28/01/2022
Hii Ni kwa ajiri ya Watu ambao Magoti yao yanajaa maji au Kuvimba (knee effusion).
◾Magoti Kuvimba (Knee Effusion)
Ni Hali ya magoti kupata maumivu na kujaa maji kuzunguka kwenye kofia ya goti.Msuguano wa mifupa kwenye magoti husababisha tishu kukusanya maji kwenye goti na goti kuwa la Moto.
◾Dalili Za Kuvimba Kwa Magoti
1.kujaa maji
2.kushindwa kukunja goti
3.Maumivu makali na kuwaka Moto
4.Kushindwa kuchuchuma
5.Kukaza kwa Misuli inayozunguka goti.
◾Sababu Za Kuvimba kwa Magoti
1.Gout
2.Umri hususani kwa wazee
3.Magoti kutumika sana(over use) K**a mpirani ,mashindano ya mbio na mazoez ya viungo kupita kiasi
4.Rheumatoid arthritis
5.Ajali
6.Uzito mkubwa
◾Tahadhari nakushauri usije yavuta Yale maji kwa sindano madhara yake watu wengi katika research zilizofanywa wamekak**aa magoti na kutengeneza kilema .
◾Wasiliana nasi kwaajili ya kupata suluhisho la maumivu unayopitia.
☎️WhatsApp/ Call 0714932552