Afya Fit Pro

Afya Fit Pro � AFYA NA VIRUTUBISHO
� MFUMO BORA WA MAISHA NA ULAJI
� TIPS ZA AFYA | MAZOEZI | LISHE BORA
?

*K**a hulali Masaa 8  na hunywi Maji Kuanzia Lita 2 kwa siku,**Maradhi Yatakufanya Uwe Mtumwa wa Dawa kila siku.*Asilimi...
09/08/2024

*K**a hulali Masaa 8 na hunywi Maji Kuanzia Lita 2 kwa siku,*

*Maradhi Yatakufanya Uwe Mtumwa wa Dawa kila siku.*

Asilimia zaidi ya 80% Ya Maradhi ya Mfumo wa Maisha chanzo kikuu huwa ni pale Unapokosa Usingizi wa Kutosha na Upungufu wa Maji Mwilini:

*Matatizo Ya Moyo:*
Kukosa Usingizi ni chanzo cha Kupata Matatizo Ya Moyo na Mzunguko wa Damu Kutokana na Stress homoni unazozizalisha Mwilini.

*Upungufu wa Mfumo wa Kinga:*
Kukosa Usingizi na Maji ya Kutosha Mwilini hudhoofisha Kinga Yako ya Mwili hivyo Upo hatarini Kupata Magonjwa na Maambukizi.

*Matatizo Ya Kumbukumbu ya Umakini:*
Uwezo wa Kumbukumbu huanza Kupotea na Umakini katika Kuamua mambo hupungua.

*Magonjwa ya Akili, Hofu na Wasiwasi.*
Hali hii huongezeka kutokana na Ubongo kukosa muda wa Kupumzishwa

*Madhara Katika Viungo vya Ndani ya Mwili K**a vile Figo na Ini,*
hii ni kutokana na Mwili kuwa na Upungufu wa Maji hivyo Kushindwa kufanya kazi Vizuri.

*Matatizo ya Ngozi ya Muonekano:*
Kukosa Usingizi na Maji, ni Chanzo cha Ngozi kupoteza Nuru yake na Kuwa Kavu. Lakini pia huongeza Makunyazi na kuzeeka kwa Ngozi

*Matatizo ya Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula.*
Changamoto k**a vile Kukosa Choo, Kutoa harufu mbaya katika Kinywa.

*Mvurugiko wa Homoni na Matatizo Ya Uzazi:*
Stress homoni unazozalisha kwa wingi Mwilini ni chanzo kikubwa cha Mvurugiko wa homoni na changamoto za Uzazi pia.

*Mwili kuchoka na Uchovu.*
Kuna mwingine anaamka lakini mwili unakuwa umechoka sana k**a ametoka kufanya kazi vile, na mwingine asubuhi mapema tuu ila tayari ameshachoka na anasinzia tuu kila wakati.

*Matatizo ya Mgongo, Kiuno, Maumivu ya Kichwa na Kuwa k**a una stress usizojua chanzo ni nini.*

Hizo ni ishara chache kati ya Nyingi ambazo hujionesha pale mwili wako unapokosa maji na Usingizi wa kutosha.

Usipozingatia Haya, Utakuwa Mtumwa wa Kumeza Dawa Kila siku ila Suala la Kupona Kwako litakuwa ni gumu.

*Kwa Ushauri zaidi na Tibalishe, Karibu Tuzungumze.*.

Mawasiliano
+255621425885

10/07/2024

♠️JE UNAPATA DALILI ZA TEZI DUME !??

♠️ IPI NI CHANGAMOTO HASA UNAYOPITIA KWAKO !?

https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

i. Unapata tatizo la haja ndogo mara kwa mara.

ii. Unashindwa kuzuia haja hasa pale unapopata kwa ghafla!.

iii. Unapata maumivu chini ya kinena wakati wa haja ndogo au baada ya haja ndogo!!..

iv. Mkoja kubaki katika kibofu mara baada ya kumaliza kujisaidia & unatumia nguvu kubwa ku push haja ndogo!!...

V. Unashindwa kumudu tendo la ndoa, kupoteza hamu, kushindwa kurudia, nguvu na stamina wakati wa tendo!!...

vi. Kutoa haja ndogo iliyoambatana na damu au kutoa mbegu zilizoambatana na damu baada ya tendo la ndoa !???

K**a unapata dalili moja wapo kati ya hizi basi Tazama video clip hii ni muhimu sana kwako, kwani ina suluhisho bora kwa changamoto yako.

https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

KARIBU UPATE MWONGOZO HUU VYEMA...

MADHARA YA PUNYETOhttps://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5🧔🏽PUNYETO👩‍🦰 huambatana na madhara makubwa ya kiafya n...
28/06/2024

MADHARA YA PUNYETO

https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

🧔🏽PUNYETO👩‍🦰 huambatana na madhara makubwa ya kiafya na leo tutaangalia madhara kumi ya kujipa raha mwenyewe kwa kutumia mkono wako au kwa jina Jingine "PULI"

🗣️1. punyeto humfanya mtu awe mlegevu bila kuwa na nguvu kabisa mda wote kwani nguvu nyingi hutumika kwenye tendo hilo kuliko hata nguvu zinazotumika zinapokutana nyama kwa nyama.

🗣️2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.... (Premature ej*******on)
anaweza akajikuta akigusa tu "nanii" ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.

🗣️3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao

🗣️4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low s***m count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta motto.

🗣️5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi

🗣️6. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi (addiction)

🗣️7. Punyeto husababisha mwanamke au mwanamume kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.

🗣️8. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya Zinaa k**a Gono, kaswende na Ukimwi kirahisi sana.

🗣️9. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani mara nyingi kila umalizapo tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutorudia tena lakini ikifika mida Fulani "sabuni k**a kawa"

🗣️10. Kijana kuondokwa na haja ya kuoa au kuolewa kwani anachokitaka anahis anakipata na kupelekea kushindwa kuandaa familia yake .

🗣️Amua sasa kuacha mchezo huo mchafu.

NJOO NIKUSAIDIE KUONDOA ATHARI ZA PUNYETO NA NAMNA BORA YA KUACHA MOJA KWA MOJA:

https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

AINA ZA VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, NA KUWEKA MWILI SAWA.https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ51.Tend...
19/06/2024

AINA ZA VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, NA KUWEKA MWILI SAWA.

https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

1.Tende.

Katika kila gram (100) ndani ya tende kuna virutubisho kwa asilimia k**a ifuatavyo.

Chuma (iron). 5.50ppm.

wanga (cabohydrate) 78.8%.

Nishati (energy) 317kcal.

Hamirojo (protin)2.5%.

Mafuta (fat).0.4%.

Kamba kamba (fiber)4%.

Madini 2.1%.

Unyevu nyevu (moisture)15.3%.

Fructose 27%.

Grucose (Sukari) 35%.

Faida nyingine za tende.

1.Huongeza damu ukichanganya na maziwa

2.Husaidia kuzalisha manii kwa wingi

3.Huongeza nguvu za kiume.

4.Huzidisha hamu ya tendo la ndoa.

*2.Zabibu.*

Huongeza sana nguvu za kiume ,
wengi hupenda kuyaita "vi**ra" kwa sababu ya ufanyaji kazi mwilini , husaidia mzunguko wa damu na huondoa cholesterol

*3.Chocolate.*

Husaidia kuongeza stamina , kwasababu ina viambato vya phenylethylamine na Alkaloid

Phenylethylamine.
hupelekea kujisikia vizuri.

Alkaloid.
Huongeza stamina wakati wa tendo la ndoa.

*4.Ndizi.*

Ni chanzo kikubwa cha vitamini B, ambacho ni muhimu katika tendo la ndoa, ina kimeng'enyo cha bromelan ambacho huongeza Ashki wakati wa tendo la ndoa , pia huongeza stamina.

*5.Tangawizi.*

Husisimua sana mzunguko wa damu , tangawizi imekuwa ikitumika sana katika maeneo ya Asia kwa ajili ya wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume.

*6.Tunda la komamanga.*

Ni aina ya matunda yenye rangi nyekundu , husaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea uwezo na hamasa wakati wa tendo la ndoa na kupokea hisia kwa urahisi.

*7.Mtini.*

Ni matunda yenye kiwango kikubwa sana cha amino asid, ambayo ni kiungo kikubwa cha Kuzalisha homoni mwilini.

*8.Karanga.*

NI Chanzo kikubwa sana cha kurekebisha Protini mwilini, pia husaidia kuweka vizuri mzunguko wa damu na kusaidia kuzalisha homoni ambayo ni muhimu kwa tendo la ndoa.

*9.Asali.*

Asali ina historia ndefu ya kuamsha nguvu za kiume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kutibu uhanithi kutokana na uwezo wake k**a kiamshaji/chaji kwa wanandoa , Tumia vijiko 2 asubuhi na 2 jioni.

*10.Kitunguu swaumu.*

Kitunguu swaumu kina Allicin, kiambato kinachosaidia kuweka vizuri mzunguko wa damu , Pia Hupunguza tatizo la damu kuganda katika mishipa ya damu

*Je kipi chakula pendwa ambacho kitakuwa rahisi kukipata kwako..... ❓*
Jiunge na Darasa la what's app upate kujifunza vitu vingi zaidi. Gusa maandishi ya blue
https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

AU
PIGA SIMU KUPATA MSAADA
+255621425885

06/12/2023

*BEST FOOD FOR STROKE RECOVERY*
……ifuatayo ni list ya vyakula muhimu kwa ajili ya mgonjwa wa stroke (kupalalaizi)…..
 Salmon (EPA)
Samaki aina ya solmon ni mzuri kwa mgojwa wa stroke kwa sababu ana kiwango kikubwa cha omega 3 fatty acids ambayo inafanya kazi kubwa kwenye ubongo na kuongeza utendaji kaziwa neuroplasticity.
Hakikisha kwenye mlo wako unaongeza ulaji wa samaki hasa hasa uyu aina ya salmon

 Avocados (oleic acid)
Parachichi ni tunda ambalo limejaaliwa kuwa na virutubisho vingi ikiwemo hii oleic acid lakini ni antioxidants mzuri. Tafiti zinaonyesha hii antioxidant iliyopo kwenye parachichi inamchango kwenye utendaji kazi wa neurons
Jaribu kula kipande cha parachichi kila siku, unaweza kutengeza kachumbali au smoothie

 Olive oil
Olive oil inasaidia kuongeza kiwango cha apolipoprotein kwenye mwili wako. Hii protein huwa inapatiakana kwenye damu. Tafiti zinasema ukiwa na kiwango cha kutosha cha protein kwenye damu inasaidia kupunguza magonjwa ya moyo ambayo yanaweza kusababisha stroke.

 Blueberries
Bluederries zina kiwango kibubwa cha flavonoids ambazo usaidia uondoshwaji wa cholesterol mbaya kwenye mishipa ya damu.
 Pomegranates
Makomanga yana kiwango kikubwa cha antioxidants. Iongeze pia kwenye mlo wako.

 Cirtrus fruit (vitamin C)
Matunda jamii ya machungwa na zabibu ni vyanzo vikuu vya vitamin c lakini pia yana kiwango kikubwa cha flavonoids.
Yanasaidia sana katika kutengeza cell za ubongo, zinarekibisha matatizo ya neurological.
Machungwa na zabibu ni muhimu kwa mgonjwa wa stroke

 Apple (fiber)
Apple lina utajiri wa antioxidants na fibers ambazo ni nzuri kwenye kucontrol kiwango cha cholesterol. Hivyo kuondoa hatari za kupata stroke kwa sababu zinasafisha mishipa ya damu.
Kula apple moja kila siku kunaweza kuimarisha afya yako.

 Nyanya (lycopene)
Nyanya ina utajiri wa kuwana lycopene na antioxidants. Umaweza kula nyanya kwenye supu au kachumbali lakini kumbuka kuweka chumvi kidogo sana au usiweke kabisa,

 Ndizi

NB: zingatia pia kufanya mazoezi kwa sababu yatakuimarisha Zaidi na kufanya chakula ulichokula kifanye kazi ipasavyo. Kunywa maji ya kutosha pia pata mda wa kupumzika walau masaa 6 mpaka 8 ili mwili ufanye mechanism zake.

*ONDOA CHANGAMOTO  YA  FIZI KUTOA DAMU,  MENO KUOZA, MENO KUTOBOKA,  NA  KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA KWA KUTUMIA  BIDHAA H...
15/11/2023

*ONDOA CHANGAMOTO YA FIZI KUTOA DAMU, MENO KUOZA, MENO KUTOBOKA, NA KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA KWA KUTUMIA BIDHAA HII*

Changamoto za Kinywa K**a KINYWA KUTOA HARUFU, MENO KUTOBOKA & KUSAGIKA, NA FIZI KUTOA DAMU ni Moja Ya Changamoto ambayo zinawanyima raha na kuwakosesha amani Watu Wengi sana.

Hii ni kutokana na kuwa ni Changamoto ambayo ina madhara ya moja kwa moja kwa mtu na watu waliomzunguka.

Kwa Kuzingatia hilo, Tumekuandalia Bidhaa Nzuri sana ya BRIGHT TOOTHPASTE ambayo imekuwa na matokeo mazuri sana kwa watu wengi ambao tunaitumia

*HIZI NI FAIDA ZA KUTUMIA BRIGHT TOOTHPASTE:*

Ni bidhaa ya asili ya meno yenye manufaa mengi mno.
Watu wengi tunatumia dawa za meno zenye kemikali ya FLUORIDE ambayo ni hatarishi kwa afya kwani huweza kusababisha kansa ya koo na utumbo.

Je wewe umeshawahi kusoma maelezo katika makasha ya dawa hizo ambayo, yameandikwa kwa herufi ndogo maelezo k**a haya:
*▪︎Usimeze*
*▪︎Sukutua Kinywa Chako Vizuri*
*▪︎Mtoto Mdogo Chini ya Miaka Sita Atumie Chini ya Uangalizi wa Mzazi tena kwa Kiasi Kidogo sawa na Punje ya Njegere*
*▪︎Muone Daktari wako wa meno kila baada ya Miezi Sita.*
*Je umeshawahi jiuliza kwa nini?.*

Hii inaashiria kuwa FLUORIDE ni Sumu, Na ili kuepukana na madhara hayo inabidi utumie dawa ya meno isiyokuwa na FLORIDE. .

BRIGHT TOOTHPASTE
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na mmea wa aloe vera pamoja na asali ya nyuki wadogo.
Hivyo husaidia kuua bakteria na vijidudu mdomoni na kukilinda Kinywa chako.

1. Ni bidhaa pekee isiyo na FLUORIDE, iliyothibitishwa kimataifa kwamba ni rafiki wa afya ya binadamu .

2. Huzuia kutoka harufu mbaya mdomoni.

3. Huimarisha fizi zako.

4. Huzuia meno yasitoboke.
5. Huzuia meno na fizi zusitoe damu.

6. Husaidia kuondoa na kukausha vidonda vya mdomoni.
7. Husaidia kuondoa maumivu ya jino -unapaka moja kwa moja kwenye meno bila kupiga mswaki

8. Ni bidhaa pekee ya meno ambayo ukiimeza inatumika kusafisha mmengenyo wa chakula.

9. Ni rafiki kwa watoto,mtoto anaweza kutumia bila uangalizi wa MTU mzima kwani hata akimeza haina madhara yoyote mwilini.
10. Inang' arisha meno bila kuondoa tabaka la juu la meno.
11. Inasaidia kutibu fangasi mdomoni,kooni,vidoleni n.k.

12. Inasaidia kwenye jeraha la kujikata kwani huua bakteria.

13. Inasaidia kuondoa gesi tumboni,meza matone mawili ya BRIGHT TOOTHPASTE yenyewe.

14.Pia k**a utamwagikiwa na maji ya moto au chai ,ni huduma ya kwanza nzuri sana, husaidia ngozi isitoke ukipaka
Kwa maelezo zaidi na kuipata bidhaa hii wasiliana nasi.
*Faida hizi Zote Utazipata Kwa Tsh. 30,000 Tuu.*

Na Itakufikia Popote Pale Ulipo.

*NIPIGIE SASA HIVI UWEZE KUIPATA YAKO:*
*+255621425885*

UJUMBE MUHIMU KWAKO MWANAUME+255621425885Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupe...
01/10/2023

UJUMBE MUHIMU KWAKO MWANAUME
+255621425885

Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa.

𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢;
➖Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu kiwango cha damu kuflow vizuri na hivyo linapokuja swala la kusimamisha uume mwanaume huyu anakuwa hana uwezo wa kusimamisha uume wake vizuri.

𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗗𝗔𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗢𝗢𝗦𝗧
➖Madawa k**a vile mkongo, Vi**ra na putururu husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu uki overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake, Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu sana humfanya mhusika kuwa tegemezi wa madawa na hufanya mishipa ya uume kulegea na kukosa nguvu

𝗩𝗬𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗩𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔;
Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha Katika mishipa yake ya damu na usimamaji mzuri wa uume unategemea mzunguko mzuri wa damu

𝗠𝗔𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔: (𝗣𝗥𝗘𝗦𝗛𝗔,𝗞𝗜𝗦𝗨𝗞𝗔𝗥𝗜,𝗡𝗚𝗜𝗥𝗜, 𝗧𝗘𝗭𝗜𝗗𝗨𝗠𝗘,)
➖Unapokuwa na magonjwa haya ni rahisi sana kupata matatizo ya nguvu za kiume Na wakati mwingine kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa

𝗠𝗦𝗢𝗡𝗚𝗢 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗪𝗔𝗭𝗢;
➖Hii husababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa katika sita kwa sita na mke wake, msongo wa mawazo unaufanya mwili kushindwa kuzalisha vichocheo vya kufanya tendo la ndoa Kumbuka kwamba akili yako inahitaji kuwa tulivu kwasababu tendo la ndoa huanzia kichwani

𝗨𝗟𝗘𝗩𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗩𝗨𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗦𝗜𝗚𝗔𝗥𝗔;
➖Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya n.k husababisha mwanaume kukosa nguvu za kiume

𝗨𝗭𝗜𝗧𝗢 𝗔𝗨 𝗨𝗡𝗘𝗡𝗘 𝗨𝗟𝗜𝗢𝗣𝗜𝗧𝗜𝗟𝗜𝗭𝗔
➖Uzito huwa ukipanda huwa unakuja na mabadiliko mengi ya mwili ikiwemo suala la kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Kumbuka tendo la ndoa huhitaji stamina na pumzi ya kutosha kitu ambacho maranyingi huwa ni tatizo k**a uzito ni mkubwa lakini pia uzito mkubwa hupelekea hormone kuvurugika!

_KIPI KILIONDOKA NA FURAHA YAKO?_

Usipate hofu...

⚠️Super Bedroom Package ni jibu sahihi kwako kwa kila Changamoto Yako...

Ungependa uipate leo ?

Nifahamishe nikupe Mwongozo Jinsi Ya Kuipata Package yako hapo Ulipo ✅

Mawasiliano
+255621425885

Jinsi Mwanamke anavyoweza Kukusababishia Ukapoteza Hamu Ya Tendo na Uwezo wa KushirikiTendo la NdoaUkitafakari kwa harak...
20/09/2023

Jinsi Mwanamke anavyoweza Kukusababishia Ukapoteza Hamu Ya Tendo na Uwezo wa KushirikiTendo la Ndoa

Ukitafakari kwa haraka utakosa jibu, lakini ukiendelea kusoma makala haya utaelewa kwa nini wanahusika na wanatakiwa kufanya nini ili angalau kuipunguza aibu hii inayowakosesha raha wanaume wengi.

1. UBUNIFU

Inaelezwa kuwa wanawake hasa waliopo kwenye ndoa au Mahusiano kwa muda mrefu, hupunguza ubunifu/ utundu kitandani na hivyo kuwafanya waliokuwa nao kuwaona tofauti na kupunguza hamu ya kujamiiana.

2. KAULI

Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.

Msaada unaohitajika kwa mwanamke anayekutana na mwanaume dhaifu kwenye tendo si kumwambia hawezi, bali ni kumtia moyo na kumsaidia kuweza. Wanawake wamewasababishia waume zao upungufu wa nguvu za kiume kwa kuwaambia maneno k**a haya: “Yaani siku hizi sijui umekuwaje, yaani huwezi kazi kabisa!”

3. UJUZI

Pamoja na wanawake wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione k**a mgeni wa mchezo huo.
Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

4. USAFI

Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Sote tunafahamu umuhimu wa usafi wa mwili na kero za uchafu wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. Unadhifu wa mavazi na mwili ni muhimu sana katika mapenzi.

5. GUBU

Jambo lingine linaloweza kumsababishia mwanaume upungufu wa nguvu za kiume ni Mwanamke anapokuwa mwingi wa maneno ya kashfa, dharau na matusi huweza kumfanya mume amchukie na kutopenda kushiriki naye tendo.

6. USALITI

Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapoona, kuhisi au kubaini kuwa anasalitiwa, huumia sana moyoni, maumivu ambayo hatimaye humfanya muhusika kuwa na mawazo mengi ambayo humuondolea hamu ya tendo.

Ila ni vyema sana kwa Mwanaume kuhakikisha kwamba afya yako ya Uzazi ipo vizuri! Kabla hujakutana na mwenzio mchezoni!

K**a unachangamoto ya Upungufu wa nguvu za Kiume na imekusumbua Kwa mda mrefu! Karibu upate Tiba ya virutubisho Lishe vitakavyokusaidia kujiamini wakati upo na Mwanamke wako!

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA KUHUSIANA NA AFYA YA UZAZI.

TUWASILIANE KWA NAMBA 👇🏽👇🏽👇🏽

𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏
0621425885

03/08/2023
03/08/2023

UGONJWA WA BAWASIRI
( HEMORRHOIDS)

MIWASHO, MAUMIVU NA VIMBE KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA

Bawasiri ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehemu ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na hupelekea wakati mwingine kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa.

Ugonjwa huu unasababisha muwasho na maumivu makali katika tundu la haja kubwa.

Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 25 – 70.

Ila kwasasa ugonjwa huu unawaathiri mpaka watoto wa umri wa chini kabisa:

Kuna aina mbili za bawasiri:

Bawasiri ya Ndani:

Hiki nikinyama kinachootea ndani kabla ya Kutokea nje

Huanza kwa mtu kukosa choo, Maumivu wakati wa kujisaidia

Pia uvimbe huanza kujitengeneza kwa kutoka ndani ya tundu la haja kubwa hasa pale wakati wa kujisaidia

Bawasiri ya Nje:

Hii ni Bawasiri ambayo hujitokeza sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa. Hutokea nje baada ya bawasiri ya ndani kujiimarisha zaidi,

Wapo watu ambao huathirika nje moja kwa moja na hutegemea ni chanzo gani ambacho kimepelekea kuathirika na tatizo hilo.

Huambatana na Miwasho ya mara kwa mara, Maumivu katika sehemu ya nje ya tundu la haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia na baada ya kujisaidia

II.CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI.

Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu hupelekea kutokupata choo vizuri(Haja kubwa)

Mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula unasababisha chakula kisimeng'enywe vizuri kwenye utumbo mdogo na hivyo kupelekea chakula kupiliza kwenda moja kwa moja k**a kilivyo kwenda kwenye utumbo mkubwa ambapo maji maji kutoka kwenye chakula hufyonzwa na kuacha chakula kikiwa kikavu.Inapofikia wakati wa kupata choo; choo kinakua kikavu hivyo unatumia nguvu nyingi kukisukuma choo kitoke.

Hali hii hupelekea misuli ya haja kubwa kutanuka na kupelekea kukwanguliwa na choo kigumu na hivyo kinyama kuanza kujitengeneza, Hivyo husababisha kuanza kusikia maumivu na miwasho kwa ndani, na mara nyingine kupata choo chenye damu.

Hivyo basi kadri unavyoendelea kupata choo kigumu misuli ya tundu la haja kubwa huendelea kuathirika zaidi k mpaka kinatokeza.

Mtu mwenye afya nzuri anapata choo kulingana na milo aliopata kwa siku. K**a unauwezo wakupata milo mitatu kwa siku, unasitahili kupata choo mara tatu kwa siku, tena choo chako kitoke na urefu sawa wa ndizi mbivu, bila kujikatakata k**a kile cha mbuzi.

Bawasiri pia huweza kusababishwa na:

-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile,

- Ujauzito

- kuhara kwa mda mrefu

-Kutopata choo kwa mda mrefu

III. DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI

- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa. Huu muasho unakuja kwa kujirudia mara kwa mara baada ya muda furani.

- Kukatishwa kwa haja kubwa na kurudi ndani wakati wa kujisaidia. Kitendo hiki huongeza msuguano katika mishipa ya ndani ya tundu la haja kubwa.

- Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. Uvimbe huu unaanza kuota k**a upele na huambatana na miwasho na maumivu makali.

- Kujitokezea kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa. Kinyama hiki kinaanzia ndani ya tundu la haja kubwa na kutokea nje ya Tundu la haja kubwa. Hatua hii huashiria tatizo limesha kuwa kubwa na una hili tatizo la bawasili kwa muda mrefu, na linaweza kusababisha vifo vya gafla kwa sababu mishipa inayosafirisha damu ndio inakwanguliwa na mwishowe kuathirika.

Chukua tahadhari mapema kabla hujaathirika sana au upoteze maisha; kwasababu hiki ni chanzo cha kupatwa na magonjwa mengine mengi ya kiafya.

- Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana

- Kupumua na kushindwa kuzuia kinyesi wakati ukipumua(kujamba na kutoa haja kubwa)

IV. MADHARA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Upungufu wa damu mwilini

Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa.

Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa k**a kidonda

Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote. Yaani Mwanamke na Mwanaume.

Kuathirika kisaikolojia na hupelekea kuptojiamini katika hadhara ya watu hasa pale miwasho inapoanza.

Kuvuja damu, maumivu ya mda mrefu na hupelekea kushindwa kukaa.

Maumivu ya mgongo ya mara kwa mara na kiuno.

V. JINSI YA KUDHIBITI TATIZO HILI LA BAWASIRI (HEMORHOIDS ) KABLA HALIJAKUPATA

Jitahidi kupata mlo kamili kila siku. Tutumia matunda na mboga za majani kwa wingi (kila mlo).Kunywa maji ya kutosha. Angalau lita 3 kwa siku.Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu

Jiepushe na vilevi

Usiwe mpenzi wavitu vya viwandaniJenga utaratibu wa kusafisha mwili wako kwakutumia Cleansing Program, ili utoe taka mwili zote, na uondoe sumu mwilini; k**a vile unavyooga zaidi ya mara mbili kwa siku. (Wasiliana na si kwauhitaji wa program ya kusafisha mwili, kuondoa sumu na kupunguza mafuta mwilini)

VI. NJIA ZAKUONDOA TATIZO HILI

a. Tiba yake hospitalini Ugonjwa huu tiba yake ni opereation (kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa ili usiendelee kukua na kusababisha magonjwa mengine.

Tiba hii huwa na Changamoto ya kujirudia tena kwa hilo tatizo baada ya mda fulani hasa pale mgonjwa akosapo kinga tosha mwilini.

Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa na kutokwa damu kwa mda mrefu hasa wakati wa kujisaidia na mara baada ya kujisaidia,

Tiba hii huondoa uvimbe pekee na haiboreshi mfumo wa chakula kuanzia ndani ambako ndo hasa chanzo cha Tatizo hili na kupelekea

baadae tatizo hili kujirudia tena.

SULUHISHO LA UGONJWA HUU NA LA KUDUMU.

Tiba nzuri ni kutumia lishe na virutubisho (mwili utajitengenezea kinga bora tena yakudumu)

Tiba nzuri ni kuanda utaratibu wa kusafisha mfumo wako mzima wa mumeng’enyo wa chakula (Digestive System) kwa kuulisha mwili Virutubisho muhimu.

Chanzo cha magonjwa yote tunayoyapata Hasa huu wa BAWASIRI hutokana na mfumo mbovu wa mumeng’enyo wa chakula,

mzunguko wa damu (Poor Blood Circulation) na Mwili kuwa na sumu nyingi. Kila siku tunaoga zaidi ya mara mbili au mara tatu kwa siku nje ya mwili wetu, Vivyo hivyo tunapaswa kuanda utaratibu wakusafisha mili yetu ndani ya miili yetu na kuhakikisha sehemu kuu tatu za mili yetu zinafanya kazi vizuri.

Hivyo ipo Programu maalumu ambayo husaudia katika kuboresha afya kuanzia ndani na kuondoa changamoto hii ya Bawasiri ya ndani.

Programu hii husaidia katika kuondoa vimbe za ndani na kuboresha upataji wa choo laini,

Husaidia kuondoa upataji choo ngumu na uvimbe kwa upande wa ndani.

Lakini pia program hiyo ina tube maalumu za kupaka ambazo husaidia katika Kuondoa vimbe za nje ya tundu la haja kubwa.

Pia husaidia katika kuondokana na maumivu, miwasho na kulainisha na kuondoa uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa.

VII. Umuhimu wa programu hii katika kuboresha na kuimarisha afya yako.

1. Digestive System (Mfumo mzima wa mumeng’enyo wa chakula)

2. Blood Circulation (Mfumo mzima wa mzunguko wa damu)

3: Kuboresha kinga ya mwili na kuongeza virutubisho muhimu mwilini.

Programu hii hujumuisha Virutubisho vyenye Carbohydrates & Proteins, Vitamins & Mineral, Essential Fatty Acids, Trace Elements. Miili yetu huhitaji kuvipata ili uzidi kutengenza kinga ya mwili kwajili ya kuondokana na Ugonjwa huu.

Programu hii

imeandaliwa kitaalamu zaidi na hazina kemikali yenye madhara kwa mtumiaji

BAWASIRI NI UGONJWA HATARI K**A HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA.

Wasiliana nasi:

0621425885

Au gusa link kujiunga kwenye group ya mafunzo.
https://chat.whatsapp.com/KBe1Du5aXzm6Sr3f14jJZ5

03/08/2023

‼️ Wewe au Mke Wako Anapata Changamoto ya Maumivu makali wakati wa Tendo AU anakosa Matamanio ya Kushiriki Tendo la Ndoa ?? ‼️

Soma hapa...

Kuna Changamoto inaitwa Vaginismus
Ni moja ya Changamoto ambayo inawapata wanawake wengi sana.

Ni changamoto ambayo hupelekea mwanamke kushindwa kufanya tendo la ndoa vizuri au kuwa na uoga kabisa wa kufanya hilo tendo and sometimes anakuwa anahisi k**a ana bakwa vile kutokana na Maumivu makali anayopata.

Ni mara chache wanaopata hili tatizo chanzo chao huwa ni mvurugiko wa homoni...

Ila wengi wao ni changamoto inayosababishwa na sababu za kisaikolojia...

So mtu mwenye changamoto hii hakuna tiba za hospital za moja kwa moja ambazo anaweza kuzitumia ili kuondokana na hili tatizo..

Ila anaweza kuondoa kwa njia hizi tatu:

1. Mazoezi
(Special Pelvic floor Exercises)
Ni mazoezi mazuri sana, kwasababu yanamsaidia kuifanya misuli ya nyonga i relax
(Tazama kwenye Video Clip hapo chini)

2. Counseling / S*x Therapy au Mazungumzo baina ya Wapenzi.
Ni wanawake wachache sana wenye tatizo hili ambao huwa wapo tayari kuwaeleza ukweli Wanaume zao k**a wana tatizo hili.
Hivyo, Mwanaume ni vyema kuzungumza vizuri na Mwenza wako kuhusu hili tatizo kabla ya kuanza tendo ili kumfanya ajisikie huru na aweze kuondoa ile hofu aliyonayo.
Mara nyingi hofu hii husababishwa na historia / matukio fulani aliyonayo katika kichwa chake.
Yanaweza kuwa ni matukio ya maumivu makali aliyopitia au anayopitia kila anaposhiriki tendo la ndoa.
▪︎Maandalizi, K**a Mwanaume ni vyema ukafahamu sehemu zinazompa Misisimko mwenza wako,
Zifanyie kazi nzuri sehemu hizo ili uweze kuamsha misisimko yake vizuri ndipo uanze kushiriki nae...
Hata Jogoo huikimbiza Kuku Jike mpaka ichoke ndipo anafanya tukio lake..
Na wewe Fanya kazi yako vyema.

3. Matumizi ya Tibalishe na Virutubisho
Vyanzo vya tatizo hili vinaweza kuwa ni Mvurugiko wa homoni, Magonjwa ya Mfumo wa mkojo (U.T.I), Magonjwa ya Zinaa, Ukavu Ukeni nk
▪︎ Matumizi ya Virutubisho
Yanasaidia katika kuweka sawa homoni, Kuimarisha Kinga na Kuongeza kiwango cha ute ute laini ukeni.
Tumia Virutubisho hivi angalau Siku 90 Mfululizo
Changamoto hii itabaki kuwa Historia kwako.
▪︎Nimekuandalia Mpangilio Mzuri wa Programu hii ya Virutubisho ambayo utaitumia kwa kipindi hicho chote cha siku 90.
Programu hii imeambatana na Mwongozo wa Mazoezi na Mwongozo wa Vyakula muhimu ambavyo utaendelea kuvitumia kwa baadae utakapomaliza Kutumia Virutubisho.

👇 Hapa chini haya ni baadhi ya Mazoezi ambayo yatafanywa kila siku...
Angalau Mara mbili au Mara moja kwa siku.

Ni Mazoezi ya Dk 13 Tuu.
Tafadhali Fuatisha Mwongozo wa Muda, k**a unavyoonekana katika Video Clip hii 👇

Kwa Ufafanuzi zaidi,
Nipigie kwa namba:
+255621425885

Address

Posta Mpya
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Fit Pro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram