour πŸŒ…
βœ… Safari Blue & Folodhan Dinner
βœ… Zanzibar King Spot & Prison Island
βœ… Usafiri (kutoka Dar), ndani ya Zanzibar, malazi, chakula, na photoshoot!

πŸ“² Jiunge sasa: +255 788 957 651
πŸ’³ Lipia mapema kwa kutumia YAS Pay Code: 7231643
🚐 Nafasi ni chache – usikose!

Address

Sinza Lego
Dar Es Salaam
BLOCK59

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FACE Mobile health care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram