GreenMed International Herbal Clinic

GreenMed International Herbal Clinic The healthier you the Wealthier you are

Mazoezi ya mara kwa mara au kuushughulisha mwili ni jambo muhimu mno kwa afya ya moyo wakoLakini pengine kila ukifanya m...
19/03/2024

Mazoezi ya mara kwa mara au kuushughulisha mwili ni jambo muhimu mno kwa afya ya moyo wako

Lakini pengine kila ukifanya mazoezi unapata dalili hizo (kwenye hiyo poster hapo juu)

unaweza kuwa unapata hali hizo kwa sababu unakosea mambo haya matatu...

moja ni kujinyoosha au kuukunja mwili kuliko pitiliza (over straining) , mbili kufanya mazoezi kupita kiasi mfano, unafanya mazoezi masaa 5

tatu ni kutojali afya yako ya mwili kabla na wakati wa kufanya mazoezi husika

Aiseh kabla hujaanza ratiba ya mazoezi Ebu zingatia sana vipimo kujua hali yako usije bomoa badala ya kujenga

zingatia ishara hizo za matatizo ya moyo na fanya maamuzi sahihi

kwa ushauri zaidi ncheki Whatsapp 0628394485

kuna muda kuachana na Mwenza wako huwa ni sehemu kubwa ya upendo wako wa dhati na heshima kubwa kwakePengine kuendelea k...
18/03/2024

kuna muda kuachana na Mwenza wako huwa ni sehemu kubwa ya upendo wako wa dhati na heshima kubwa kwake

Pengine kuendelea kumng'ang'ania kungepelekea kuhatarisha zaidi amani yake, afya yake ya akili au mwili au kumuepusha na ushirikina au na hatma flani mbaya zaidi

hivyo unapohisi penzi hilo lina madhara makubwa kwa mwenzi wako kumuacha kwa amani, heshima japo sio kwa furaha huwa ni sehemu kubwa ya uungwana na upendo wa dhati

Unajaribu kuelewa nachokisema lakini...!?
acha nikupe mifano hii miwili...

Msanii Diamond aliachana na Zari sio kwa sababu hampendi hapana, ni dhahiri kabisa jamaa bado anampenda na anatamani arudishe penzi leo kesho...

Na wala sio kwamba hawezi kurudisha penzi la hasha
Ni kwamba hafanyi hivyo kwasababu ya heshima na upendo mkubwa alio nao kwake k**a mzazi mwenzie

Aliwahi kusema hivi... "Mimi sijatulia bado kijana na damu inatembea sana, na mama tee na mzazi wa watoto wangu, leo tukirudiana na nikaendelea na kum-cheat ntakuwa nimemkosea heshima na kuwakosea watoto wangu" huu ni upendo mkubwa sana

Upendo sio lazima tu mtu akung'ang'anie hata k**a anakupeleka shimoni! huu sio upendo wa dhati

Anayekupenda atajali afya yako, uwepo wako hata k**a uko mbali na yeye, heshima yako, utu wako na huruma yake kwako ni kubwa isiyo kifani

hivyo ikitokea leo mtu kakuacha bila sababu usihuzunike sana jua kwamba pengine anayoyafanya kwa siri Lau ukiyafahamu yanaweza kukutoa roho, au pengine akiendelea kuwa na wewe ni hatari zaidi kwako na hivyo amani pekee na usalama wako ni kuwa mbali tu na wewe

kubali ku-move on kwa amani na upendo until you meet again in the love of God

Niambie Ushawahi kuachana na Mwenzi wako kwasababu ya upendo? Ilikuwaje?

Share na mimi kwenye Comment hapo Chini

Call 0628394485
12/03/2024

Call 0628394485

Jinsi ya Kutumia Mpapai k**a tiba ya malaria na Ugonjwa wa Manjano...kwa tawi moja la mpapai  chuma jani moja zima+ mizi...
12/03/2024

Jinsi ya Kutumia Mpapai k**a tiba ya malaria na Ugonjwa wa Manjano...

kwa tawi moja la mpapai chuma jani moja zima+ mizizi mitatu yenye ukubwa wa kiasi tu+kata Malimao manne kisha yatia mazima mazima yachemke pamoja na mchanganyiko huo

acha ichemke kwa dk 8-12 kisha epua acha ipoe kisha tumia glass ndogo (MLS 250) mara mbili kwa siku asubuhi kabla ya hujala na Jioni kabla ya kula

Rudia zoezi hilo kwa siku 7 (wiki moja) na utakuwa fiti

k**a ulipo unaweza kupata mizizi ya mnazi ongeza kwenye dawa yako ichemke

Papai lina viambata tiba (phytochemicals) muhimu kwenye matibabu na changamoto mbalimbali, hivyo hatuandiki kwa hisia bali kwa tafiti zilizothibitishwa ili kukuondoa wasi wasi

kwanini papai? Kwa sababu...

1.kwenye majani na mbegu za papai, kuna _carpaine_ ambayo hupambana na malaria na Pia inaweza kuwa na faida kwa mgonjwa wa moyo.

2.Papai lina flavonoid mbalimbali, mfano wa hizo ni quercetin, kaempferol, na catechins, ambazo zina mali za antioxidant na kupunguza Inflammatory (vichochezi vya magonjwa) ambavyo ni free-radical. husaidia kulinda mwili dhidi ya magonjwa ya muda mrefu na kusaidia afya kwa jumla.

3.Mbegu za papai zina alkaloids hizi za benzyl isothiocyanate, ambazo zina mali za kupambana na saratani na kusaidia katika kuondoa wadudu (parasites) mwilini.

5. katika matunda na majani pia kuna polyphenols ina mali za antioxidant ambazo hupunguza uchochezi wa magonjwa k**a ilivyo kwa flavonoids niliyokuelekeza hapo juu. Polyphenols Zinaweza kuchangia kwa faida mbalimbali za afya, haswa kwa afya ya moyo na kusaidia kinga ya mwili.

Papai bichi na Mbegu zake pia ni tiba kubwa, soon ntawaandikia makala yake

Je umependa makala hii?

Like share na save ili ibaki kwenye simu yako

Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke, ambapo husababisha maumivu makal...
30/01/2024

Chango la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke, ambapo husababisha maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.

Kuna aina nyingi za chango, zinaweza kujitokeza peke yake au kujikusanya na kujitokeza kwa pamoja, hali hyo hujulikana k**a Ovulation Disorder (O.D).

tatizo la chango la uzazi hutokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati sahihi.

Hivyo hupelekea Mwanamke mwenye tatizo hili ashindwe kuwa na walau siku za hatari za kunasa ujauzito, au zipo lakini hazina mpangilio unaoeleweka.

hata Ubongo pia huchangia tatizo hili, kwasababu sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi vizuri hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) zinazohusika na uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke.

Matumizi ya tumbaku, kuziba kwa mirija ya uzazi, maambukizi katika via vya uzazi (PID) na kufunga kwa shingo ya kizazi ni sababu nyingine zinazopelekea mvurugiko wa homoni hizi pia

au hali ya Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi, pia kusababisha tatizo hili.

hata Wanawake wenye uzito mkubwa wanaweza kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi.

Ishara hizi ni za wazi kuwa una Chango la uzazi...

Maumivu wakati wa kuingia katika siku za hedhi, Maumivu wakati wa tendo la ndoa, Homa kali kabla ya siku za hedhi, Uchovu mkubwa anapokaribia siku za hedhi, Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida.

changamoto hii ina madhara kadhaa lakini hutibika kwa urahisi pia

Madhara yake ni pamoja na ugumu wa kupata ujauzito, mimba kuharibika, na kushindwa kufurahia tendo la ndoa.

Ni rahisi zaidi kutibu kwa njia za asili ugonjwa huu...
Kwa kutumia mchanganyiko wa ndulele

hospitali huwa hakuna dawa za moja kwa moja, zilizopo ni kwa ajili ya kurekebisha mfumo wa homoni mwilini (dawa za uzazi wa mpango), kuondoa uvimbe au kutatua maumivu ya hedhi kwa muda na Upasuaji unaweza kufanyika kulingana na hali ya mwanamke.

Nicheki sasahivi whatsap 0757656594 tumalize tatizo hilo au nipigie kwa namba hiyo pia

06/01/2024
TANGAZO HILI HUJALIONA KWA BAHATI MBAYA👋 WALA FACEBOOK HAWAJAKOSEA KUKUONYESHA WEWEnimeandika mahsusi kwa ajili Yako mwa...
16/08/2023

TANGAZO HILI HUJALIONA KWA BAHATI MBAYA👋 WALA FACEBOOK HAWAJAKOSEA KUKUONYESHA WEWE

nimeandika mahsusi kwa ajili Yako mwanaume ambaye unapitia changamoto kadhaa kwenye tendo la ndoa

hasa kuwahi sana kumaliza, kutorudia tendo, hamu ndogo na ulegevu wa msumari wako...

