drpiusbunga_vet

drpiusbunga_vet Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from drpiusbunga_vet, Doctor, Sinza, Dar es Salaam.

Kwa huduma ya tiba na chanjo za wanyama wote, kwa andiko na usimamizi wa miradi ya ufugaji, ushauri na kutembelea wafugaji wa wanyama wote, kuku, mbuzi, kondoo, mbwa, ng'ombe na nguruwe.

TVA Scientific Conference an Annual General Meeting 2024, it was nice moment
07/12/2024

TVA Scientific Conference an Annual General Meeting 2024, it was nice moment

Family ❤️
21/08/2024

Family ❤️

It was a nice moment 40th Veterinary Scientific Conference🙏🙏
03/01/2023

It was a nice moment 40th Veterinary Scientific Conference🙏🙏

Baba ninakushukuru kwa mema yote unayonijalia. Naomba Baraka zako katika mwaka huu 2023.
01/01/2023

Baba ninakushukuru kwa mema yote unayonijalia. Naomba Baraka zako katika mwaka huu 2023.

Kuku au yai, kipi kilianza? Nyama ya kuku au mayai ya kuku, unapenda nini zaidi?Toa maoni yako!!!   endelevu   afya bora...
05/02/2022

Kuku au yai, kipi kilianza?
Nyama ya kuku au mayai ya kuku, unapenda nini zaidi?

Toa maoni yako!!!


endelevu

afya bora
kwa Kila mtanzania

Kuku ni fursa ambayo inaweza kukupatia faida kubwa kwa gharama kidogo bila kuathiri ratiba zako. Unachotakiwa kufanya ni...
05/02/2022

Kuku ni fursa ambayo inaweza kukupatia faida kubwa kwa gharama kidogo bila kuathiri ratiba zako.

Unachotakiwa kufanya ni kuamua kuanza kufuga na kufuata ushauri wa kitaalam.
Haihitaji mtaji mkubwa ili kuanza kufanya biashara hii.
Piga simu namba 0765760629.

Anza na kidogo upate kukuza kipato chako, Anza kufuga kisasa kwa kutumia wataalam kukupatia ushauri.  Piga simu namba 07...
03/02/2022

Anza na kidogo upate kukuza kipato chako,
Anza kufuga kisasa kwa kutumia wataalam kukupatia ushauri.
Piga simu namba 0765760629

Je wamjua kuku aliyeishi miezi 18 bila kichwa?     kitaalam
18/10/2021

Je wamjua kuku aliyeishi miezi 18 bila kichwa?




kitaalam

Kuku chotara ni kuku ambao wamekuwa msaada Mkubwa sana kwa wafugaji nchini kwa kuwapatia nyama na mayai kwa pamoja mbali...
14/10/2021

Kuku chotara ni kuku ambao wamekuwa msaada Mkubwa sana kwa wafugaji nchini kwa kuwapatia nyama na mayai kwa pamoja mbali na faida nyingine k**a mbolea.

Zipo faida kabambe za kufuga kuku hawa ambao gharama zao za uendeshaji na rahisi sana na rafiki kwa mtanzania,

Kwa huduma ya ushauri kuhusu ufugaji wa kuku aina zote ;
Piga/whatsapp 0765 760 629

Ni marafiki na ni walinzi wa kila mmoja wetu,   to be veterinarian   to serve animals   for life
14/10/2021

Ni marafiki na ni walinzi wa kila mmoja wetu,
to be veterinarian
to serve animals
for life

Address

Sinza
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when drpiusbunga_vet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to drpiusbunga_vet:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category