11/12/2025
⭐ Dalili Zinazoonyesha Mtoto Wako Anahitaji Vitamins
✔ Anakula kidogo / Hana appetite
✔ Anaumwa mara kwa mara (mafua, homa, kikohozi)
✔ Anakonda au uzito husimama
✔ Anachoka haraka / Hapendi kucheza
✔ Usingizi mbaya
✔ Ngozi na nywele kudhoofika
✔ Kuchelewa kukua kimwili au kiakili
Mtoto mwenye dalili hizi mara nyingi anahitaji vitamins & virutubisho vya ukuaji ili kuimarisha kinga na kuongeza appetite