Bingwa Lukata

Bingwa Lukata Tunawasaidia wanawake wa maofisini kupunguza uzito bila kuwa watumwa wa vyakula na mazoezi.

Wahi mafunzo haya  kwa muda wa siku 7, komenti namba yako katika sehemu ya komenti
16/10/2023

Wahi mafunzo haya kwa muda wa siku 7, komenti namba yako katika sehemu ya komenti

Ndani ya siku 7, utajifunza namna bora ya kupunguza uzito, tumbo na nyama uzembe. Komenti namba yako hapa chini
16/10/2023

Ndani ya siku 7, utajifunza namna bora ya kupunguza uzito, tumbo na nyama uzembe. Komenti namba yako hapa chini

INSULINI, hii ni homoni inayo zalishwa na tezi ya kongoshoInsulini inapo ongezeka katika mwili hupelekea uzito wa mwili,...
07/10/2023

INSULINI, hii ni homoni inayo zalishwa na tezi ya kongosho

Insulini inapo ongezeka katika mwili hupelekea uzito wa mwili, nyama uzembe na tumbo kuongezeka kwasababu kiwango chake kinapo kuwa kikubwa katika mwili 'Insulin Resistance' hupelekea tezi ya hypothalamus ambayo inapatikana katika ubongo kufanya kazi yake isivyo kawaida na kuongeza uzito wa mwili 'body weight set point' pia kupelekea mrundikano wa mafuta katika mwili kuongezeka na kusababisha nyama uzembe na kitambi

Ukihitaji kupunguza uzito, tumbo na nyama uzembe basi zingatia kupunguza kiwango cha Insulini ili kuirekebisha tezi ya hypothalamus na kutibu tatizo hili moja kwa moja

Zifuatazo ni njia za kupunguza kiwango cha Insulini katika mwili, ambazo ni

1. Kuacha kutumia kabisa SUKARI za Viwandani

2. Kupunguza matumizi ya WANGA( ukihitaji kutumia wanga tumia ambayo haija kobolewa kwasababu ina kiwango cha nyuzinyuzi ambazo ni muhimu katika mmen'genyo wa chakula tofauti na wanga iliyo kobolewa)

3. Kutumia MAFUTA yanayo faa kiafya( mafuta ya mzeituni na mafuta ya n**i)

4. Kunywa MAJI ya kutosha kila siku

Kumbuka Unastahili Afya Bora na Imara
Lukata

Afyafresh mfumo mpya utao kutoa kutoka katika utumwa wa vyakula na mazoezi na kutibu tatizo lako la uzito mkubwa moja kw...
29/07/2023

Afyafresh mfumo mpya utao kutoa kutoka katika utumwa wa vyakula na mazoezi na kutibu tatizo lako la uzito mkubwa moja kwa moja. Usikose kuingia katika mafunzo haya ya bure kwa muda wa siku 7.

Kwa wale wote wenye changamoto ya uzito mkubwa na tumbo, tumewaletea mfumo maalum wa AfyafreshKupitia mfumo huu Bingwa L...
27/07/2023

Kwa wale wote wenye changamoto ya uzito mkubwa na tumbo, tumewaletea mfumo maalum wa Afyafresh

Kupitia mfumo huu Bingwa Lukata itakusaidia kutibu tatizo lako la uzito mkubwa na tumbo moja kwa moja bila kuwa mtumwa wa vyakula na mazoezi

K**a upo tayali kujipatia mafunzo haya komenti kisha nitakuunga katika group la mafunzo.

14/06/2023
Ujumbe muhimu kwa wanawake wanao taka kupunguza uzito na kutengeneza shepu nzuri.Kwa anayetaka kupunguza uzito na kuteng...
26/10/2022

Ujumbe muhimu kwa wanawake wanao taka kupunguza uzito na kutengeneza shepu nzuri.

Kwa anayetaka kupunguza uzito na kutengeneza shepu nzuri baada ya kuzunguka sehemu mbalimbali bila mafanikio, basi ujumbe huu ni muhimu kuliko ujumbe wowote ulio wahi kuusikia mwaka huu.

Baada ya kuwasaidia watu zaidi ya 200 kupunguza uzito na kutengeneza shepu nzuri, leo nimekuandalia ofa ya mafunzo ya bure yatayo kusaidia kupunguza uzito kwa mfumo wa TIBA LISHE kwa kufata hatua kwa hatua ukiwa nyumbani bila kuondoa mlo wowote na katika muda wako wa ziada.

Bonyeza link hii kuingia mafunzoni bure https://chat.whatsapp.com/FpJdzGMC5eWJf7koyxOJ3u au nitumie ujumbe WhatsApp ukiandika mafunzo bure kupitia namba hii 0734599751.
MUHIMU: Ofa hii itadumu kwa muda wa masaa 24 tu hivyo jiunge sasa kabla group halijajaa.

Kumbuka unastahili afya Bora na Imara.

Unataka kupunguza uzito na kujenga shepu nzuri?K**a wewe ni mwanamke ambae una tatizo la uzito ulio pitiliza na umekuwa ...
25/10/2022

Unataka kupunguza uzito na kujenga shepu nzuri?

K**a wewe ni mwanamke ambae una tatizo la uzito ulio pitiliza na umekuwa ukiangaika sehemu mbalimbali ikiwemo hospitalini bila mafanikio yoyote basi habari hii ni muhimu kuliko zote ulizo wahi kuzisikia mwaka huu.

Baada ya kuwasaidia wanawake zaidi ya 150 kuondokana na tatizo hili kwa kufuata mfumo wa TIBA LISHE na wakaona matokeo ndani ya muda mfupi; nimeamua kukuletea MAFUNZO YA BURE kabisa ambayo yatakusaidia wewe ambae unatafuta utatuzi wa tatizo hili kufahamu ni njia gani ufate katika mpangilio wako wa mlo kila siku bila kuruka mlo wowote na ukaona matokeo ya uzito wako ukipungua. kupitia mafunzo haya utajifunza yafuatayo👇

⚡Mambo yanayo pelekea mtu kupata tatizo la uzito ulio pitiliza.
⚡ Vyakula gani vina mafuta na sukari nyingi na njia ya kuvitumia kutibu tatizo.
⚡Vyakula vipi havina mafuta wala sukari na njia ya kuviandaa.
⚡Kuondokana na mafikirio ya kizamani kuhusiana na tatizo hili.
⚡Kupangalia mpangilio wa mlo kamili bila kuaacha mlo wowote.
⚡Kujenga nidhamu ya Mwili.
⚡Na mengine mengi..

Ofa ya watu 20 wa mwanzo watao wahi imetolewa hivyo k**a wewe ni mwanamke ambae una tatizo hili na ungependa kushikwa mkono na kuelekezwa hatua kwa hatua jinsi ya kutatua tatizo lako, komenti na like hapo chini nami nitakutumia link ya kuingia kwenye mafunzo.
MUHIMU: Ofa hii niya masaa 24 tu; baada ya hapo utayapata mafunzo haya kwa kiasi Cha kuanzia Tzs 250000. Hivyo bofya link hii kujiunga na group kabla halija jaa https://chat.whatsapp.com/FpJdzGMC5eWJf7koyxOJ3u

Kumbuka unastahili afya Bora na Imara.

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bingwa Lukata posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Bingwa Lukata:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram