Mwanapori

Mwanapori Tunatoa Tiba za Magonjwa Mbalimbali Kwa Kutumia Dawa za Mimea

Tunapatikana MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM.  Huwa tunatuma mikoa yote Tanzania ikiwemo na Zanzibar na unalipia baada ya ...
01/05/2024

Tunapatikana MAGOMENI MIKUMI DAR ES SALAAM. Huwa tunatuma mikoa yote Tanzania ikiwemo na Zanzibar na unalipia baada ya kupokea dawa yako.

Tupigie simu kwa Maelezo zaidi 0654 982 582 Au

WhatsApp link: wa.me/255654982582

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILIBawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na ku...
18/04/2024

BAWASIRI AU MGORO HUFUBAZA NA KUUCHOSHA MWILI

Bawasiri ni nyama zinazotokea eneo la haja kubwa, nyama hizi hutokana na kuvimba kwa mishipa midogo ya damu. Nyama hizi zaweza kuwa ndogo mithiri ya punje ya harage au zikawa kubwa zaidi.
Bawasiri husababishwa na; Kuharisha/kuhara kwa muda mrefu, Kutokufanya mazoezi mara kwa mara, Visababishi vya lishe (chakula kilicho na kiwango cha chini cha faiba), Kutokuwepo kwa vali katika vena ya hemoroidi, Vinasaba, Umri mkubwa, Kukaa kwa muda mrefu, Kikohozi cha muda mrefu, Unene/uzito wa mwili uliozidi, Ujauzito kwa wanawake.

Bawasiri imegawanyika katika aina mbili tofauti;
1. BAWASIRI YA NJE: Hii ni aina ya bawasiri ambayo hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu pamoja na muwasho katika sehemu husika. Aina hii ya bawasiri huwa na tabia ya mishipa ya damu katika eneo hilo kupasuka na kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoids.

2. BAWASIRI YA NDANI: Hii ni bawasiri ambayo hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huwa haiambatani na maumivu makali. Kutokuwepo kwa maumivu huwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili. Lakini pia aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
• Bawasiri kutotoka katika mahali pake( yaani inakuwa imesimama)
•.Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na huwa hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
• Bawasiri inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

Viashiria vinavyoweza kuonyesha uwepo wa Bawasiri ni; Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, Damu kutoka wakati wa kujisaidia, Kupata muwasho sehem ya haja kubwa, Uvimbe au Kinyama kuota sehem ya haja kubwa, Haja kubwa kujitokea yenyewe muda wowote, Choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu/nne. Maumivu makali ya kiuno na mgongo, Tumbo kujaa gesi mara kwa mara, Kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula, Kukosa usingizi pamoja na dalili zingine nyingi.

BAWASIRI ISIPOTIBIWA HUWA NA ATHARI ZIFUATAZO; Haja kubwa (kinyesi) kutoka bila kujitambua, Kukosa monkari/ha-mu ya kufanya tendo la ndoa, Kupungukiwa nguvu za kiu-me kwa wanaum, Kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu, Kupata tatizo la kisaikolojai, Mwili kudhoofika na kupauka (nuru ya uso hupotea), Uchovu wa mara kwa mara.

NSELU ni dawa ya mimea asilia, hutibu mgoro (bawasiri) kwa uharaka zaidi bila upasuaji. Dawa hii haina madhara hasi (-ve) kwa mtumiaji.

Kwa Msaada zaidi Piga: +255654 982 582

Au Wasialiana nami WhatsApp kwa kubonyeza link: wa.me/255654982582

Address

Tambaza Street
Dar Es Salaam
14101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanapori posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Mwanapori:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram