04/08/2025
Tunasherehe th 10 mwezi wa nane. Hii ni siku ambayo tutakua tunatimizia miaka nane ya utoaji wa huduma. Hii sherehe itafanyika pale SKY CITY MALL, karibu na mlimani city. Hakuna mchango wowote kila kitu kimelipiwa tiyari na mwanzilishi wa hizi huduma yeye ndo atakua mgeni rasmi anatoka nchini Malaysia. Mambo yatakayokuwepo ni kuelezea mafanikio ya hizi huduma toka zimeanza kutolewa ulimwenguni, kutakuwepo burudani mbalimbali, vinywaji/vyakula n.k. Pia hii sherehe itaambatana na ofa mbalimbali kwa wageni kulingana na itakavyokua imempendeza CEO. K**a wewe upo Dar es salaam nakuomba usikose sherehe hii. Nafasi ni chache nimepewa nafasi za watu 10 tu kwaiyo k**a upo tiyari kushiriki sherehe hii nambie nifanye booking na gharama nyinginezo. Natamani kwenye hili kundi kwa mliopo Dar msikose hii sherehe. Pengine inaweza kuwa sababu ya kukufungualia mwanga mpya juu ya afya yako/maisha yako. Karibu sana kufika alhamis niwe nimepata wale watakaokuwa wameconfirm kushiriki hii sherehe kwa ajili kuweka sawa BAJET.