08/12/2025
Je, mirija yako ya uzazi imeziba?
Au umewahi kuambiwa nafasi yako ya kushika mimba ni ndogo kwa sababu ya mirija kuziba?
Sikiliza… huu sio mwisho wa safari yako.
Kuna wanawake ambao walihangaika kwa muda mrefu, wakapitia maumivu ya kutamani mtoto bila mafanikio lakini walipoanza kujali afya ya uzazi, kurekebisha lishe, kufanya detox sahihi, na kutumia tiba asilia tulizopendekeza, walianza kuona mwanga mpya.
Leo, baadhi yao ni mama wenye furaha, wengine wako katika safari ya ujauzito, na wengine wameanza kuona mabadiliko katika mwili wao hatua kwa hatua.
Mimi siahidi miujiza, lakini naamini katika mwili wa mwanamke unapopewa tiba sahihi na usimamizi bora,unaweza kurejea katika asili yake ya kuumba kiumbe.
Na ushuhuda wao unatoa tumaini kuwa mabadiliko yanaweza kutokea.
SHIKA MIMBA KIRAHISI PROGRAM INAENDELEA NDANI YA MWEZI HUU WA 12…
Kupata maelekezo zaidi bonyeza link hapa chini👇👇
https://chat.whatsapp.com/LXiDgT0mFSGKEyijBqwW7w
Au piga simu no +255763205376