12/09/2022
*UGONJWA WA MIFUPA* *(OSTEOPOROSS)*
Ni ugonjwa unaosababishwa na uchakavu wa mifupa,kitu kinachosababisha uchakavu wa mifupa ni ukosefu wa lishe bora mwilini,mtu mwenye mifupa miembamba mifupa yake inaweza kuvunjika na kupata nyufa kwa uraisi K**a haijalishwa vizuri,hali hii inatokea Sana katika nyonga,Mgongo na mikono.
*WATU WANAOPATA UGONJWA HUU*:
1) Wanawake waliofikia kukoma hedhi - Hii hutokana na wakati wanawake wakiwa kwenye siku zao kuna homoni inayotolewa ambayo inaitwa ESTROGEN ambayo inatengeneza madini ya Calcium ili kusaidia mifupa kuwa imara.
2) Wadada wenye maumbo madogo (Wanaokeep figure)wanaofanya mazoezi -Hali hii husababishwa na kutokupata vyakula vyenye madini ya Calcium
3) Wavutaji wa Sigara na wanywaji wa pombe -Hawapati madini ya Calcium kutokana na unywaji na uvutaji hawana muda wa kula vizuri.
4) Watu wenye uzito mkubwa
*DALILI ZA* *UGONJWA WA MIFUPA*
1)Maumivu ya Mgongo makali au ya kawaida
2) Miguu kuwaka Moto
3) Visigino kuchomachoma
4) Kuumwa na Magoti
5) Miguu kupata ganzi
6) Mikono na vidole kufa ganzi au kukakamaa wakati wa usiku
7) Mishipa kuuma na kutokeza juu ya ngozi
8) Kuumwa na magoti mpaka kushinda kuchuchumaa au kushuka ngazi
9) Matatizo ya meno kutoboka na kucha kukatika.
10) Mwili kulegea na kukosa nguvu
11) Kupata kiharusi (Strock). Wagonjwa wengi wanaopata strock wanamatatizo ya mifupa na moyo.
*N.B* Mifupa ni bank ya madini, mwili unahifadhi madini kwenye mifupa, unapotoka madini ya calcium yanapoisha upelekea kudhoofika kwa afya yako.
*BONE* *HYPERPLASIAN*- ni ugonjwa wa mifupa ambapo mifupa inakuwa miepesi sababu ya kukosa madini ya Calcium mwilini.
Mwili wa binadam unahtaji Milligram 1000 -2000 za maziwa kwa siku ambayo ni sawa na grass 3 - 4 ili kuongeza calcium mwilini
Ikiwa unachangamoto hii usisite kuwasiliana nasi kwa
WhatsApp/text/call
👇
+255652462523