14/01/2022
TATIZO LA MIFUPA NA MAUNGIO, NA SULUHISHO LAKE
mawasiliano
Hii ni kwasababu umri unavyozidi kwenda mwili unashindwa kuzalisha ute ute katika viungio vya mifupa,na hivyo kupelekea misuguano ya mifupa,ambapo husababisha maumivu makali sana na kupelekea mtu kushindwa Kukaa,Kuinuka,Kukimbia au Kutembea Kabisa!!
CHANZO CHA TATIZO LA VIUNGO (JOINTS TEAR AND WEAR)
-Mara Nyingi Ugonjwa Huu Huitwa ARTHRITIS, Unasababishwa na hitilafu yoyote katika sehemu hizo za maungio ya mifupa.
📲Inaweza kuwa cartilage inalika,upungufu wa synovial fluid(Maji Maji Katika Maungio),maambukizi ya vijidudu katika moja ya maeneo hayo au mchanganyiko wa matatizo Mbali Mbali,Ikiwemo Uzito mkubwa.
📲Tabia kuu ya magonjwa haya ni maumivu kwenye maungio ya mifupa (joints) ambayo ni endelevu na ambayo hutokea eneo hilo hilo moja.
⏸️Chanzo Cha Arthritis Ni Nini...?
Ili Upate Kuelewa Vyema Chanzo cha ugonjwa huu,hebu kwanza tutazame muundo wa joint au sehemu mifupa miwili inapokutana(Maungio).
👉🏻Mfano Goti ambapo mifupa miwili mmoja wa paja na mwingine wa mguu vinapokutana:
👉🏻Maungio ya mifupa-Ligaments;
-📲Ndicho kitu kinachoshikilia mifupa hii miwili pamoja,hii ni k**a utepe wa plastiki au mpira unaonyumbuka uliozunguka eneo hilo kwa nje,ukikunja goti inanyumbuka na ukinyoosha mguu inarudi.
📲Cartilage;Huu ni utando unafunika eneo ambalo mifupa hugusana ili kuzuia mifupa hii isisuguane moja kwa moja,Utando huu ambao kwa kiswahili tunauita gegedu huyawezesha maungio hayo kufanya kazi kiulaini pasipo kusababisha maumivu.
📲Capsule;Hiki ni kitu kinachofunika maungio haya kikizunguka pande zote,ndani ya mfuko huu wa capsule kuna synovial fluid ambayo huzalishwa na synovial membrane.
📲Synovial fluid ni ute ute wa kulainisha sehemu hiyo ya maungio na synovial membrane ni utando ulio kwenye kuta za ndani za capsule.
📲K**a nilivyoeleza hapo juu,kuwa kuna aina zaidi ya 100 za ugonjwa huu wa joints au arthritis.
USHAURI na *SULUHISHO
Mawasilian*0689715054