16/07/2025
*"TATIZO LA KUTOPATA CHOO NA TUMBO KUJAA GESI - ( Constipation )".*
• Hili ni Tatizo la kutopata Kwa Muda Mrefu au Kupata Mara Chache Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka.
• Hii ni Kwa Sababu Ya Choo hicho Kuwa Kwenye Muundo K**a tope Jeusi au Vipande Vipande K**a Cha Mbuzi na Kwa Kiwango Kikubwa Kinatawaliwa na Miungurumo isiyokwisha tumboni na Hewa Nyingi Wakati wa Kwenda haja ( *Kujamba Sana* ) Inayo ambatana na Harufu Kali Sana.
*"CHANZO CHA CONSTIPATION NI NINI ?"*
• Constipation inasababishwa na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula Kwenye utumbo mdogo ambao una urefu wa takribani mara 10 mpaka 13 ya urefu wa mtu husika , Kwenye Utumbo huo kuna Villars , hivi ni k**a vidole ambavyo muda Wote huwa vinachezacheza ili kumeng'enya chakula.
• Ila kutokana na sumu tunazoingiza mwilini kila siku kutoka kwenye vinywaji , Chakula , Dawa , Hewa tunzovuta Pamoja na Mafuta tunayokula kwenye vyakula huwa Viaenda kujipachika katikati ya Villars (vidole) na hivyo kusababisha vidole visimame (blocked) hivyo chakula Kinakuwa hakimeng'enywi na kusababisha chakula tunachokula kupitiliza moja kwa moja kwenye utumbo mkubwa K**a Kilivyo na hapo ndio tatizo linapoanzia.
*"MADHARA"*.
• Tatizo hili la Constipation hupelekea Watu kupata Magonjwa Mengi na Kusababisha Vifo Vingi Sana Kwa Watu Mbali Mbali Mbali na Wengine Bila Kufahamu Chanzo Cha Magonjwa Waliyonayo - Hata Baada ya Vipimo Vya Kimaabala .
• K**a Unapata Choo Mara Moja(1) Kwa SIKU Na Unakula Mara Tatu (3) Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Yafuatayo:
~Kansa ya Utumbo.
~Uzito uliozidi.
~Bawasir i(Vinyama sehemu ya haja kubwa).
~Maumivu ya Kiuno , Mgongo , Mabega , Kichwa , Misuli.
~Kukosa usingizi(Insomnia)
~Kukosa hamu ya kula (Loss of appetite).
~Tumbo kujaa gesi.
~Vidonda vya tumbo (Ulcers).
~Upungufu wa nguvu za kiume.
~Kushindwa kubeba mimba au kuzaa ( Ugumba ).
~Kupasuka kwa utumbo.
~Ileocecal valve incompetence.
~Kutoa harufu mbaya mdomoni na unapojamba.
~ Msongamano wa Hewa Kwenye Mapafu ( Kubanwa Mbavu na Kukosa Pumzi).
~ Maumivu ya tumbo Mara kwa Mara.
~ Muwasho Njia ya Haja Kubwa .
~ Maumivu ya Koromeo ( Kuhisi Kitu Kinapanda Kooni na Kushuka ).
~ Kiungulia .
~ Magonjwa ya Ngozi.Na Mengine Mengi Sana..
🕳 Usisite Kuwasiliana Nasi Kuhusu Tiba Kwa Njia za Kisasa Kabisa na Ushauri wa Masuala Mbali Mbali Ya Afya.
• Tupigie Sasa Kupitia Namba Zifuatazo - +255769600821 au +255655562181 Ili Kufanya oda Ya Dose Ya Tatizo hili na Utatumiwa Popote Ulipo.
• Ili Kujiunga na Group letu la whatssapp Fuata Link hii hapa 👉👉👉 https://chat.whatsapp.com/KqQ2iOVSj2XEYv1eZIXcIz
° Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini 👇👇
https://wa.me/255655562181