29/07/2023
💊𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈 ,(𝐇𝐎𝐑𝐌𝐎𝐍𝐄 𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐀𝐍𝐂𝐄 🩺💊).
🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%
𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
⏺️Uwepo wa sumu mwilini
⏺️Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
⏺️Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
⏺️Uzito mkubwa.
⏺️Mabadiliko ya mazingira
⏺️Msongo wa mawazo
⏺️Upungufu wa lishe mwilini.
⏺️Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
⏺️Utoaji wa mimba
⏺️Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)
𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐈𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐇𝐎𝐌𝐎𝐍𝐈
▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
▶️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
▶️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
▶️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
Call/Whatsapp 0713537181