20/11/2023
🚨DON’T SCROLL…READ⬇️⬇️🚨
SABABU 6 KWANINI HUPUNGUI UZITO JAPOKUA UNAFANYA SANA MAZOEZI
Siku zote unapopungua uzito mwili nao hupambana kuurudisha katika hali yake ya awali. Kwahiyo unaweza kupungua uzito haraka siku za mwanzo lakini mbeleni kadri unavyoendelea utaanza kupata shida kupungua, utakua unapungua kidogo sana.
Sasa fuatilia kwa makini ni sababu zipi zinaweza kukufanva usipungue uzito k**a unavyotarajia au usipungue kabisa.
1. Hauzingatii na Hujizuii Katika Ulaji Wako
Kutambua nini ule na nini usile ni kitu cha msingi sana kukizingatia unapokua na nia ya kupunguza uzito.
2. Hauli Vyakula Vyenye Protein ya Kutosha
Protein ni moja ya vyakula muhimu sana kwa wat wanaotaka kupungua uzito.
3. Haufanyi Mazoezi ya Kunyanyua Vitu Vizito
Moja ya vitu vya msingi ambavyo hutakiwi kukosa ukiwa unataka kupungua uzito ni kufanya mazoezi kinzani, k**a kunyanyua vitu vizito. Hii itakusaidia baada ya kupungua uzito
usiwe na nyama uzembe.
4. Bado Unatumia Wanga Mwingi
K**a una uzito mkubwa sana na pia una magonjwa k**a kisukari, basi ni muhimu kupunguza wanga katika mlo wako.
5. Hupati Usingizi wa kutosha
Usingizi ni muhimu sana kwa afya mwili lakini pia katika punguza uzito.
6. Unafikiria Zaidi Mchakato wa Kupungua Kuliko Kupungua Uzito Kwenyewe
Kuna msemo unasema "anza na mwisho na sio mwanzo", kwamba sikuzote peleka mawazo yako katika matokeo ya mwisho ya kitu ukifanyacho, acha kuwaza namna gani utapata matokeo.
Nyongeza:
7. Haujafanya Body Cleansing (Kusafisha Mwili) Kabla ya kuanza kupunguza uzito
Miili yetu inaingiza sumu na takataka nyingi sana mwilini kuputia njia mbalimbali, mfano ni kupitia vyakula tunavyokula, maji, hewa na kadhalika. Kwa wastani binadamu huingiza takribani lita mbili za sumu mwilini kwa mwaka. Hizi sumu na takataka sio Salama kabisa kwa afya zetu. Lakini pia huchangia kwa kiasi kikubwa sana kuongezeka uzito.
Kwasababu Mwili ukiwa mchafu hupelekea mafuta kuzalishwa kwa wingi mwilini uli kutoa ulinzi kwa Mwili dhidi ya sumu hizo. Na hivyo kujikuta umeongezeka uzito. Na pia sumu hizi hupelekea mwili kuwa na tabia ya kupenda au kuvutiwa na vyakula au vinywaji vyenye sumu nyingi k**a vile soda, keki, chips n.k vyakula na Vinywaji ambavyo vinaongeza uzito kwa kasi sana.
Hivyo basi ni muhimu kufanya Body Cleansing kabla ya kuanza Safari yako ya kudhibiti uzito.
MUHIMU
Unafanya sana
Natambua umejifunza mengi kupitia elimu hii
Lakini najua unawaza namna gani unaweza kuandaa mpangilio wa ulaji na mazoezi ambao utakua rafiki kwako kuandaa na kufuata bila kuathiri ratiba zako zingine. Hi ni changamoto kwa wengi sana, na imepelekea wengine kukata tamaa kabisa ya kupungua kutokana na kua na majukumu mengine mengi ya kifamilia na kitaifa, na hivyo kuona k**a ni watu ambao watabaki kua na uzito wao huohuo, ingawa hawafurahii.
Sasa, nina habari njema kwako, kwasababu hi changamoto itaendea kutatulika. Kuna mango mzuri wa ulaji pamoja na mazoezi ambao umeandaliwa. Ulaji (diet plan) imeandaliwa kwa kuzingatia uwiano sahihi wa protein, wanga na mafuta na pia madini na vitamins za kutosha. Diet hii ipo katika mfumo tofauti tofauti, kuna virutubisho, kuna juice na baadhi ya vitu muhimu kukusaidia upungue uzito bila kuathiri ratiba yako lakini muhimu zaidi pasipo kuathiri afya yako. Na pia diet hii itakusaidia kufanya cleansing ya mwili wako. Nitakusaidia mwanzo hadi mwisho wa program.
Kupata ☎️: 0693270602.