24/03/2026
*KEOPI GLOW*
Keopi Glow ni protini yenye uwezo wa kurejesha ngozi iliyoharibika kwa kuzalisha *seli mpya* itakayosaidia kurudisha ngozi ktk mng'ao wake wa asili.
*FAIDA ZAKE*
1. Inaondoa mikunjo usoni (fine lines & wrinkles) na kuifanya iwe nyororo (elasticity)
2. Inaweka unyevu ktk ngozi
3. Inaongeza mng'ao wa asili ktk ngozi.
4. Inakinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua ( UV radiation)
5. Inaimarisha afya ya nywele na kucha.
6. Inaondoa maumivu ya viungo ( joints pain)
7. Inaimarisha misuli ( physical fitness)
8. Inaimarisha afya ya mifupa ( bone density)
*NB* Ili kupata matokeo mazuri zaidi:-
- Punguza matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi
- Punguza unywaji wa pombe nyingi na uvutaji wa sigara
- Punguza ulaji wa mara kwa mara vyakula vilivyosindikwa ( processed food)
Piga . Upate ya kwako.