17/12/2023
The yards of Al Shifa hospital, north of Gaza was turned into a mass grave after burring the bodies of hundreds of civilians who were killed by the occupation forces in the northern of Gaza Strip.
Moja Ya Yard ya hospital Ya Al Shifa huko Gaza imekuwa ni sehemu ya makabuli na kuhifadhi Maelfu ya miili ya Raia walouliwa na Askari wa Kiyahudi [Israeli].
Hakika Allah ni mwingi wa kuona na kusikia.