Afya Clinic

Afya Clinic Tunatibu magonjwa mbalimbali, Tunao madaktari ndani na nje ya nchi watakao kuhudumia.

04/04/2024

Kwa changamoto yoyote ya afya tupigie
Kushauri ni buuureee kabisa
Afya clinic (0743303121) Tunatoa huduma za Afya kwa wagonjwa wenye maradhi sugu garama zetu Nina fuu sana Utatakiwa kuwa na kiasi cha Sh 20,000 kwa ajili ya kumuona Daktari nakupata vipimo vya mwili mzima ( full body checkup). OFA hii itaisha tarehe 2/5/2024
Baadhi ya magonjwa tunayopima na kutibu;
*Matatizo ya kisukari
*matatizo ya vidonda vya tumbo
*Matatizo ya macho
*Matatizo ya uzazi
*Matatizo ya meno
*Kujikojolea kitandani
*Pia tunazo dawa za kupunguza mwili na uzito
*Nguvu zakiume
*Matatizo ya presha Moyo, ini , figo
*MGonjwa ya ngozi nk...
*Magonjwa ya watu wazima na wazee.
Tunapatikana mkoa wa Dar-es-salaam Kariakoo .Njoo ukutane na madaktari bingwa wakarimu na wenye uzoefu.

06/03/2024
Je, unasubuliwa na matatizo ya mifupa je unajua unene kupita kiasi ina weza kuku sababishia ulemavu wa viungo
06/03/2024

Je, unasubuliwa na matatizo ya mifupa je unajua unene kupita kiasi ina weza kuku sababishia ulemavu wa viungo

Afya clinic (0743303121) Tunatoa huduma za Afya kwa wagonjwa  wenye maradhi  sugu garama zetu Nina fuu sana  Utatakiwa k...
08/09/2023

Afya clinic (0743303121) Tunatoa huduma za Afya kwa wagonjwa wenye maradhi sugu garama zetu Nina fuu sana Utatakiwa kuwa na kiasi cha Sh 20,000 kwa ajili ya kumuona Daktari nakupata vipimo vya mwili mzima ( full body checkup). OFA hii itaisha tarehe 2/4/2024
Baadhi ya magonjwa tunayopima na kutibu;
*Matatizo ya kisukari
*matatizo ya vidonda vya tumbo
*Matatizo ya macho
*Matatizo ya uzazi
*Matatizo ya meno
*Kujikojolea kitandani
*Pia tunazo dawa za kupunguza mwili na uzito
*Nguvu zakiume
*Matatizo ya presha Moyo, ini , figo
*MGonjwa ya ngozi nk...
*Magonjwa ya watu wazima na wazee.
Tunapatikana mkoa wa Dar-es-salaam Kariakoo .Njoo ukutane na madaktari bingwa wakarimu na wenye uzoefu.

.Afya clinic 0756057833. *MTINDO MBOVU WA MAISHA NA UGUMBA*Mtindo wa maisha unaweza kuathiri uzazi wa mwanamke na mwanam...
05/08/2023

.Afya clinic 0756057833. *MTINDO MBOVU WA MAISHA NA UGUMBA*
Mtindo wa maisha unaweza kuathiri uzazi wa mwanamke na mwanamume na kusababisha ugumba. Hapa chini ni baadhi ya mifano ya jinsi mtindo wa maisha unavyoweza kusababisha ugumba:

1. Lishe mbaya: Kula lishe mbaya na yenye kiwango cha chini cha virutubisho kunaweza kusababisha ugumba kwa wanawake na wanaume. Lishe duni inaweza kuathiri uzalishaji wa homoni na kuathiri ubora wa mayai ya mwanamke na manii ya mwanamume.Mfano kula vyakula vya wanga na sukari kupitia kiasi wali, pilau,biriyani,ugali sembe, chapati,keki soda , energy drink n.k. kula vyakula vya protein k**a ndizi,nyama,samaki ,mayai,Matunda na mboga mboga

2. Unene kupita kiasi: Unene kupita kiasi kunaweza kusababisha ugumba kwa wanawake na wanaume. Unene kupita kiasi huongeza hatari ya magonjwa yanayohusiana na uzazi k**a vile ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu, ambayo yanaweza kuathiri uzazi.

3. Uvutaji wa sigara: Uvutaji wa sigara inaweza kupunguza uzalishaji wa homoni ya k**e na kusababisha uharibifu wa mayai ya mwanamke na ubora wa manii ya mwanamume. Inaweza pia kusababisha matatizo ya kiafya k**a vile ugonjwa wa mapafu na magonjwa mengine yanayoweza kusababisha ugumba.

4. Matumizi ya pombe na dawa za kulevya: Matumizi ya pombe na dawa za kulevya kunaweza kuathiri uzazi kwa wanawake na wanaume. Matumizi ya pombe na dawa za kulevya zinaweza kupunguza uzalishaji wa homoni na kuathiri kazi ya viungo vya uzazi.

5. Stress: Stress inaweza kuathiri uzazi kwa wanawake na wanaume. Stress inaweza kupunguza uzalishaji wa homoni za uzazi na kusababisha matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kuathiri uzazi.

6. Kutumia dawa: Baadhi ya dawa zinaweza kuathiri uzazi kwa wanawake na wanaume.Uzazi wa mpango na Dawa za kuzuia mimba K**a P2 ni hatari. Kwa mfano, baadhi ya dawa za kulevya za kisasa mfano mzuri ni sh**ha zinaweza kusababisha upungufu wa uzalishaji wa homoni na kuathiri ubora wa mayai ya mwanamke na manii ya mwanamume.

Kwa hiyo, mtindo wa maisha unaweza kuathiri uzazi wa mwanamke na mwanamume. Ni muhimu kuwa na mtindo wa maisha wenye afya, kula lishe bora, kuepuka uvutaji wa sigara na matumizi ya pombe na dawa za kulevya, kupunguza stress, na kushauriana na daktari kabla ya kutumia dawa yoyote. Kufanya hivyo kunaweza kusaidia kupunguza hatari ya ugumba na kukuza uzazi wa afya.

STROKE NI NINI? Stroke au kiharusi ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulan...
05/08/2023

STROKE NI NINI?

Stroke au kiharusi ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulani la ubongo husitishwa ghafla au kupungua sana hivyo kusababisha eneo hilo la ubongo kukosa damu na virutubishi muhimu na seli za eneo hilo kuanza kufa.
Hili linaweza kutokea pale mishipa ya damu ya kuelekea kwenye eneo hilo ikiziba au mishipa ndani ya ubongo katika eneo hilo kupasuka. Seli za ubongo za eneo hilo zikianza kufa kwa kukosa damu, shughuli zote zinazoendeshwa na eneo hilo la ubongo husimama kwa mfano kumbukumbu au misuli.

*Dalili kuu za ugonjwa huu ni:*

1. Kuchanganyikiwa, mtu akipata shida ya kuongea na kuelewa anachoambiwa

2.Maumivu ya kichwa yanakwenda pamoja na kupoteza fahamu kwa vipindi na kutapika

3.Ganzi katika viungo vya uso, mkono na mguu na hasa vikiwa vya upande mmoja wa mwili

4.Kupata shida ya kuona kwa jicho moja au yote

5.Kupata shida ya kutembea vikichanganyika na kizunguzungu na kukosa mpangilio wa matendo ya mwili.

6.Msongo wa mawazo

7.Maumivu kwenye mikono na miguu yanayoongozeka baada ya viungo hivyo kufanya kazi au kutokea mabadiliko ya hali ya hewa.

8.Kupooza au udhaifu wa upande mmoja wa mwili

9.Kupata shida katika kufanya matendo ya kuonyesha hisia za mwili

10.Kushindwa kumudu matumizi ya kibofu cha mkojo au viungo vya njia ya haja kubwa

Afya clinic .(20,000)@ Tuna toa Tangazo tena wiki ya afya imeanza (0756-057-833). Afya clinic kwaku ona umuhimu wa upima...
21/07/2023

Afya clinic .(20,000)@ Tuna toa Tangazo tena wiki ya afya imeanza (0756-057-833). Afya clinic kwaku ona umuhimu wa upimaji wa mwili mzima( Full body checkup)watu wengi Wana changamoto zakiafya lkn uwezo ni mdogo . Tume amua kutoa offer yau pimaji wa mwili mzima kwa watu ambayo kila mtu ata mudumu tuna hitaji watu 50 tu kwawiki hii ili kupunguza foleni ukihitaji tuma msg au tupigie ufanye appointment ili kuzuia msongamano Magonjwa tunayo dili nayo nik**a vile
Presha
Sukari
Nguvu za kiume
Miguu kuwaka moto
Mifupa
Vidonda vyatumbo
Kwa wale wanaume wenye mbegu hafifu
Kumbuka tunatoa ushauri bure fika wahi tupigie 0756057833

Tunapatkana Kariakoo Gerezani mtaa wa Swahili na Makamba kwama wasiloano tupigie0756057833

Vidonda0756_057 _833  vya tumbo niugonjwa wakawaida  lkn usipo utibia mapema. Madhara yake nimakubwa usipo tibia vidonda...
14/07/2023

Vidonda0756_057 _833 vya tumbo niugonjwa wakawaida lkn usipo utibia mapema. Madhara yake nimakubwa usipo tibia vidonda kwamda mrefu unaweza kupata bawasili lkn pia unaweza kupata cancer ya utumbo nahapo utakuwa umepata hasara sana zipo dawa zau hakika kutoka bara la Ashia ambazo zitakwenda kuondoa kabisa changamoto ya vidonda vya tumbo. lkn pia k**a huna uhakika ila unahisi unavyo tuta kufanyia vipimo kisha tuta kuandikia dawa . Wale wamkoani tuta kutumia dawa kwauwaminifu . Au k**a unamtu ambaye yupo Daar es salaam unaweza ukamuagiza aone ofc. 0756057833

Usikubali kukosa ujauzito kwasababu ya pid, unene kupitiliza, mafuta mengi tumboni,  mirija kuziba ,uke kuwa mkavu,  kuk...
13/07/2023

Usikubali kukosa ujauzito kwasababu ya pid, unene kupitiliza, mafuta mengi tumboni, mirija kuziba ,uke kuwa mkavu, kukosa hamu ya tendo hayo yote Yana tibika Afya clinic ni Jibu 0756057833

Aya clinic 🫶🏽Ni muhimu kujua hasa sababu na 0756057833 mahari palipo Athirika kiasi chakupelekea maumivu makali katika s...
10/07/2023

Aya clinic 🫶🏽Ni muhimu kujua hasa sababu na 0756057833 mahari palipo Athirika kiasi chakupelekea maumivu makali katika sehemu ya mgongo wako.😥
NOTE: Tatizo la mgongo lisipo dhibitiwa, ugonjwa unaweza kuongezeka na kupekea Athari katika maeneo mengine ya mwili k**a;
👉kuchoka kwa misuli ya miguu na kupelekea maumivu na hali ya kuchomwa chomwa k**a sindano
👉ganzi za miguu.
👉midomo kukauka na maambukizi ya fizi
👉uharibifu wa mishipa ya damu
👉kushindwa kupumua vizuri.
👉vijinundu kwenye ngozi.
👉kutopenda mwanga mkali na kutoona vizuri.
QN! Je wajua kwanini unapata maumivu makali ya mgongo
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi 0756057833

Aya clinic 🫶🏽Ni muhimu kujua hasa sababu na 0756057833 mahari palipo Athirika kiasi chakupelekea maumivu makali katika s...
10/07/2023

Aya clinic 🫶🏽Ni muhimu kujua hasa sababu na 0756057833 mahari palipo Athirika kiasi chakupelekea maumivu makali katika sehemu ya mgongo wako.😥
NOTE: Tatizo la mgongo lisipo dhibitiwa, ugonjwa unaweza kuongezeka na kupekea Athari katika maeneo mengine ya mwili k**a;
👉kuchoka kwa misuli ya miguu na kupelekea maumivu na hali ya kuchomwa chomwa k**a sindano
👉ganzi za miguu.
👉midomo kukauka na maambukizi ya fizi
👉uharibifu wa mishipa ya damu
👉kushindwa kupumua vizuri.
👉vijinundu kwenye ngozi.
👉kutopenda mwanga mkali na kutoona vizuri.
QN! Je wajua kwanini unapata maumivu makali ya mgongo
Kwa msaada zaidi wasiliana nasi 0756057833

Address

Gerezani, Kariakoo
Dar Es Salaam
11106

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Afya Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category