tatizo la rungu lako kutosimama ngangari k**a MSUMARI hutokana na damu kutoujaza vizuri huo msumari wakati wa msisimko wa penzi mubashara ,ki'uume kinasimama Legelege au unakuta pia ni kadogo.

tatizo hili hutokea k**a una moja ya hali hizi au unazote;
Moja ni mzunguko wa damu hauko vizuri (Mafuta mengi mwilini au maradhi ya moyo)

mbili, mishipa ya damu eneo la uume imeziba kiasi hivyo damu haipiti ya Kutosha ( hili ni tatizo kwa mwenye sukari au uzito kupita kiasi unaopelekea presha ya damu kuwa kubwa)

tatu, mishipa ya damu imeminyana sana kwa kusuguliwa na kujichua konki ( vijana hapa ndio kilio Chao) na mwisho ni ukosefu wa nitric oxide ya Kutosha mwilini unaosababishwa na kutokula vyakula sahihi vyenye madini ya citrulline kwa wingi k**a tikiti maji na baadhi ya vyakula...

Usikimbilie dawa yoyote Anza na Mazoezi na Lishe sahihi uone moto wake ,Kisha k**a tatizo haliishi sasa ndio utuone wataalam tukupe madini ujishindie heshima Kila game

Leo natoa ushauri wa lishe sahihi na mazoezi BURE unachotakiwa ni kunicheki Whatsapp 0757656594 Kisha utaupata

Pia tumetenga siku 3 za mafunzo ya tiba Bure, utakutana na Mbabe wa pori na pia utakutana na daktari wa binadamu (medical doctor) ambaye atajibu maswali yako k**a utakuwa na tatizo unahitaji ufafanuzi

NB: DM za insta na Facebook utachelewa kujibiwa ,tuma DM Whatsapp utasaidiwa kwa haraka

Kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kuathiri afya ya korodani na uume na hivyo kusababisha tatizo la kushindwa kusimama ...
14/03/2023

Kuna magonjwa mbalimbali yanayoweza kuathiri afya ya korodani na uume na hivyo kusababisha tatizo la kushindwa kusimama imara wakati wa tendo la ndoa.

haya ni baadhi ya magonjwa hayo:

🖊️Ugonjwa wa kisukari: Kisukari kinaweza kusababisha uharibifu wa mishipa ya damu ambayo hupatikana kwenye uume, na hivyo kusababisha tatizo la kushindwa kusimama imara wakati wa tendo la ndoa.

🖊️Magonjwa ya moyo: Magonjwa ya moyo k**a vile shinikizo la damu na ugonjwa wa moyo wa koronari yanaweza kupunguza mtiririko wa damu kwenda kwenye uume

na hivyo kusababisha tatizo la kushindwa kusimama imara wakati wa tendo la ndoa.

🖊️Matatizo ya homoni: Matatizo ya homoni k**a vile kupungua kwa testosterone yanaweza kusababisha tatizo la kushindwa kusimamisha imara wakati wa tendo la ndoa.

🖊️Ugonjwa wa Peyronie: Hii ni hali ambapo tishu za uume huzidi kukua na kusababisha uume kupinda au kugeuka, na hivyo kusababisha tatizo la kushindwa kusimama imara wakati wa tendo la ndoa.

🖊️Matatizo ya kiakili: Matatizo ya kiakili k**a vile msongo wa mawazo, wasiwasi, na matatizo ya kihisia yanaweza kusababisha tatizo la kushindwa kusimama imara wakati wa tendo la ndoa.

Kila hali inautaratibu wake wa kuitibu ndio maana huwa nashauri Anzia hospital kwanza k**a sababu ya tatizo ulilonalo huifahamu

Kuondokana na changamoto ya kuwahi sana na kushindwa kurudia tendo

Kukuza Uume mdogo

tuma ujumbe Whatsapp 0757656594 au piga simu

tumbo ni k**a sufuria la kupikia, linahitaji usafi Kila unapomaliza kupika chakula chakomaradhi yote huanzia tumboni hiv...
08/03/2023

tumbo ni k**a sufuria la kupikia, linahitaji usafi Kila unapomaliza kupika chakula chako

maradhi yote huanzia tumboni hivyo hata tiba ianzie huku huko

tumbo likiwa vizuri mengine yatafuata baadae

tumboni kuna bacteria na fungi maaluum na wanaishi kutokana na mazingira halisi ya tumboni kwa kutegemeana

Pia kuna uwepo wa vimeng'enyi (enzymes) kwa ajili ya kuvunjavunja vyakula na kuongeza kasi ya ufanyaji kazi wa mmeng'enyo wa chakula na mifumo mbalimbali

homoni ya thyroxine husaidia katika kuongeza kasi mmeng'enyo wa chakula na metaboliki zote mwilini

Inapotokea tumboni *uwiano wa bacteria* wazuri na wabaya ukawa chini sana au kuzidi sana au *fungi* au *enzymes* au kichochezi Cha *thyroxin* kupungua changamoto nyingi hutokea

changamoto hutokana na ulaji mbovu ambao husababisha tumbo kuwa na mlundikano wa kemikali sumu mafuta na taka nyingi ambavyo husababisha bacteria enzymes fungi na homoni kuelemewa na kushindwa kufanya kazi

Ukitaka kujua haya angalia tumbo lako k**a unapata ishara hizi

👉tumbo kujaa gesi na kuunguruma kila mara

👉kuhisi haja kubwa na ukienda choo hupati unaishia kutoa upepo

👉kupenda kula kula Kila wakati(hasa watu walionenepa mwanzo walikuwa wembamba)

👉kuhisi uchomvu Kila wakati hata k**a hujafanya kazi yoyote
👉Vichomi kifuani mara kwa mara
👉Ngozi kupauka na kupoteza mvuto
👉tiba kutofanya kazi
👉Msongo wa mawazo
👉akili kuvurugika na kukosa usingizi
👉vidonda tumbo kuzidi maumivu ambayo hupelekea kuhisi vichomi hadi kwenye mapafu

Kabla hujahangaika kutibu tatizo la nguvu za kiume tibu kwanza tumbo

kuna faida nyingi sana mwiliniza *Detox* zitakazokufanya uwe bora hata utakapofikia uzee huko baadae

Detox mwilini ni mchakato wa kuondoa sumu na uchafu mwilini kwa kula vyakula na kunywa vinywaji maalum vinavyosaidia kusafisha mwili wako.

*Faida za detox mwilini ni pamoja na*

1.Kusaidia kupunguza uzito: Detox mwilini unaweza kusaidia kupunguza uzito kwa kuondoa sumu na uchafu mwilini, na kuboresha metaboliki yako.

2.Kusafisha ini: Detox mwilini husaidia kusafisha ini, ambalo ni kiungo muhimu katika kusafisha mwili wenye sumu.

3.Kuboresha kinga ya mwili: Detox mwilini husaidia kuboresha kinga ya mwili kwa kuondoa sumu na uchafu, na kusaidia mwili wako kupigana na magonjwa.

4.Kupunguza uchovu na kuboresha usingizi:
Detox mwilini husaidia kupunguza uchovu na kuboresha usingizi kwa kusaidia kuondoa sumu na uchafu ambao husababisha uchovu na kuzuia usingizi.

5.Kusaidia kuondoa msongo wa mawazo:
Detox mwilini husaidia kupunguza msongo wa mawazo kwa kuondoa sumu na uchafu ambao husababisha msongo wa mawazo

*Je Detox ni muhimu zaidi kwa watu gani na umri upi*?

Kimsingi detox ni muhimu kwa watu wote, bila kujali umri, uzito au muundo wa mwili.

LAKINI... watu wenye uzito mkubwa ndio wanafaidi zaidi kutokana na detox kwani wana hatari kubwa ya kuwa na viwango vya juu vya sumu mwilini kutokana na lishe duni, kutumia madawa ya kulevya, mazingira yenye uchafu, na sababu nyinginezo

Vilevile, watu wenye umri mkubwa wa utu uzima wao wanapoteza uwezo wa mwili kutoa sumu kwa ufanisi, detox ina manufaa makubwa zaidi kwao.

Kwa kuongezea, wazee wana hatari kubwa ya magonjwa ya moyo, shinikizo la damu na magonjwa mengine yanayohusiana na umri, ambayo yanaweza kuongezeka na kuwa hatari zaidi kutokana na uwepo wa sumu mwilini.

Kwa upande wa mtu mwembamba, yeye anaweza pia kufaidika na detox kwani ana hitaji kujenga upya misuli na tishu zake zinazohitajika kwa utendaji mzuri wa mwili.

Aidha, mazingira anamoishi na lishe anayotumia inaweza kusababisha mwili wake kukusanya sumu ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa afya yake

*Hivyo basi Kabla hujatibu Nguvu kwanza tibu tumboni*

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255757656594

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GreenMed International Herbal Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to GreenMed International Herbal Clinic:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram