Koudijs Animal Nutrition - Tanzania

Koudijs Animal Nutrition - Tanzania Koudijs is an organization with a leading position in the Animal nutrition industry, focused on the

Pata matokeo bora zaidi katika ufugaji wako ukiwa na Poultry Coach App💡 Faida za App yetu
✅ Kukuongoza kiasi cha chakula...
18/10/2025

Pata matokeo bora zaidi katika ufugaji wako ukiwa na Poultry Coach App
💡 Faida za App yetu
✅ Kukuongoza kiasi cha chakula na maji kinachohitajika na Kuku wako
✅ Kupata Orodha ya kazi za kila siku
✅ Ripoti za uzalishaji ambazo zitakusaidia kujua mwenendo wa Kuku 
✅ Muongozo wa uchanganyaji wa chakula, katika kila hatua ya ukuaji.

Usibashiri tena katika kufanya maamuzi katika mradi wako, tumia App hii ili upate taarifa sahihi

Ipakue sasa kwa kufuata hatua hizi nne nyepesi;
1️⃣ Ingia Playstore au Appstore, kisha tafuta Poultry Coach App na uipakue
2️⃣ Tengeneza akaunti bila malipo kwa kutumia namba yako ya simu
3️⃣ Weka taarifa za banda lako
4️⃣ Kamilisha kwa kuweka taarifa za kuku wako.

Kwa msaada zaidi, tafadhali tupigie
0768 864 628


Happy Mwalimu Nyerere DayEndelea kutumia bidhaa za Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako.
14/10/2025

Happy Mwalimu Nyerere Day

Endelea kutumia bidhaa za Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

Tumekufikia, Tumewafikia.Mawakala wetu wameenea Tanzania nzima, tafadhali wasiliana na Wakala aliye karibu yakokujipatia...
14/10/2025

Tumekufikia, Tumewafikia.
Mawakala wetu wameenea Tanzania nzima, tafadhali wasiliana na Wakala aliye karibu yako
kujipatia virutubisho bora kwa ajili ya utengenezaji wa vyakula vya mifugo.

Nyanda za Juu Kusini - 0654 300 863
Ukanda wa Pwani - 0684 798 748
Kanda ya Ziwa - 0765 321 406
Kanda ya Kaskazini - 0652 405 880

Afisa Mauzo kutoka Koudijs, akimuelezea mgeni Rasmi wa Maonesho ya Kuku na Ndege wafugwao, Dkt Edwin Mhede - Naibu Katib...
10/10/2025

Afisa Mauzo kutoka Koudijs, akimuelezea mgeni Rasmi wa Maonesho ya Kuku na Ndege wafugwao, Dkt Edwin Mhede - Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mufugo na Uvuvi shughuli zinazofanywa na Koudijs, alipotembelea banda letu, katika ukumbi wa mikutano, Mlimani City.

Tupo Mlimani City, kwenye maonesho ya Kuku na ndege wafugwao tayari kukuhudumia.Tafadhali tembelea Banda letu, ili uweze...
10/10/2025

Tupo Mlimani City, kwenye maonesho ya Kuku na ndege wafugwao tayari kukuhudumia.
Tafadhali tembelea Banda letu, ili uweze kujifunza, kuhusu ufugaji kibiashara.

Timu ya Koudijs, ikishirikiana na wadau wengine wa Kuku na ndege wafugwao, walitembelea kituo cha Mlandizi Vocational Tr...
08/10/2025

Timu ya Koudijs, ikishirikiana na wadau wengine wa Kuku na ndege wafugwao, walitembelea kituo cha Mlandizi Vocational Training Centre, katika maadhimisho ya wiki ya Ulaji wa Mayai.
Katika maadhimisho haya, wanafunzi walielimishwa faida za ulaji wa mayai, na kusisitizwa angalau kula yai moja kwa siku ili kuwa na afya bora.

Tafadhali tembelea Banda letu kwenye maonesho ya Kuku na Ndege wafugwao, pale Mlimani city, Tarehe 10 na 11 Oktoka, 2025 uweze kujifunza jinsi ya kufuga kibiashara.

Mafanikio yako, furaha yetuEndelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako.Comment maha...
01/10/2025

Mafanikio yako, furaha yetu

Endelea kutumia bidhaa kutoka Koudijs kwa matokeo yenye tija katika ufugaji wako.

Comment mahali unapofugia ili tuweze kukuunganisha na Wakala aliye karibu yako.

Tumia Koudijs Concentrates kwa matokeo bora kwenye ufugaji wako.
28/09/2025

Tumia Koudijs Concentrates kwa matokeo bora kwenye ufugaji wako.

26/09/2025
Poultry Show 2025
17/09/2025

Poultry Show 2025

Address

Vingungguti Vawandani, Ilala Municipal Council
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koudijs Animal Nutrition - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram