Hafford Hospital

Hafford Hospital Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hafford Hospital, Medical and health, Chang'ombe Maduka Mawili Changa Road, Dar es Salaam.

33 Bed Hospital
Services:
Obstetrics and Gynaecology
Paediatrics
General Surgery
Urology
Internal Medicine
Imaging Services
Clinical Laboratory
Dental and Orthodontics
Emergency Medical Services
Ambulance 24hrs
Pharmaceutical Services

"Today, on World Diabetes Day, let's unite to fight against diabetes!At Hafford Hospital, we're committed to providing q...
14/11/2025

"Today, on World Diabetes Day, let's unite to fight against diabetes!

At Hafford Hospital, we're committed to providing quality care and support to those affected by diabetes. Let's raise awareness, promote prevention, and support research for a healthier future.

*Know your risk, know your response!* Get tested, stay informed, and take control of your health.

"Happy 31st Anniversary, Hafford Hospital! 31 years of compassion, care, and commitment to our community. Thank you to o...
29/09/2025

"Happy 31st Anniversary, Hafford Hospital! 31 years of compassion, care, and commitment to our community. Thank you to our incredible staff, patients, and supporters. Here's to many more years of healing and hope! "

Menejimenti ya Hospitali ya Hafford inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi mwenzao Matilda Alphonce Mzolla aliyekuwa ki...
26/12/2024

Menejimenti ya Hospitali ya Hafford inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi mwenzao Matilda Alphonce Mzolla aliyekuwa kitengo cha fedha kilichotokea tarehe 24 Desemba 2024 baada ya kuugua kwa muda mfupi
Mazishi yanatarajiwa kufanyika tarehe 27 Desemba 2024 kwenye makaburi ya Kongowe – Temeke. Mwili wa Marehemu utaagwa Hospitali ya Temeke saa 3 asubuhi kabla ya kuelekea mazishini.

Jihadhari na ugonjwa wa MPox
25/08/2024

Jihadhari na ugonjwa wa MPox

Kwa wanufaika wa NHIF Namba ya NIDA inatosha kukuwezesha kupata za huduma matibabu. Huna haja ya kubeba vitambulisho vin...
27/06/2024

Kwa wanufaika wa NHIF Namba ya NIDA inatosha kukuwezesha kupata za huduma matibabu. Huna haja ya kubeba vitambulisho vingi...

Mery Christmas and a Happy and Blessed New Year 2024
24/12/2023

Mery Christmas and a Happy and Blessed New Year 2024

Heri ya Sikukuu ya Noeli na Baraka tele kwa Mwaka 2024.
24/12/2023

Heri ya Sikukuu ya Noeli na Baraka tele kwa Mwaka 2024.

Wanandoa Wanaotaka Kupata Watoto Wakatazwa Kula Samaki Wakubwa Wenye tabia ya kula samaki wadogoBy T L October 22, 2023N...
22/10/2023

Wanandoa Wanaotaka Kupata Watoto Wakatazwa Kula Samaki Wakubwa Wenye tabia ya kula samaki wadogo
By T L October 22, 2023
NA ANGELINE OCHIENG

ULAJI wa samaki wakubwa unaweza ukapunguza uwezo wa kupata watoto miongoni mwa wanaume na wanawake, wataalamu wameonya.

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Masuala ya Uzazi (IFFS) Oladapo Ashiru, samaki wakubwa wamegundulika kuwa na madini hatari yanayoweza kusababisha utasa na ugumba.

Mwaka 2017, utafiti wa Chuo cha Mafunzo ya Tiba cha Harvard ulibainisha kwamba samaki waliovuliwa kutoka maji makuu huwa na madini mazito ya Zebaki kwa sababu ya kuwala samaki wadogo.

Utafiti huo ulionya kwamba ulaji wa samaki wakubwa k**a papa, samaki wa upanga, na samaki wengine ambao kwa Kiingereza hufahamika k**a tilefish na King Mackerel, una athari mbaya kwa wanaotaka kupata watoto.

“Wanandoa wanaotaka kupata watoto wasile samaki wakubwa kwa sababu wana chembechembe za madini mazito na hatari kwa mfumo wa afya ya uzazi,” akasema Prof Ashiru.

Amesema ulaji wa samaki na viumbe wengine wa hatari bila ufahamu wa madini yaliyoko kwenye miili ya viumbe hao ni chanzo kipya cha baadhi ya watu kushindwa kupata watoto.

12/05/2023

Kiapo cha Wauguzi

Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Dunia
12/05/2023

Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Dunia

Idi Njema kwenu nyote
22/04/2023

Idi Njema kwenu nyote

Address

Chang'ombe Maduka Mawili Changa Road
Dar Es Salaam
15103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hafford Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to Hafford Hospital:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram