Doctor Kumbakumba

Doctor Kumbakumba Mtabibu

https://youtu.be/nfCKObByl4w
03/01/2023

https://youtu.be/nfCKObByl4w

SIRI ya JANDO: TOHARA ya PORINI na HOSPITALI, WANAAMBIWA NINI? NGARIBA AFUNGUKA | KATIKATI ya KOKO KWENYE KATIKATI ya KOKO na Mama JJ amezungumza na Ngaliba ...

FAIDA 5 ZA MABOGA NA MBEGU ZAKE.Maboga licha ya kuonekana ni chakula duni katika jamii nyingi za kiafrica lakini ukweli ...
08/04/2022

FAIDA 5 ZA MABOGA NA MBEGU ZAKE.

Maboga licha ya kuonekana ni chakula duni katika jamii nyingi za kiafrica lakini ukweli maboga ni chakula tiba kwa maradhi mengi.

1 TIBA YA FAGASI KWA WANAWAKE.

Mwanamke anae sumbuliwa na fangasi sehemu za siri kiasi cha kutokwa na uchafu mara kwa mara kula maboga kwa wingi utapona tatizo hilo.

2 MABOGA CHANZO KIKUBWA CHA NGUVU MWILINI.

Mtu ambae ni dhaifu mwili wake aidha kwasababu ya maradhi au chengine mwambie ale maboga. Lakini pia mbegu zake akiwa anazitafutana zitamsaidia zaidi kujenga mwili.

3 NGUVU ZA KIUME NA HAMU YA TENDO.

Kutafuna mbegu za maboga kwa mwanaume kunasaidia sana kuimarisha mfumo wa kiume. Lakini pia ukipata unga wa maboga na unga wa korosho pamoja na sabibu kavu ni nzuri sana kwa afya na nguvu za kiume.

4 MBEGU ZA MABOGA DAWA YA KISUKARI.

K**a una kiwango kikubwa cha sukari jitahidi uwe unatafuna mbegu za maboga kavu. Hii itakusaidia kwa uwezo wa Mola utapona kabisa sukari.

5 PRESHA SUGU ITIBU KWA MABOGA.

Mtu ambae anasumbuliwa na presha au saratani jitahidi kumpa unga wa mbeu za maboga uliochanganywa na habat saud In Shaa Allah afya yake itaimarika.

Kwa matibabu ya kimeo . ndimimbili .udata .bawasili.golo.chango.kipandauso.chembe.kichomi.degedege.ngili... Nipigie 0717990492 au 0684777133 utibiwe

kitovu cha mtoto kina siri nzito,tupa vizuri tafadhali!Ukiongelea kitovu, kuna watu wanaweza kushindwa kuelewa kwa sabab...
27/03/2022

kitovu cha mtoto kina siri nzito,tupa vizuri tafadhali!

Ukiongelea kitovu, kuna watu wanaweza kushindwa kuelewa kwa sababu hawajawahi kusikia, na walio wahi kusikia wapo walio dhuriwa.

Kitovu tunachokusudia ni kile kitovu cha mtoto mchanga, ambacho kimekuwa ni kitu muhimu katika maisha ya mwanadam. Pia kinaweza kikawa sababu ya maradhi ima kupoteza maisha ya Mtoto, au manufaa kwa Mama na mwanae.

*MARADHI YA DEGEDEGE*
Kitovu cha Mtoto kikitupwa vibaya ima jalalani au chooni, unaweza kumsababishia Mtoto kupatwa na kudhurika ima kufariki kwa tatizo la degedege, kwa sababu *JINNI AITWAE TAABIA, AU TAWAABIU KWA WINGI WAO* huweza kumdhuru iwapo atakutana na kitovu hicho na kupelekea kula na kunogewa na damu hiyo na kuanza kumfatilia Mtoto huyo na kumdhuru.

*KUFUKIA KITOVU*
unaweza kufukia kitovu matokeo ukamfunga kizazi Mama wa Mtoto, na unaweza kufukia ukamfunga kizazi Mtoto, ndipo watu wa zamani, wakati wa kufukia kitovu huusisha wazazi wa Mtoto na ndugu muhimu ili iwapo mtoto atadhurika waje kugeuza kitovu ima kufukua na kuhamisha. Pia hufukiwa jioni ili watu wenda usiku (Wachawi) wasiweze kukipata kwa sababu kitovu kinatumiwa sana uchawini kutengenezea unga wa ndele na uchawi uitwao Tayla.

*UMUHIMU WA HAKIKA*
Hakika ni muhimu kwa Mtoto ili kumuepusha na maradhi ya kichawi, pamoja na mashetani wasumbufu kwa wanadamu.
uislam una mafundisho ambayo tayari yamejitosheleza na hata ukristo pia ingawa mengi yameandikwa katika code language hivyo kutokufahamu na kupuuzia matokeo yake tunaangukia mikononi Mwa wabayai, Kitovu huwafanya watoto wa kiume wawe *makhanith* pindi kimwangukiapo katika dhakari yake.

Pia kitovu huweza kusababisha Mwanamke kusumbuliwa na chango la uzazi tokea uzazi wa kwanza na kupelekea kutoendelea na uzazi.

*TIBA YAKE IPOJE??*
kwa tiba na ushauri wasiliana nasi
0717990492

HUNA HAJA YA KUTOKULA...KWASABABU YA MADONDA TUMBOπŸ‘‰πŸ»Kwanini ukubaliane kutokula maharage wakati ni chanzo kizuri cha ami...
04/10/2021

HUNA HAJA YA KUTOKULA...KWASABABU YA MADONDA TUMBO
πŸ‘‰πŸ»Kwanini ukubaliane kutokula maharage wakati ni chanzo kizuri cha amino acid kisa una Madonda ya Tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ulie mbele ya wanao au rafiki zako kwa maumivi makali ya tumbo kisa una Madonda ya tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ushindwe kulala usiku kucha kwasababu ya maumivu makali ya Madonda ya Tumbo
πŸ‘‰πŸ» Kwanini ushindwe kushiriki shughuli za kijamii mtaani kwako kwasababu Madonda ya tumbo yanaamka na unaogopa kupata tabu mbele yao na kuwasumbua wenzio wakati unaweza kutibu kabisa
πŸ‘‰πŸ» Usichokijua ni sababu gani unaishia kuambiwa usile dagaa na hupati dawa ya kukutibu kabisa kwasababu ya wewe mwenyewe na dawa unayotumia.
Tumbo la kila mtu lina acid ya HCL ndo maana ni ngumu kupona ila nimeenda mbali zaidi na kukuandalia SULUHISHO la kipekee ambalo utapona kabisa maana likishaanza kuwa chronic utakuwa unakohoa damu na utapata kansa ambayo itakugharimu zaidi.
SULUHISHO NIPIGIE : 0717990492 au 0684777133

Presenter gabi mtanzania .Global redio & tv
21/08/2021

Presenter gabi mtanzania .Global redio & tv

Nikiwa na watangazaji mama jeje & zari mapito  global redio & tv
21/08/2021

Nikiwa na watangazaji mama jeje & zari mapito global redio & tv

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Doctor Kumbakumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Doctor Kumbakumba:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category