23/11/2021
BAWASILI ni ugonjwa unaotokana nakuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine kutoka kinyama au uvimbe. CHANZO CHA TATIZO LA BAWASILI 1. Kupata choo kigumu. 2. Kukaa kitako muda mrefu. 3. Gesi kujaa tumboni. 4. Magonjwa ya moyo na figo. 5. Uzito kupita kiasi. 6. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile 7. Matumizi ya vyoo vya kukaa kwa muda mrefu. DALILI ZA BAWASILI. 1. Ngozi kuwasha katika eneo la tundu ya haja kubwa 2. Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia. 3. Kutoka na uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa. 4. Kujitokeza kinyama katika eneo la tundu la haja kubwa. 5. Choo kigumu k**a cha mbuzi. 6. Kutopata choo muda mrefu. 7 kutoka damu wakati wa kupata haja kubwa. MATATIZO YA KUKAA NA BAWASILI KWA MUDA MREFU. 1. Kupata upungufu wa damu. 2. Kupata tatizo la kutohimili choo. 3. Hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa. 4. Kuathirika kisaikolojia. 5 kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu makali.kwa ushauri na tiba 0693417293