Naimulika Afya

Naimulika Afya Aina ya Vitu Unavyo kula mara kwa mara + Mtindo wako wa Maisha Ndio Matokeo ya Afya yako Leo /Kesho.

Shuhuda ya Alie pona HPV sehem za siriIkiwa tatizo hili linakusumbuaWasiliana nasi 0718 750 220
22/10/2025

Shuhuda ya Alie pona HPV sehem za siri
Ikiwa tatizo hili linakusumbua

Wasiliana nasi 0718 750 220

Human papilloma virus (HPV)ni ugonjwa unaosababishwa na virus, na mara nyingi unaweza usiugundue au ukaugundua kwa kuona...
22/10/2025

Human papilloma virus (HPV)

ni ugonjwa unaosababishwa na virus, na mara nyingi unaweza usiugundue au ukaugundua kwa kuona dalili za kutokea kwa masundosundo/vijisundosundo (warts) kwenye ngozi yako, sehem zako sa siri ikiwa hauna maambuzi makubwa.

Ikiwa umeona dalili usipo pata matibabu maambukizi yakaendelea kukua hupelekea mabadiliko ya seli ambayo yanaweza kusababisha saratani (cancer) ya shingo ya kizazi, uume, uke, ngozi, mkundu na koo.

Kuna baadhi ya watu maambukizi ya HPV huweza kupotea yenyewe baada ya muda pasipo kuonesha dalili yoyote, na mengine huonesha dalili za masundo au vijisundosundo na yakiendelea k**a yasipo tibiwa husabisha saratani.

NINI HUSABISHA (HPV)?

👉Virus

HPV HUNEA VIPI?

1•Kupitia njia ya kujamiana.

2•Kupitia Kupeana mate.

3•Kupitia kugusana kwa ngozi na mtu mwenye maambukizi.

4•Kupitia kushikana mikono au kukumbatiana.

5•kupitia chakula au kinywaji kilicho andaliwa na mtu mwenye maambukizi.

Njia za maambukizi haya ni nyingi kwa leo nimekupa tano.

JE HPV INATIBIKA?

👉Ndio inatibika.

NAWEZAJE KUPONA HPV?

Wasiliana nasi
☎️🥏0718 750 220

K**A INAWEZEKANA TAFUTA SIZE YAKOUSHAULI WA BURE1•Ni wajibu wa kila mwanaume kujitahidi kujiboresha kila siku kwa kadiri...
15/10/2025

K**A INAWEZEKANA TAFUTA SIZE YAKO

USHAULI WA BURE
1•Ni wajibu wa kila mwanaume kujitahidi kujiboresha kila siku kwa kadiri unavyo weza.

•kuzingatia ulaji wako

•Unywaji

•Mazoezi

•Kukabili stress

•Kupunguza uzito

•Kuepuka mtindo au mitindo ya maisha inayo athiri afya yako(uvutaji unywaji pombe)

•Kutibu magonjwa yanayo kusibu

•Na kuendelea kujifunza mbinu mbali mbali za kujiimarisha.

2•Usijiteeeeeese. k**a Inawezekana tafuta size yako.

Wakati wa tendo mnapo kuwa wa wili nyie ni Team moja na ili kila mmoja afurahie ushindi ni lazima nyote wawili muwajibike ipasavyo kuupata ushindi mfurahie pamoja. sio kila siku mmoja ahangaike kutafuta ushindi wa team

Tendo ni mchezo wenu ni wajibu wa kila mmoja kujiweka sawa ili iwe rahisi kupata ushindi Ila k**a mmoja anajiaribu ni zahiri kuwa atakuja kuwa mzigo na stress kwa mwenzake

Tumia kile ulicho nacho kufanya kila unacho weza kwa uwezo wako wote na endelea kujiboresha kila siku kwa kadiri unavyo weza

EWE  WAZAZI, MLEZI AU NDUGU➡️Ikiwa unaona mtoto anasumbua kula au anasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kula➡️Anasumb...
24/09/2025

EWE WAZAZI, MLEZI AU NDUGU

➡️Ikiwa unaona mtoto anasumbua kula au anasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kula

➡️Anasumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu hata k**a ni wewe pia

➡️Au kuishiwa nguvu mara kwa mara na kuwa mnyonge na zaifu

➡️Kuishiwa ishiwa damu kila mara

➡️Kusumbuliwa na magonjwa ya mara kwa mara yasio isha

➡️Asthma n.k

Basi mpatie mtoto huyo Mychoco Drink itamsaidia kuondokana na matatizo haya nilio yataja na kuwa mwenye afya njema kabisa. na Kwa wewe mzazi au ndugu k**a una shida ya kupotea hamu ya kula, kuishiwa ishiwa nguvu au Kupoteza kumbukumbu, basi nawe tumia mychoco itakuwa sawa

Ikiwa unamaswali zaid
Rich ☎️0718 750 220

MWANAUME MSAIDIE MKEO AU MWANAMKE JISAIDIE MAPEM ENDAPO K**A UNA DALILI HIZI⚠️Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya...
20/09/2025

MWANAUME MSAIDIE MKEO AU MWANAMKE JISAIDIE MAPEM ENDAPO K**A UNA DALILI HIZI

⚠️Kutokwa na uchafu ukeni wenye harufu mbaya.

⚠️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.

⚠️Maumivu wakati wa Kushiliki tendo.

⚠️Kuwamkavu ukeni.

⚠️Kuhisi kuungua wakati wa kukojoa.

Wasiliana nasi
Rich☎️🥏 0718 750 220
Naimulika Afya

AINA 10 ZA VYAKULA VINAVYO CHOCHEA KUONGEZEKA KWA  MBEGU ZA KIUME. Mwanaume pendelea kula vyakula hivi pia uwendelee kuj...
18/09/2025

AINA 10 ZA VYAKULA VINAVYO CHOCHEA KUONGEZEKA KWA MBEGU ZA KIUME.

Mwanaume pendelea kula vyakula hivi pia uwendelee kujiboresha.

1•Chaza (oyster).

2•Mbegu za mboga.

3•Mayai ya kuchemsha.

4•Walnut.

5•Samaki wa mafuta (Fatty fish) mfano salmon fish.

6•Mboga za majani zitwazo (kilelema).

7•Ndizi mbivu

8•Parachichi

9•Komamanga

10•Kitunguu saumu.

unaitaji huduma zetu piga
Rich ☎️🥏 0718 750 220 Naimulika Afya Afya-Coffee.

0718 750 220
11/09/2025

0718 750 220

SABABU ZA UUME KUSIMAMA DEDE AHSUBUHI UNAPO AMKAMwanaume uliyekamilika na mwenye afya njema kwenye mfumo wako wa uzazi u...
11/09/2025

SABABU ZA UUME KUSIMAMA DEDE AHSUBUHI UNAPO AMKA

Mwanaume uliyekamilika na mwenye afya njema kwenye mfumo wako wa uzazi unapoamka lazima utaona uume wako umesimama, na sababu za uume kusimama ahsubuhi unapo amka ni hizi.

1•Homoni kuongezeka.

Viwango vya homoni ya testosterone vinakuwa juu zaidi asubuhi, haswa baada ya kuamka kutoka usingizini, ongezeko hili la homoni ya testosterone linaweza kusababisha kusimama, hata bila kusisimuliwa kimwili.

2•Ndoto za usingizini zinazo kujia ukishiriki tendo.

3•Kujaa kwa kibofu cha mkojo. Hutokea msukumo wa misuli kutokea kwenye kibofu kuzuia mkojo wa asubuhi.

🫵Kusimama imara kwa uume asubuhi kwa mwanaume ni ishara ya uwezo wa mwanaume kushiriki tendo kikamilifu na lenye nguvu.

Ukiona husimamishi asubuhi unapoamka hizo ni dalili zinazo kuonesha kuwa unatatizo la upungufu wa nguvu za kiume utaona Uume wako unasinyaa/unakosa nguvu au unalala kabisa.

Hali hii☝️hutokana na Sababu hizi

1•Umri kuongezeka
viwango vya testosterone kawaida hupungua kulingana na umri, ambapo huweza kusababisha uwezo wa mwanaume kupungua.

2•sababu nyingine ni lishe kuwa duni au ulaji wa mara kwa mara wa vyakula ving vyenye sukari nyingi/mafuta mengi, ulevu, unene, kuzid kwa uzito, Kuvurugika kwa homoni, matatizo ya kisaikojia & stress, shida ya kisukari na presha, na madhara ya Kujichua kwa mdamlefu.

unapo kuwa na hili tatizo mwanamke anaweza kukusaidia kwa kukuambia maneno yanayo weza kuamsha hisia au kukutomasa kwa mikono yake laini. kukugusisha kwenye maumbile yake ili kuziamsha hisia zako.
Iwapo ushilikiano wa mwanamke wako utagonga mwamba basi jua kabisa unaitaji msaada zaidi.

Ikiwa unakisukari, pressure, unene uliopita kiwango, tezi dume, vidonda vya tumbo, wewe utatakiwa tiba moja kwa moja bila hata Kupoteza muda wa kuhangaika huku na kule

Kupata msaada piga
Rich ☎️🥏0718 750 220
Afya-Coffee. Naimulika Afya

MWANAMKE ZINGATIA YAFUATAYO KUZIEPUKA #@ FUNGUS SEHEM ZA SIRI➖Epuka kulambwa na kulamba sehem za siri.➖Epuka kuanika nda...
09/09/2025

MWANAMKE ZINGATIA YAFUATAYO KUZIEPUKA #@ FUNGUS SEHEM ZA SIRI

➖Epuka kulambwa na kulamba sehem za siri.

➖Epuka kuanika ndani nguo za ndani vaa nguo kavu na epuka nguo mbichi.

➖Nguo za ndani vaa za pamba na sio za mpira.

➖Mwanamke pedi ikiloana ibadilishe mapema ndani ya masaa 4 ikiwa unatoka dam nyingi zingatia kubadilisha mapema zaid.

➖Epuka kujishika au kushikwa na mikono michafu kwenye sehem zako.

➖Epuka ngono na mtu mwenye maambukizi/epuka ngono zembe.

➖Osha sehemu zako za siri kwa maji safi na ujikaushe vizuri kwa taulo safı.

➖Epuka kuchangia nguo na nguo mpya ni vyema ukaifua kabla ya kuvaa.

➖kila siku kunywa maji lita 1½-2½ kila siku

➖Epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na matumizi ya vifaa vya kujamiana.

➖Anika juani nguo zako za ndani, na wakati wa kuvaa zipitishie pasi kidogo weka kitambaa cha pamba juu yake wakati wa unayoosha.

➖Epuka/punguza matumizi ya antibiotics, badala yake pendelea kutumia karafuu au kitunguu saumu kwa kumeza punje moja au mbili kila siku (omba ushauli wa mtaalam kabla ya kutumia)

JE unatatizo la fungus sugu linakusumbua wewe ndugu au jamaa yako? kwa msaada piga
Rich ☎️🥏 0718 750 220
Afya-Coffee. Naimulika Afya

JE KUNA MWANAMKE UNAMJUA ANASUMBULIWA NA TATIZO HILI👇🏿1•Kuwashwa ukeni na mashavu ya uke kuvimba au kuwashwa ukeni na ku...
04/09/2025

JE KUNA MWANAMKE UNAMJUA ANASUMBULIWA NA TATIZO HILI👇🏿

1•Kuwashwa ukeni na mashavu ya uke kuvimba au kuwashwa ukeni na kuhisi dalili ya kuwaka moto ukeni?

2•Kutokwa na uchafu ukeni au maji maji ya sio ya kawaida?

3•Kusumbuka na tatizo la kuwa mkavu ukeni kila wakati wa kukutana na mwenzi?

4•Kusumbuka tatizo la kukosa hedhi au kuvurugika kwa siku za mzunguko wa hedhi na kupata hedhi isio ya kawaida?

5•Kusumbuliwa na tatizo la kushindwa kushika mimba au mimba kuharibika, uvimbe kwenye kizazi au uvimbe kwenye mfuko wa mayai na mengineyo? 🤷🏾‍♂️

Changamoto hizi zimekuwa zikiwatesa wanawake wengi kimya kimya, jiokoe au muokoe mwanamke yeyote anae teseka na changamoto hizi kwa kuumpa mawasiliano yangu
0718 750 220 awasiliane nami kupata msaada

Pia anaweza kufika kwenye offc zetu Dar es salaam Maeneo ya mwenge mpakani kituo cha lufungila jengo la AML TOWER floor number 2
Afya-Coffee.

TABIA 9 ZINAZO SAIDIA KUBORESHA AFYA YAKO NA KUONGEZA UWEZO WAKO MCHEZONIIli uwe bora walau kila siku yakupasa kuzingati...
29/08/2025

TABIA 9 ZINAZO SAIDIA KUBORESHA AFYA YAKO NA KUONGEZA UWEZO WAKO MCHEZONI

Ili uwe bora walau kila siku yakupasa kuzingatia kuziishi tabia hizi.

👉🏿Jenga tabia ya kufanya mazoezi kila siku walau kwa dakika 30 au zaid ukiweza, tembea, kimbia, ruka au kigel.

👉🏿Zingatia sana ulaji na unywaj wako kwasababu jinsi ulivyo ni matokeo ya ulaji na unywaji wako. Je unywaji na ulaji wako una jenga afya yako au unahatarisha afya yako? epuka vyakula vyenye
➖Sukari nyingi
➖Mafuta mengi
➖Chemically.
➖Sigara
➖Pombe

👉🏿Anzisha utaratibu wa kuwa unapata muda wa kupumzika mbali na ule wa kulala.

👉🏿Jijengee tabia ya kunywa maji yasiopungua lita mbili kila siku.

👉🏿Jijengee tabia ya kuwa una cheki afya yako kwakufanya vipimo kila baada ya siku 90 ili k**a una ugonjwa iwe rahisi kutibika haraka. magonjwa mfano Pressure, kisukari, bawasiri, tezi Dume, vidonda vya tumbo ni magonjwa ambayo huchangia kwakiasi kikubwa Kupungua kwa nguvu za kiume ukiyangundua mapema ni rahisi kuyatibu mapema na kwa gharama ndogo tofauti na yakikomaa.

👉🏿Acha tabia za kuangalia video za utupu. kwasababu mazara yake ni kujichua au kuiga yasio style na hata kupoteza hisia za kweli na mwanamke wako.

👉🏿Acha tabia za kujichua. kwani mazara yake yanaweza kuwa ni kupoteza hamu ya tendo, kuathiri maumbile yako nk.

👉🏿Epuka kukaa mdamlefu pasipo kushiriki tendo. ikiwa hauna mwenza basi jitahid kutumia kinga kuwa makini kwasababu magonjwa ni mengi yana tesa yanaumiza na yanaua.

👉🏿Endelea kujiongezea maarifa kwenye kila eneo linalo kupa shida itakusaidia kujua namna ya kujikinga.

Ili Kupata huduma zetu Rich ☎️ 0718 750 220

Afya-Coffee. FAHAM NJIA 9 ZA KUZUIA KUFIKA KILELENI MAPEMA1•Tumia kondom ilikupunguza msisimko.2•Wakati wa  tendo hamish...
06/08/2025

Afya-Coffee.
FAHAM NJIA 9 ZA KUZUIA KUFIKA KILELENI MAPEMA

1•Tumia kondom ilikupunguza msisimko.

2•Wakati wa tendo hamisha akili ifikilishe kufanya jambo lingine mfano (uko shambani unalima or uko gym unafanya mazoezi) (Mind distraction)

3•Zungumza na mwenzi wako. mshilikishe changamoto yako. muombe ushilikiano wake ili usimalize mapema.

4•Iwapo unasumbuliwa na wasiwasi, mashaka, kutokujiamini au msongo wa mawazo (wasiliana na mtaalamu wa kukusaidia juu ya tatizo hilo la wasiwasi).

5•Fanya mazoezi ya kigel. *angalia video chini👇nimekuwekea*

https://www.facebook.com/share/v/15WKdSqAno/

6•(Start stop)
Ukiwa unakojoa au hata k**a haukojoi fanya mazoezi ya kuzuia mkojo kwa sekunde 30 kisha unaachia kisha zuia tena kisha achia fanya hivyo mara 3-5 kila siku kwa mwendelezo.

7•Kama una tatizo la nguvu za kiume kushughulikia kupona tatizo hilo kwanza.

8•Pendele kura vifuatavyo vitakusaidia usifike mapema.
ndizi mbivu, parachichi, tikiti, karoti, mayai, chocolate, kitunguu, swaumu, uyoga, mchicha, samaki, bamia, samaki aina ya salmon, oyster, pilipili ndefu maji au maziwa au.

9•Tumia tibalishe ya liven coffee. kuondokana na tatizo la kuwahi kumaliza, upungufu wa nguvu za kiume na kupoteza hamu ya tendo.

_Kwenye njia 9 nilizo share nawe hapo juu chagua moja wapo ifanyie kazi ikishindikana jaribu zote._

Pia unaweza wasiliana nasi Rich☎️🥏0718 750 220

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00

Telephone

+255718750220

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Naimulika Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram