Chukua yasafishe vizuri toa uchafu wote ndani kisha yatie kwenye sifuria pamoja na maji unachemsha yachemke vizuri sana
1)Baada ya kuchemka vizuri yale maji yake kunywa yanatibu pumu vizuri tu.
2) KIGUGUMIZI
Baada ya kuchemsha vizuri yale majungu ya konokono yachukue yakaushe vzr sana badae yatie kwenye chungu kile cha udongo.
Usiweke maji kwenye chungu ila weka jikoni ili yaungue yatabadilika rangi baada ya kuungua yataanza kupuputika yenyewe badae chukua kinu twanga ili upate unga laini.
Kwa mtoto mdogo ambae ana pumu na kigugumizi pia mpe nusu kijiko kimoja alambe kwa siku ×1 anapona.
Au
Chukua lile jumba uwe unatumia kunywe maji .
Pia kwa wale watoto wenye ukuaji hafifu mtoto mwenye miaka 7 lakini yuko k**a wa miaka 3 fanya ivi: Chukua unga huo changanya na sabuni yake ya kuogea itamsaidia kurudi kwenye ukuaji wa haraka lakini pia ukiwa unaendelea kumlambisha huo unga.
Kwa mtoto mwenye kifafa kuanzia miaka 5_13 mpe kijiko kimoja cha dawa atumie kila siku anapona kabisa.
Ukiwa na kidonda chochote ambacho hakiponi au umeungua chukua huu unga changanya na asali paka apo kwenye kidonda haraka sana kinapona.
Kwa wenye bawasili chukua huu unga paka na mafuta ya mnyonyo pale kwenye bawasiri.
Be the first to know and let us send you an email when AFYA BORA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.