Pendo AfyaCare

Pendo AfyaCare Kuboresha afya za binadamu kukinga na kutibu magonjwa yasiyoambukizwa 0764837826

01/05/2022

Karibu upate Tiba ya mifupa kusagana na maumivu ya viungo

+255764837826

DALILI ZA MIFUPA KUSAGANA
✓Maumivu ya viungo
✓ maumivu ya nyonga
✓maumivu ya magoti
✓ kushindwa kuchuchumaa
✓maumivu ya mgongo
✓ kushindwa kuchuchumaa
✓ kushindwa kuinama

CHANZO CHA MIFUPA KUSAGANA,
✓ Kulika Kwa gegedu katika maungio ya mifupa
✓ kuishiwa Ute Ute wa mifupa katika joint za mifupa
✓ Umri mkubwa kuanzia miaka 30 na kuendelea
✓ Uzito uliopindukia
✓ Ajali
✓ Historia ya familia

MADHARA YA MIFUPA KUSAGANA
✓ Kushindwa kutembea
✓ Kupishana Kwa pingili za mgongo
✓ Madonda kwenye mifupa
✓ Kansa ya mifupa

Kwa tiba na ushauri piga au WhatsApp +255764837826

24/04/2022

Karibu upate Tiba ya mifupa kusagana na maumivu ya viungo

+255764837826

DALILI ZA MIFUPA KUSAGANA
✓Maumivu ya viungo
✓ maumivu ya nyonga
✓maumivu ya magoti
✓ kushindwa kuchuchumaa
✓maumivu ya mgongo
✓ kushindwa kuchuchumaa
✓ kushindwa kuinama
CHANZO CHA MIFUPA KUSAGANA,
✓ Kulika Kwa gegedu katika maungio ya mifupa
✓ kuishiwa Ute Ute wa mifupa katika joint za mifupa
✓ Umri mkubwa kuanzia miaka 30 na kuendelea
✓ Uzito uliopindukia
✓ Ajali
✓ Historia ya familia

MADHARA YA MIFUPA KUSAGANA
✓ Kushindwa kutembea
✓ Kupishana Kwa pingili za mgongo
✓ Madonda kwenye mifupa
✓ Kansa ya mifupa

Kwa tiba na ushauri piga au WhatsApp +255764837826

24/04/2022

MATATIZO YA VIUNGO NA MIFUPA KUSAGANA

+255764837826

DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
1. MAGOTI
• Maumivu kwenye magoti
• Magoti kushindwa kujikunja
• Kushindwa kupanda ngazi Kwa urahisi
• Kusikia milio ya mifupa Kusagana kwenye magoti

2. MGONGO / UTI WA MGONGO
• Maumivu kwenye mgongo
• Kushindwa kuinama
• Kusikia ganzi kwenye mapaja au miguuni

3. BEGA
• Kushindwa kunyanyua mkono na kusikia maumivu makali kwenye bega

SABABU
✓ Uzito uliopindukia
✓ Historia ya familia
✓ Ajali
✓ Kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo, Wana mazoezi

MADHARA YA MIFUPA KUSAGANA
© Kifanyiwa upasuaji
© Kansa ya mifupa
© Vidonda kwenye maungio

Tunatibu changamoto ya viungo na mifupa Kusagana, Karibu Kwa ushauri na tiba +255764837826

24/04/2022

MAMBO MUHIMU KUFAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO

+255764837826

*☑️KWANZA* :Vidonda vya tumbo hutokea pale mfumo unaolinda kuta za tumbo unaposhindwa kazi hivyo asidi ya tumbo kuchoma kuta na kuleta kidonda/mchubuko.

*Mtu mwenye vidonda vya tumbo hupata shida k**a:*
1️⃣Maumivu makali ya tumbo yanayochoma mara nyingi eneo la chini ya chemba ya moyo
2️⃣Tumbo kujaa gesi.
3️⃣Kiungulia
4️⃣Uchovu huweza kutokea k**a kuna upungufu wa damu kutokana na vidonda
5️⃣Kinyesi cheusi humaanisha vidonda vinatoa damu

Vidonda huweza kutokea tumboni au kipande cha kwanza cha utumbo

✍️Kidonda kilicho tumboni husababisha maumivu makali mara tu mtu anapokula;

✍️Kidonda kikiwa kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo husababisha maumivu mtu anakuwa na njaa, maumivu huisha mtu akila.

Bakteria aina ya H. Pylori ndio chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo

🔵Bakteria huyu ana uwezo wa kuishi kwenye kuta za tumbo na kuharibu mfumo wa tumbo kujilinda na asidi hivyo asidi huchimba kuta za tumbo na kuleta kidonda
🔵Watu hupata maambukizi haya kupitia maji na vyakula
🔘Watu wengine hupata vidonda vya tumbo kutokana na matumizi ya dawa za maumivu kundi la aspirin, ibuprofen, naproxen nk dawa hizi zinaitwa NSAIDS.
🔴Dawa hizi huzuia tumbo kutengeneza UTE mzito ambao hutoa kinga kwenye kuta za tumbo dhidi ya asidi

*VIDONDA VISIPOTIBIWA VYEMA HUJA NA KULETA MADHARA MAKUBWA*

👉Kidonda kuvuja damu - mtu hupata choo rangi nyeusi, kutapika damu au kupungukiwa damu

👉Kidonda kutoboa tumbo

👉Kovu la kidonda kufunga tumbo/utumbo

👉Kuongezeka hatari ya saratani ya tumbo

*SIGARA* huchangia kuchochea vidonda vya tumbo kuchimbika zaidi

🔵Watu wanaovuta sigara zaidi ya 15 kwa siku huwa katika hatari ya vidonda vyao hutoboa tumbo kabisa

🔵Ni vigumu sana kutibu vidonda vya tumbo kwa mvuta sigara

*MTU MWENYE VIDONDA VYA TUMBO AKIANZA KUONA DALILI HIZI HUWA NI RED FLAG NI VYEMA AONANE NA DAKTARI WA MFUMO WA CHAKULA MAPEMA SANA*

1️⃣Choo cheusi
2️⃣Kushiba haraka
3️⃣Maumivu ya tumbo kuchoma mgongoni
4️⃣Kupoteza uzito bila sababu
5️⃣Kushindwa kumeza chakula
6️⃣Historia ya saratani ya tumbo katika familia

*VIPIMO*
☑️OGD ni kipimo muhimu sana kwenye vidonda vya tumbo; hii ni kamera ambayo Daktari huitumia huangalia njia ya chakula hadi kwenye utumbo

🔵Kupitia OGD utafahamu mahali kidonda kilipo, ukubwa wake ,idadi yake

🔵Pia OGD huweza kusaidia Daktari kuchukua kinyama kupima k**a sio saratani

🔵Pia OGD huweza kusaidia Daktari kuchukua kinyama kupima k**a sio saratani. .

*Tiba ya Vidonda ya tumbo* uhusisha dawa za kuua bakteria (H.pylori) na kushusha kiwango cha asidi ili vidonda vipone

🔘Kama matibabu yakienda kwa usahihi 90% ya wagonjwa hupona kabisa iwapo H.pylori wote wamekufa

☑️Baadhi ya watu vidonda vyao hujirudia ndani ya mwaka, huwa ni 5% hadi 30% ya wagonjwa

*Sababu kuu huwa ni*
👉Hpylori kutoisha
👉Matumizi ya dawa aina ya aspirin
👉Vidonda vyao vinasababishwa na sababu nyingine k**a asidi kuzidi tumboni, vivimbe vinavyozalisha asidi nyingi nk.

☑️Pia Kupunguza kitambi na uzito husaidia uponaji wa vidonda vya tumbo kwa baadhi ya watu

☑️Pia wagonjwa wa vidonda vya tumbo hufanikiwa kutibu iwapo wataacha pombe, kahawa , sigara
Uwezekano wa kupata vidonda vya tumbo huweza kurithishwa katika familia

🔵 20% ya watu wenye vidonda vya tumbo huwa na ndugu kwenye familia wenye vidonda pia

🔵Baadhi ya Tafiti zimeonyesha watu wenye kundi la damu O (group O) hupata vidonda vya tumbo kwa haraka.
____
Kwa tiba na ushauri nipigie tuzungumze
call 📞 +255764837826

24/04/2022

SHINIKIZO LA DAMU/PRESHA YA KUPANDA/KUSHUKA(PRESSURE).

