Dr_nyaka

Dr_nyaka Karibu kwa huduma bora za afya ya uzazi na afya ya watoto. Tunakupa elimu, ushauri, na tiba sahihi kwa changamoto zote za uzazi na matatizo ya watoto.

Wasiliana nasi leo kupitia
+255 767 291 292 ili kupata msaada wa kitaalamu. Afya bora ni haki yako!

24/10/2025

Popote ulipo huduma yangu inakufikia

24/10/2025

Kokote ulipo, huduma yangu ya dawa inakufikia

11/11/2024

Watch, follow, and discover more trending content.

19/03/2024
Shambulio la Gout mara nyingi hutokea baada ya kula nyama nyingi, vyakula vya baharini, Bia au kwa watu wanene sana. Vit...
31/10/2023

Shambulio la Gout mara nyingi hutokea baada ya kula nyama nyingi, vyakula vya baharini, Bia au kwa watu wanene sana. Vitamin C, kahawa zimeonekana kupunguza mashambulio kutokea. Kuna dawa za kutibu shambulio la Gout na kuzuia mashambulio mengine

Tindikali ya uric hutokea baada ya mwili kuvunjavunja kampaundi aina ya "purines". Kwa baadhi ya watu uwezo wao wa kuondoa tindikali hii ni mdogo hivyo hurundikana na kushambulia maungio.

Iwapo mtu anapata shambulio la Gout mara kwa mara, njia muhimu ni kuepuka vyakula vyenye PURINES nyingi:

-Kuepuka kula ogani za wanyama k**a Maini, Figo,

ubongo

-Kuepuka nyama za mbuzi, kondoo, kitimoto -Asinywe bia hasa zenye rangi iliyokolea

-Kuepuka vyakula vyenye hamira

Contact with us 0767291292
Ilala boma
Dar es salaam

25/10/2023

Je unajua kwamba seli za ubongo hufa zikikosa oksijeni na virutubisho

22/09/2023

Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva k**a vile kujongea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri.
Neno utindio wa ubongo linatumika kuwakilisha matatizo yote ya mfumo wa neva yanayotokea utotoni na yanayothiri mjongeo na misuli ya mtoto. Hali ya mtoto mwenye tatizo hili haibadiliki. Japo mtindio wa ubongo huathiri zaidi misuli, hausababishwi na matatizo kwenye misuli au neva. Mtindio wa ubongo husababishwa na matatizo kwenye maeneo ya ubongo yanayodhibiti mjongeo.
Kuna aina mbalimbali za tatizo hili, aina hizi ni pamoja na mtindio wa ubongo unaosababisha kukaza kwa misuli, mtindio wa ubongo unaosababisha kulegea kwa misuli, n.k

Address


Opening Hours

Monday 08:20 - 18:00
Tuesday 08:20 - 18:00
Wednesday 08:20 - 18:00
Thursday 08:20 - 18:00
Friday 08:20 - 18:00
Sunday 10:20 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr_nyaka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Dr_nyaka:

  • Want your practice to be the top-listed Clinic?

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram