09/02/2023
BONUS:
* Epuka chakula chenye viungo/viambato zaidi ya vitano (food with over 5 ingredients). Hutakiwi kununua bidhaa za chakula zilizosindikwa sana (highly processed) na kemikali zilizoongezwa na vihifadhi (chemicals and preservatives).
kuna ubaya gani kwa vyakula vilivyosindikwa sana?
Vinajumuisha viwango visivyo vya kiafya vya ingredients zilizoongezwa, k**a vile sukari, mafuta, sodium, flavours n.k, ingredients hizi hufanya vyakula kuwa na ladha bora lakini too much of them hupelekea matatizo makubwa ya kiafya k**a Kisukari, magonjwa ya moyo, uzito mkubwa na shinikizo la juu la damu n.k
Kadiri ingredients nyingi katika chakula/kinywaji kilivyofungashwa (packaged food/drink) ndivyo kinavyochakatwa zaidi (highly processed).
No 4 above:
Punguza kula Wanga (carbohydrates) zilizochakatwa, zinajumuisha zaidi sukari na nafaka zilizochakatwa. Husababisha kuongezeka kwa kasi kwa sukari ya damu na viwango vya insulin ( hormone ).
Let me know if you have more questions!
Share to spread knowledge.