03/10/2025
UNA DALILI ZIPI KATIKA DALILI HIZI(GERD):⤵️⤵️
DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
⚫Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️
1.🔗 Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🔗 Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🔗 Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🔗 Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🔗 Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🔗 Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🔗 Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🔗 Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🔗 Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🔗 Kupata kikokozi kisichoisha
11.🔗 Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.🔗 Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🔗 Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🔗 Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🔗Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🔗 Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🔗 Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🔗 Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🔗 Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🔗 Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🔗 Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🔗Kichefuchefu na kutapika.
23.🔗 Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24.🔗 Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25.🔗 Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.🔗 Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27.🔗 Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.🔗 Presha kupanda (temporary hypertension)
29.🔗 Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani
30.🔗 Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi.
31.🔗 Kuhisi vitu vinatembea mwilini.
32.🔗 Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu.
KWA MSAADA NA USHAURI, WASILIANA NASI:⤵️⤵️
__________________________________
PANDEX HERBAL CLINIC
+255 656 198 441
pandexclinic@gmail.com
DAR ES SALAAM.
ILALA-PANGANI & UTETE STREET.
__________________________________