📞+255764837826

SHAMBULIO LA MOYO, KUTANUKA KWA MOYO/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO.
DAWA YA ASILI YA MATIBABU YA PRESHA, MOYO KUTANUKA, SHAMBULIO LA MOYO.

PRESHA/SHINIKIZO LA DAMU.
Ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa inayo safirisha damu.

Unapo pima shinikizo la damu (presha) majibu yake hutoka na namba mbili:-
1. Namba iliyo juu (systolic)
Hii humaanisha nguvu ambayo moyo wako unasukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.

2. Namba iliyo chini (Diastolic)
Hii humaanisha nguvu ya damu yako inayotembea kwenye mishipa ya damu wakati moyo umepumzika baada ya kusuma damu katika kila pigo.

⏹️ VIWANGO VYA UPIMAJI PRESHA.

√ Chini ya 110/65mmHg Hypotension (Presha ya kushuka au shinikizo la damu la chini)

√ Chini ya 120/80mmHg Normal (Kawaida)

√ Kati ya 120-129/80mmHg Pre- hypertension (Hatari ya kupata presha ya juu

√ Kati ya 130-139/80-89mmHg 1st stage hypertension ( presha ya juu steji ya kwanza)
Ifikapo 130 na kuendelea basi presha yako iko juu ni vyema kuwa makini zaidi kwa Afya yako.

√ 140/90mmHg au zaidi 2nd stage hypertension (presha ya juu steji ya pili)

Kuanzia 180/120 na kuendelea , Hypertensive crisis ( shinikizo la damu la juu zaidi).

Huku visababishi vya presha vikibakiwa kuwa ulaji usiofaa, magonjwa ya moyo, uzito mkubwa/unene/kitambi, matumizi yasiyo sahihi ya dawa za presha, kurithi, uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kali.

⏹️ ISHARA NA DALILI ZA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

Mara nyingi watu wenye shinikizo la damu hawana ishara yeyote na huwa inagunduliwa baada ya kufanya uchunguzi wa kiafya au presha kubwa kwa muda mrefu inapokuwa imefanya uharibifu mkubwa ndani ya mwili ni pamoja na dalili zifuatazo:-

➡️ Maumivu ya kichwa hasa nyakati za asubuhi.
➡️ Kuhisi kizunguzungu
➡️ Mapigo ya moyo kwenda kwa kasi
➡️ Maumivu ya kifua
➡️ Kupoteza fahamu
➡️ Kupumua kwa shida
➡️ Kujisikia uchovu usiokwisha
➡️ kutoona vizuri
➡️ Kukohoa
➡️ Kuhisi ukelele sikioni n.k

⏹️ SABABU/CHANZO CHA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

➡️ Umri
➡️ Msongo wa mawazo (strees)
➡️ Kuwa na mazoea ya kutumia chumvi nyingi kenye chakula
➡️Ulaji usiofaaa
➡️ Ukosefu wa shughuli za kimwili
➡️ Ulevi uliokithiri
➡️ Kuwa na unene uliopitiliza
➡️ Ujauzito

⏹️MADHARA YA KUENDELEA KUISHI NA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA).

➡️ Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure)
➡️ Moyo kutanuka (Cardiomegaly)
➡️ Shambulio la moyo ( Heart attack)
➡️ Kiharusi/Kupooza (stroke)
➡️ Kuharibu figo na figo kushindwa kufanya kazi
➡️Kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

Pamoja na jitihada mbali mbali bado utasikia kila mwaka milioni 8 hufa kutokana na changamoto hii.
Huku watu bilioni moja duniani kote wanaathiriwa na shinikizo la juu la damu likiwapelekea kupata shambulio la moyo, kupooza na moyo kutanuka.
Na ni kwa mujibu wa WHO.

Muhimu, iko mimea tiba yenye kuweza kukusaidia na ukapona kabisa.
Dawa hii utapaswa kuitumia kwa muda wa siku 90 pekee na utafanikiwa kuidhibiti na kuondoa tatizo hili.

Kwa mawasiliano zaidii +255764837826

Address

Dar Es Salaam Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255785050333

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pendo AfyaCare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram