26/04/2022
Najua Wewe ni mtu ambaye unajali Afya yako nna uhakika pia na afya ya watu wako uwapendao.
Mazingira ya Sasa tunayoishi maisha yenye kutumia muda mwingi kwenye kuhangaika
Hivyo basi tunajikuta muda mwingi tupo katika mazingira yasioturuhusu sisi Kupata mlo kamili (balance diet)au viosha sumu (antioxidants) ambavyo hizi ni sehemu mbili kuu katika visababishi ya maradhi yote Makubwa K**a Colon cancer, Blood pressure, Kisukari,Vidonda vya tumbo, Vimbe, ukose wa nguvu za kiume, kukosa uzazi n.k
Takwimu Za WHO (WORLD HEALTH ORGANISATION) lazima Tupate Macronutrients (Carbs,fats, protein) & Micronutrient (Vitamin’s & Minerals) ilikua na afya njema.
Micronutrients katika Miili zinahitajika Kwa uchache lakini ndiyo Muhimu zaidi na WHO wanasema lazima Mwili wa binadamu upate potion 5 -9 za Matunda & Mbogamboga ili Kupata Micronutrient zinazo takiwa
Je Tunakula hivyo? Je Mazingira tunavyovipata hivyi vyakula kuanzia kule shambani ni salama?
Jibu si rahisi Kupata Vikiwa na vyote muhimu lakini tuna zile pesticide zinazotumika katika kuziandaa na kuhifadhi, pia tunapata sumu kwenye Vipako (skin care & personal care) na pia processed food na vinywaji)
Nini tunaweza Fanya vikatusaidia kuondoa ha sumu na Kupata mlo kamili?
1.Kunywa Maji ya kutosha
2.Kula Mboga mboga (raw) na matunda jamii tofauti katika kila mlo
3.Tumia Suncreen kuzuia free radical
4.Lala Vizuri
5.Sahani yako igawe sehemu 4(wanga, protini,veggies & fruits)
6.Tumia Food suppliments
na Leo nna offer nzuri kwako na familia yako katika kuhakikisha tunatunza afya zetu vizuri Basi Anza na aloe Vera gel.
Nunua carton 1 (12)ya Aloe Vera na Jipatie Arg plus 1 for free.
Dhumuni familia nzima watumie 🙏🏻
Kwa mawasiliano Zaidi tupigie au tuma ujumbe kupitia namba 0658262846
Karibu sana🤝🤝