AFYA SOLUTION-Tiba na Ushauri

AFYA SOLUTION-Tiba na Ushauri Elimu ya Afya
Tina ya Magonjwa uzazi
Tiba ya Kisukari,presha,mgongo,stroke,cancer
0745517606

STROKE NI NINI? Stroke au kiharusi ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulan...
05/07/2024

STROKE NI NINI?

Stroke au kiharusi ni tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulani la ubongo husitishwa ghafla au kupungua sana hivyo kusababisha eneo hilo la ubongo kukosa damu na virutubishi muhimu na seli za eneo hilo kuanza kufa.
Hili linaweza kutokea pale mishipa ya damu ya kuelekea kwenye eneo hilo ikiziba au mishipa ndani ya ubongo katika eneo hilo kupasuka. Seli za ubongo za eneo hilo zikianza kufa kwa kukosa damu, shughuli zote zinazoendeshwa na eneo hilo la ubongo husimama kwa mfano kumbukumbu au misuli.

*Dalili kuu za ugonjwa huu ni:*

1. Kuchanganyikiwa, mtu akipata shida ya kuongea na kuelewa anachoambiwa

2.Maumivu ya kichwa yanakwenda pamoja na kupoteza fahamu kwa vipindi na kutapika

3.Ganzi katika viungo vya uso, mkono na mguu na hasa vikiwa vya upande mmoja wa mwili

4.Kupata shida ya kuona kwa jicho moja au yote

5.Kupata shida ya kutembea vikichanganyika na kizunguzungu na kukosa mpangilio wa matendo ya mwili.

6.Msongo wa mawazo

7.Maumivu kwenye mikono na miguu yanayoongozeka baada ya viungo hivyo kufanya kazi au kutokea mabadiliko ya hali ya hewa.

8.Kupooza au udhaifu wa upande mmoja wa mwili

9.Kupata shida katika kufanya matendo ya kuonyesha hisia za mwili

10.Kushindwa kumudu matumizi ya kibofu cha mkojo au viungo vya njia ya haja kubwa. +255745517606

➡️Upofu➡️Maradhi ya figo➡️Maradhi ya moyo➡️Vidonda kutopona upesi na hatari ya kukatwa mguu➡️Kufa ganzi na kupoteza hisi...
05/07/2024

➡️Upofu
➡️Maradhi ya figo
➡️Maradhi ya moyo
➡️Vidonda kutopona upesi na hatari ya kukatwa mguu
➡️Kufa ganzi na kupoteza hisia za mikono na miguu
➡️Kiharusi
➡️Kukosa hamu ya tendo la ndoa +255745517606

🧩 *Vidonda vya Tumbo, Mfurugiko wa  hormone, kutoshika Mimba, Macho, kisukari, presha, Allerg aina zote, Kupunguliwa Dam...
12/05/2022

🧩 *Vidonda vya Tumbo, Mfurugiko wa hormone, kutoshika Mimba, Macho, kisukari, presha, Allerg aina zote, Kupunguliwa Damu, Mimba kuharibika, Afya iliyodorora kwa watoto, na mengine mengi zaidi ya 100* 👑 Inbox for Orders

Je? wewe ni Mhanga wa Kisukari ,unauguza au ww ndio unajiuguzaUmepata madhara mbali mbali yatokanayo Na Kisukari?Tunawez...
12/05/2022

Je? wewe ni Mhanga wa Kisukari ,unauguza au ww ndio unajiuguza

Umepata madhara mbali mbali yatokanayo Na Kisukari?
Tunaweza kurejesha Furaha Yako Tena kwa Package Yetu ya Kisukari Tutakusaidia mpaka Urejee Hali yako ya mwanzo

Wasiliniana Nasi...

0623351335

TIBA USHAURI INAPATIKANA KOTE TANZANIA NZIMA0745517606 whatsup
10/02/2022

TIBA USHAURI
INAPATIKANA KOTE TANZANIA NZIMA
0745517606 whatsup

01/12/2021

JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA KISUKARI BILA KUTUMIA DAWA ZA HOSPITALI

Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosumbua watu wengi katika jamii.

Ugonjwa huu hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu.

Sukari hutumiwa na mwili ili kupata nishati lishe.Kwa kawaida ili mwili uweze kutumia sukari inayotokana na vyakula unahitaji kichocheo cha insulini.

Insulini husaidia sukari kuingia kwenye chembechembe hai ili kutengeneza nishati lishe.

Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na kichocheo hiki kupungua au kutofanya kazi K**a inavyotakiwa.Hivyo kiwango cha sukari kinabaki kikubwa kwenye damu kwa sababu sukari haikuwezeshwa kuingia kwenye chembechembe hai za mwili.

MADHARA YA KISUKARI.
-Watu wenye kisukari wapo katika hatari zaidi ya kupata magonjwa yafuatayo:-
*Magonjwa ya moyo.
*Kiharusi
*Kuharibika kwa kibofu cha mkojo.
*Upofu.
*Kufa kwa mishipa ya fahamu.
*Shinikizo la juu la damu.
-Mtu mwenye kisukari mzunguko wake wa damu miguuni hupungua na hii ndiyo sababu kubwa ya kufa kwa neva za fahamu na hivyo mtu kupoteza hisia katika mwili.

DALILI ZA KISUKARI.
-Baadhi ya dalili za kisukari ni :-
*Kiu ya maji isiyoisha.
*Njaa kali.
*Kupoteza uzito bila sababu.
*Kwenda haja ndogo mara kwa mara.
*Vidonda au michubuko. kuchukua muda kupona.
*Ngozi kuwa kavu na kuwasha.
*Kuchoka kusiko kwa kawaida.
*Hisia kupungua katika vidole na viganja vya mikono na miguu.
*Kukosa hamu ya tendo la ndoa na uume kutosimama.

TIBA YA IPO USITESEKE.
nini chakufanya?!
-Ili kujikinga na kujitibu na ugonjwa wa kisukari inashauriwa kurekebisha ulaji wa vyakula yani kupata CHUKULA BORA au VIRUTUBISHO LISHE vyenye ubora wa hali ya juu.
-Virutubisho lishe hivyo ni ;-
*C24/7 na RESTOLYFE zenye virutubisho lishe zaidi ya 22,000 vyenye uwezo wa kukukinga na kukutibu na ugonjwa wa kisukari.

K**a unahtaji bidhaa hii
Piga 0745517606 au Bonyeza link hapo chini
https://wa.me/255745517606?text=Habari%2C%20nahitaji%20kupata%20huduma%20hiyo%20.

Pia unaweza kujiunga kwenye langu la WhatsApp upate mafunzo bure ya Jinsi ya kubalance sukari kupitia vyakula

Bonyeza link hapa kujiunga
https://chat.whatsapp.com/DDZjmmIWBQG0p73YbVWboE

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa bina...
23/11/2021

MAUMIVU YA TUMBO NA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula katika mwili wa binadamu, ambapo kuta za mfumo wa uchakataji wa chakula huchubuka. Ni vidonda vinavyopatikana ndani ya mfumo wa tumbo. Ugonjwa huu huathiri zaidi watu wazima na kwa kiasi kidogo sana kwa watoto wadogo.

Viashiria vya kuwa kuna tatizo la vidonda ndani ya tumbo ni; Kuwa na maumivu makali hasa baada ya kula, Kuumwa tumbo baada ya kula vyakula k**a dagaa, maharage na pilipili, Kuumwa mgongo au kiuno, Kiungulia, Tumbo kujaa gesi, Tumbo kuwaka moto, Kukosa choo au kupata choo kwa shida, Kutapika nyongo, kichefuchefu na Kushindwa kupumua vizuri

Na Vidonda vya tumbo huweza kuwa;
-Ndani ya mfuko wa tumbo kuu la kuhifadhi chakula na vikiwa huko hufahamika k**a Gastric Ulcers
-Sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba na huitwa Duodenal Ulcers
-Sehemu ya mwisho/chini ya koromeo la chakula na huitwa Esophageal Ulcers

Vidonda vya tumbo husababishwa na; Tindikali (Acid) inayopatikana ndani ya tumbo, Kutokula chakula kwa wakati unaostahili, Msongo mkali wa mawazo, Kula vyakula vyenye tindikali (acid) nyingi mara kwa mara, Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) bacteria hawa huanza kushambulia baada ya kuta za tumbo kuchubuliwa na acid, Uvutaji wa sigara na matumizi ya vilevi vikali.

Tatizo la vidonda vya tumbo lisipotibiwa hupelekea; Kupata haja kubwa iliyochanganyika na damu, Kuchoka bila sababu maalumu, Kupungua kwa nguvu za ki-ume, Kizunguzungu, Sehemu za mwili kupata ganzi,, Kusahausahau na hasira bila sababu, pia Kukosa hamu ya kula. Vikishamiri sana huweza kusababisha athari zaidi.

TUMIA COMPLETE ILI UWEZE KUTIBU TATIZO LAKK

*MBINU 5 ZA KUWA NA NGUVU ZA KIUME* ?Kuwa na Nguv za kiume ni Kiu ya kila Mwanaume.?Wengi hukimbilia kutafuta Suluhisho ...
23/11/2021

*MBINU 5 ZA KUWA NA NGUVU ZA KIUME*

?Kuwa na Nguv za kiume ni Kiu ya kila Mwanaume.

?Wengi hukimbilia kutafuta Suluhisho Bila Kujua Tatizo..
Kwanza kabisa Unapaswa kugundua kwann una upungufu wa Nguv za kiume

SABABU ZA KUWA NA UPUNGUFU WA NGUV ZA KIUME?
1⃣Mfumo mbaya wa chakula
2⃣Kujichua(Punyeto)
3⃣Msongo wa Mawazo
4⃣Magonjwa ya zinaa
5⃣Magonjwa yakudumu(Kisukari nk.)
6⃣Uzito Mkubwa,ulevi,sigara,
nk..

?Karibu upate Tiba aina ya Alkaline na CPE itakayokutibu sababu zote na Kukufanya Uwe Mwanaume mwenye Kujiamin Kwenye Tendo la ndoa Ipasavyo

? FAIDA ZA tiba aina ya Alkaline na CPE?
1⃣Inarejesha Nguv za kiume
2⃣Inaboresha kwa ambaye hana tatizo nakukufanya bora zaidi
3⃣Inaufanya uume wako kusimama na kuwa Imara k**a msumari(usiwe lepe lepe)
4⃣Inasafisha mafuta Mabaya kwa wenye uzito mkubwa na kuwafanya uume wao kurudia size yake ya Awali.

19/11/2021

Chanzo Kikubwa cha Maradhi Sugu Haya Ni Kwanza Kinga Ya Mwili wengi Ipo chini

Pia Uaminifu umekuwa Changamoto kubwa

Pia Mabadiliko yakimazingira ulaji nk hiweza kupelekea Matatizo hayo

Pia Matumizi ya Madawa mengime k**a p2 na mengineyo Hupelekea Mfumk wa uzazi kuzorota na Kushambuliwa

Maradhi haya Hupelekea Watu Kutoshika Mimba,
Kutosikia raha ya Tendo La ndoa
Kutojiamin sababu ya Harufu
Laki. Gharama za Mara kwa mara Kujitibu.

Ndio Maana Tunakuletea Package Maalum Ya Magonjwa hayo na Utapona KABISA

Linda AFYA yakk kwa Kupata Package maalum ya magonjwa ya UTI SUGU fungus SUGU  miwasho na Harufu Mbaya ukeniUsikubali ku...
19/11/2021

Linda AFYA yakk kwa Kupata Package maalum ya magonjwa ya UTI SUGU fungus SUGU miwasho na Harufu Mbaya ukeni

Usikubali kuendelea kuteseka

Bila kujali umetumia madawa Kiasi Gani
Tiba Tuliyonayo ina viwango vya Kimataifa na imethitishwa na TFDA

19/11/2021

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AFYA SOLUTION-Tiba na Ushauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Practice

Send a message to AFYA SOLUTION-Tiba na Ushauri:

Share

Share on Facebook Share on Twitter Share on LinkedIn
Share on Pinterest Share on Reddit Share via Email
Share on WhatsApp Share on Instagram Share on Telegram

Category