afya_na_uzazi_official

afya_na_uzazi_official PATA SURUHISHO LA MATATZO YA KIAFYA NA UZAZI

Permanently closed.
Unabeba kabisa mimba, ikifikia umri fulan inatoka tu hujui kwann! Majbu ya maswal yako tunayo0768291171
12/11/2021

Unabeba kabisa mimba, ikifikia umri fulan inatoka tu hujui kwann!
Majbu ya maswal yako tunayo
0768291171

Njoo tuongee nipigie/ whatsap 0768291171
12/11/2021

Njoo tuongee nipigie/ whatsap 0768291171

➡️ TATIZO LA KUWASHWA KWENYE NGOZI PAMOJA NA SEHEMU ZA SIRIUgonjwa huu umekuwa ukiwasumbua watu wengi siku hizi,bila kuj...
30/10/2021

➡️ TATIZO LA KUWASHWA KWENYE NGOZI PAMOJA NA SEHEMU ZA SIRI

Ugonjwa huu umekuwa ukiwasumbua watu wengi siku hizi,bila kujali umri au jinsia.

ZIPO SABABU MBALI MBALI KITAALAM AMBAZO HUCHANGIA HALI HII IKIWEMO; 

-Swala la allergy ambayo hutokana na vitu mbali mbali k**a Maji(ya kisima,mvua n.k), baadhi ya mafuta ya kula,vyakula k**a aina ya flani ya nyama mfano ya mbuzi,ng'ombe,kuku n.k. KUNA WATU WANA ALLERGY KUTOKANA NA VITU HIVI.

-Swala lingine ni Magonjwa k**a FANGASI YA NGOZI, AU DAMU.ambayo hii matokeo yake huonekana moja kwa moja kwenyengozi na hali ya miwasho isiyoisha hujitokeza.

K**A UNAPATA MUWASHO WA NGOZI AU SEHEM ZA SIRI PIA,TUWASILIANE WHATSAPP/PIGA 0768291171 UPATE MSAADA.

UGONJWA WA PRESHA YA MACHOUGONJWA WA PRESHA YA MACHO(GLAUCOMA),DALILI ZAKE NA TIBA YAKEUgonjwa huu wa presha ya macho am...
30/10/2021

UGONJWA WA PRESHA YA MACHO

UGONJWA WA PRESHA YA MACHO(GLAUCOMA),DALILI ZAKE NA TIBA YAKE

Ugonjwa huu wa presha ya macho ambapo kwa kitaalam hujulikana k**a GLAUCOMA, ni ugonjwa unaohusika na kupandisha presha ya Macho kuwa kubwa zaidi ya kiwango cha kawaida ambacho ni 10mmhg hadi 21mmhg. Ikitokea hivi tunasema una presha ya Macho.

VISABABISHI VYA UGONJWA HUU WA PRESHA YA MACHO AU GLAUCOMA

- Presha ya macho hutokea pale ambapo maji katika jicho yanayojulikana k**a Aquous homour yakizidi kiwango chake cha kawaida

Zipo sababu ambazo huchangia Mtu kupata presha ya macho,ambazo ni pamoja na;

Urithi wa vinasaba vya tatizo hili katika ukoo flani. Kuwepo kwa mtu mwenye tatizo la Presha ya macho katika ukoo flani,huwaweka wanaukoo huo kuwa katika hatari ya kupata shida hyo kwa wale ambao hawana.

Kuwa na magonjwa mengine ya macho huweza kumsababisha mtu kuwa katika hatari yakupata presha ya macho pia

Kupata majeraha ya macho au kuumia macho kutokana na sababu mbali mbali k**a kuanguka,ajali n.k

Kuwa na umri mkubwa Mfano miaka 50 na kuendelea,huweza kuchangia mtu kupata presha ya macho

Kuwa na magonjwa mengine k**a kisukari

Matumizi ya baadhi ya dawa Mfano wa Predinisolone

N.K

ZIPI NI DALILI ZA PRESHA YA MACHO?

Mgonjwa  kutokuona vizuri shida ambayo mara nyingi huanza kwa jicho moja baadae macho yote mawili

Kupata shida ya macho kuona ukungu mbele

Macho kuanza kutoa machozi yenyewe huku kwa wengine ikiambatana na maumivu makali ya kichwa

Rangi ya macho kubadilika na kuwa njano kwenye weusi wa katikati ya jicho

Na kwa baadhi ya wagonjwa macho kuwa na rangi nyekundu kuzunguka jicho

MATIBABU YA PRESHA YA MACHO

Mpaka sasa hakuna tiba au dawa inayotibu kabsa Presha ya wacho, Dawa zote ni kwa ajili ya kuidhibiti k**a ilivyo presha zingine katika mwili wa Binadamu.

Hivo basi Mgonjwa atapewa dawa ya kudhibiti hali ya presha ndani ya jicho,na endapo hali itakuwa mbaya zaidi,atafanyiwa upasuaji unaohusisha kutoboa kitundu kidogo ndani ya jicho kwa ajili ya kuruhusu maji (aquous homour) yanayozidi ndani ya jicho kupungua.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255768291171

TATIZO LA GAUTI,CHANZO CHAKE PAMOJA NA DALILI ZAKETatizo hili  la Gauti, ni tatizo ambalo huhusisha joint na viungo mbal...
30/10/2021

TATIZO LA GAUTI,CHANZO CHAKE PAMOJA NA DALILI ZAKE

Tatizo hili la Gauti, ni tatizo ambalo huhusisha joint na viungo mbali mbali vya mwili k**a viganja vya mikono na vidole vyake au miguu pamoja na vidole vyake.

CHANZO CHA UGONJWA WA GAUTI

• Ugonjwa huu wa gauti husababishwa na mlindikano na uwepo wa kemikali aina ya URIC ACID kwa kiwango kikubwa mwilini hasa katika joint za viungo mbali mbali k**a mikono na miguu

DALILI ZA UGONJWA WA GAUTI NI PAMOJA NA;

1. kuwepo kwa uvimbe au nundu katika maeneo ya joint za viungo mbali mbali k**a viganja vya mikono na vidole vyake au miguu pamoja na vidole vyake ambapo mara nyingi uvimbe huu huanzia kidole kikubwa cha mguuni.

2. Mgonjwa kupata maumivu makali sana kwenye maeneo yote yenye nundu au uvimbe huo.

3. Mara nyingine mgonjwa hupata dalili za homa au joto la mwili kupanda.

4. Kushindwa kutembea au kutembea kwa shida.

MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUJIKINGA NA UGONJWA WA GAUTI

✓ Acha kabsa au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe

✓ Epuka uvutaji wa Sigara,kwani nayo huweza kuchangia uwepo wa tatizo hili

✓ K**a una uzito mkubwa au Uzito kupita kiasi fanya mazoezi pamoja na njia nyingine za kupunguza uzito

✓ Kufanya mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako hasa kwa watu wanaofanya kazi za kukaa Mda mrefu

✓ Epuka kula nyama kupita kiasi,hasa nyama ya Mbuzi,Kondoo na hata ng'ombe pia

✓ Unywaji wa dawa hovio huweza kuleta madhara ikiwemo kusababisha tatizo hili la Gauti



Kwa Ushauri zaidi,Elimu au Tiba tuwasiliane kupitia namba +255768291171


PICHA; HUU NI MGUU WA MTU MWENYE GAUTI KALI

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255768291171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when afya_na_uzazi_official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to afya_na_uzazi_official:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram