Afya ni Utajiri

Afya ni Utajiri Tunatoa ushauri na tiba kwa magonjwa ya mfumo wa Uzazi kwa mwanaume hasa TEZI DUME NA NGUVU ZA KIUME. MkwayaClinic-Afya Yako Ni Utajiri No 1
wa.me/255657045331

20/04/2025

1,453 Followers, 196 Following, 246 Posts - See Instagram photos and videos from Herieth Katikiro ()

09/01/2024

Wanawake wanaapitia katika vipindi mbalimbali vya ukuaji na katika vipindi hivyo hukutana na changamoto nyingi Sana za kiafya kutokana na maumbile yao.

Kuanzia kwenye kuvunjanungo,kuolewa,kuzaa na kukoma hedhi wanawake wanakutananna changamoto nyingi Sana za mfumo WA uzazi.

Mwanamke hakikisha unalinda afya yako ya uzazi ili usije kupata madhara makubwa katika maisha yako na kushindwa kupata mtoto kabisa.

Jali afya yako mapema,kuwa msafi,vaa nguo za ndani za cotton na hakikisha unatumia vyoo visafi.

K**a umeshapata au kuna mtu UNAMFAHAMU anachangamoto ZA afya ya uzazi tafadhali wasikiana nami Kwa +(255) 657045331.

#

Thank you Lord for another year,am here because of you.I'm so  grateful 🙏
09/09/2023

Thank you Lord for another year,am here because of you.I'm so grateful 🙏

Wahi mapema Ni offer ya siku 2 tar 7na 8 mwezi huu WA 9 na Kwa watu 6 TU WA mwanzo.Pata BIDHAA ya mtoto inayomsaidia kum...
07/09/2023

Wahi mapema Ni offer ya siku 2 tar 7na 8 mwezi huu WA 9 na Kwa watu 6 TU WA mwanzo.

Pata BIDHAA ya mtoto inayomsaidia kumpa madini ya calcium ,magnesium, ambayo yanasaidia mtoto katika ukuaji wake na kupata hamu ya Kula vizuri.

Nipigie 0657045331 Kwa maswali
Kumbuka Ni siku mbili tu haitajirudia hii offer
Only watu 6 TU WA Kwanza.

Check out mkwayaclinic's post.

05/07/2023

Mwanao anapitia changamoto hizi na ujue ufanyeje?

Karibu Mkwaya Clinic upate ushauri na tiba juu ya mwanao.

🌹Watoto wenye utindio wa ubongo
🌹viungo kukakamaaa na kushindwa kukunjuka
🌹Usonji(autism)
🌹kukojoa kitandani
🌹matatizo ya UTI wa mgongo na mifupa kuvunjika
🌹Kisahau sahau
🌹Macho kutoona vizuri na mengine mengi ambayo ni changamoto kwa watoto wetu

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa 0657045331


, #

Unapofanyiwa upasuaji unawekewa viungo bandia ili kukusaidia uendelee kupata mjongeo lakini ukweli ni kwamba zitakusaidi...
25/05/2023

Unapofanyiwa upasuaji unawekewa viungo bandia ili kukusaidia uendelee kupata mjongeo lakini ukweli ni kwamba zitakusaidia kwa muda na baadae maumivu na shida itatudi mara dufu.

Njoo tukusaidie kurudisha uwezo wa mwili kutengeneza gegedu(cartilage ) halisi na uteute ili mfumo huo usiwe na mabafiriko ya kiutendaji ambayo ndo yanayopelekea maumivu makali na gharama kubwa.

Kwa ushauri na huduma piga /whatsap 0657045331.


0657045331.
25/05/2023

0657045331.



Address

Makumbusho Bus Stand
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 17:00
21:00 - 18:00

Telephone

+255763377079

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya ni Utajiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram