sir_bukelebe

sir_bukelebe Elimu ya afya kwa jamiii ,virutubisho lishe ,tiba lishe Kwa makundi yote.

13/10/2024

Tunakufikia popote ulipo kwa maelezo zaidi tupigie
πŸ“ž WhatsApp 0682888550

25/09/2024

Check out Amos Bukelebe’s video.

28/07/2024

Katika kudhibiti maambukizi yote ya bacteria kwenye ngozi hii ni bidhaa muhimu sana kuwa nayo katika familia yako,
Akina mama, watoto, wanaume, wote inawahusu kwa sababu inatumika kwa kila mtu.
Tupigie sasa upate ushauri na bidhaa zetu.
0682888540
Follow

26/07/2024

Afya yako inahitaji kulindwa na wewe, tupo na package za aina mbili kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini na kuufanya mwili wako uweze kujiendesha kwa usalama mkubwa na kuzuia magonjwa yasiyoambukiza(Non communicable Diseases).
Sasa tumekuletea package hii ya detoxification kwa mtu wa aina yoyote isiyo na kemikali.
Piga au tuma SMS kwa oda sasa.
0682888540.
Follow

Takwimu zinasema 33% ya vifo nchini Tanzania kwa sasa vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), kisukari kikiwa kina...
24/07/2024

Takwimu zinasema 33% ya vifo nchini Tanzania kwa sasa vinatokana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), kisukari kikiwa kinaongoza kwa 25%.
Magonjwa yote haya ni sababu ya mtindo wa maisha mbovu, matumizi ya vyakula bila mpangilio na kusababisha mlundikano wa sumu mwilini.
Karibu tukupatie package ya kuondoa sumu mwilini na kuimarisha chembe hai yako.
Call
0682888540

Wengi wanafanya mazoezi lakini hawapati matokeo wanayoyataka katika kupunguza uzito, je unajua nini kinakukwamisha? Ulaj...
15/07/2024

Wengi wanafanya mazoezi lakini hawapati matokeo wanayoyataka katika kupunguza uzito, je unajua nini kinakukwamisha? Ulaji mbovu ndio chanzo cha kushindwa kupata matokeo, tumia virutubisho vyenye kusaidia kuunguza mafuta na hatimaye utaona.

Mirija ya kupitisha mkojo inaziba kutokana na kupata mkojo ulio kidogo na wenye chumvichumvi nyingi. πšƒπšžπš—πšŠπš”πšžπšœπš‘πšŠπšžπš›πš’ πš”πš πšŠπš—πš’ ...
14/07/2024

Mirija ya kupitisha mkojo inaziba kutokana na kupata mkojo ulio kidogo na wenye chumvichumvi nyingi.
πšƒπšžπš—πšŠπš”πšžπšœπš‘πšŠπšžπš›πš’ πš”πš πšŠπš—πš’ πš”πšžπšπšŠπš—πš’πšŠ πšžπšŒπš‘πšžπš—πšπšžπš£πš’ πš—πšŠ πšžπšŠπš—πš£πšŽ πš”πšžπšπšžπš–πš’πšŠ πš™πšŠπšŒπš”πšŠπšπšŽ 𝚒𝚎𝚝𝚞 πšπš’πšπš˜ .
𝙏π™ͺπ™₯π™žπ™œπ™žπ™š 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙣𝙖𝙒𝙗𝙖 π™π™žπ™ž 98

Unapata changamoto ya kupungua uzito, umetumia njia nyingi na bado hujafanikiwa, sasa ninakukaribisha  nipo na programu ...
14/07/2024

Unapata changamoto ya kupungua uzito, umetumia njia nyingi na bado hujafanikiwa, sasa ninakukaribisha nipo na programu kiboko itakayo kusaidia kuondoa nyama uzembe, kuondoa mafuta, kukaza misuli ya tumbo na kufanya tumbo lisilegee. Nipigie sasa upate bidhaa na maelekezo yake.

Kinywaji murua kabisa kwa afya yako.
08/07/2024

Kinywaji murua kabisa kwa afya yako.

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Telephone

+255682888540

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sir_bukelebe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to sir_bukelebe:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram